Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,860
- 141,367
Baadhi yetu humu, tena kwa zaidi ya miaka 20 sasa, tumekuwa tukiyasema yale ambayo Emmanuel Nchimbi kayasema jana kuhusu katiba.
Hivyo hakuna lolote jipya alilolisema.
Tunaweza hata kusema kuwa kaiga hoja zetu bila kutaja alikozitoa.
Kwa mfano, kuna mabandiko yangu mengi tu humu ambapo ninasema kuwa katiba mpya na iliyo bora itakuwa na manufaa kwa wote, ikiwemo hadi CCM wenyewe.
Nimekuwa nikisema hivyo toka 2005!!
Akisema Ngabu, hakuna nongwa.
Ila akisema Nchimbi, walamba makalio wanaanza kumsifia sifia.
Hapo ndo ujue kuwa baadhi yetu humu huwa tuko mbele sana ya muda.
Kesho na keshokutwa huyo Nchimbi akisema kuwa ‘Niafrika ndivyo tulivyo’, walamba makalio kama yule Ngosha feki watakuja na kila aina ya mabandiko yanayomsifia Nchinbi kwa kuwa msema kweli 😀.
Naungana na wale wote ambao wana mashaka na hizo kauli za huyo Nchimbi.
Muda utaongea.