nchi

  1. Nchi za Afrika zinazotembelewa na watalii kwa wingi

    Top most visited African countries by Tourists 1)- Morocco ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ 13.2 million visitors 2)- Egypt ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ 11.3 million visitors 3)- South Africa ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ 11.5 million visitors 4)- Tunisia ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ 8.3 million visitors 5)- Zimbabwe ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ผ 6.3 million visitors 6)- Cรดte dโ€™Ivoire ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ 7) - Uganda ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ 8)- Kenya ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช 9)-...
  2. Twaha Mwaipaya: Marais watano walikopa Trilioni 60, Rais Samia pekee amekopa Trilioni 30

    Mwaipaya amesema kwamba, sasa hivi tunamsifia Rais, ila Marais watano waliomtangulia peke yao walikopa kiasi cha Tsh Trilioni 60 kwa awamu zote miaka 60 kwa wastani wa Trilioni 1 kila mwaka, lakini Rais Samia kwa miaka mitatu aliyokaa madarakani amekopa Tsh trilioni 30, sawa na trilioni 10 kila...
  3. Usishangae P. Diddy kukimbilia Dubai au nchi nyingine

    Dubai ni sehemu moja safi hata ukiwa tapeli,mwizi,mtakatishaji pesa kwako ni sehemu nzuri sana. Sasa ili lilomkumba kesi za ngono kwa nchi za wenzetu ni kesi kubwa kama ilivo mfungo pale visiwani, kesi hizo unaweza kuozea jela kuliko za wizi na mambo mengine. Mfano mzuri South Afrika...
  4. M

    Ili kuhudhuria Art Exhibitions kwenye nchi zingine unapaswa kufanya nini?

    Habarini wanajamvi, Ninapenda kujua, Ili kuwa miongoni mwa artists wanaoudhuria maonyesho ya arts mataifa mbali mbali Ili ukidhi vigezo unafuata hatua gani?
  5. PreGE2025 Rais Samia asaini miswada ya Sheria za Uchaguzi

    Taarifa zilizosambazwa kwa vyombo vya Habari Nchini Tanzania zinaeleza kwamba Rais wa Nchi hiyo amesaini ile Miswada mibovu inayopingwa na kila mwenye akili timamu Bila Shaka kwa kitendo hiki inamaanisha kwamba Rais Samia AMEWAPUUZA KABISA WALE WOTE WANAOPINGA MISWADA HIYO MIBOVU YA SHERIA ZA...
  6. Ipo haja ya mainjinia wa TANESCO kufanyiwa mohojiano ya kiuchunguzi umeme unapokatika nchi nzima

    Nikijitambua kama mzalendo kamili nchini sitasita kutoa maoni yangu kuntu hususani linapokuja swala la umeme kukatika nchi nzima kwa visingizio visivyo na mashiko kwa wanasayansi kama mimi. Tanesko sio tu shirika kama yalivyo mashirika mengine ni shirika la kimkakati na la kiusalama. Kukatika...
  7. Hivi kauli ya nchi kuuzwa ni porojo za kisiasa au ni kweli kihistoria kuna nchi iliwahi kuuzwa? Wanasheria embu tusaidieni

    Kwema Wakuu! Nimekua nikisikia hizi kauli kwenye majukwaa ya kisiasa. Lakini moja ya viongozi wa juu niliowahi kuwasikia wakisema kauli hiyo ni pamoja na Spika mstaafu Mzee wetu Job Ndugai. Sasa kila nikisikia au kusoma ujumbe wenye maana ya nchi kuuzwa ninajikuta ninamaswali. Miongoni mwa...
  8. Hizi ndio Nchi zinazoongoza kuwa na madeni makubwa Afrika

    Nchi zinazoongoza kuwa na madeni makubwa Afrika (2024) 1. Egypt ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ ($370.5 billion) 2. South Africa ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ ($278.1 billion) 3. Algeria ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ ($123.3 billion) 5. Morocco ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ ($107.7 billion) 6. Sudan ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฉ ($94.9 billion) 7. Kenya ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช ($84.2 billion) 8. Nigeria ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ ($73.9 billion) 9. Angola ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ด ($64.7...
  9. K

    USHAURI: Rais Samia fanya haya makubwa nchi itabadilika na uchumi kukua

    Leo nimerudi kwa upande wa ushauri na hivi vitu navyoshauri kila moja ni kitabu chake lakini nitaweka hapa mambo makubwa ambayo Raisi Samia akivifanya vitabadilisha nchi yetu kwa miaka mingi sana ijayo 1. Boresha sheria mbovu ya uchaguzi iliyopitishwa Bungeni kwa kuongeaza chaguzi za serikali...
  10. Aprili 1, 2024: Gridi ya Taifa yapata Hitilafu, TANESCO waomba radhi

    Tuliambiwa mgao wa umeme sasa basi! Hali tangu jana ni hii, vipi nyie huko kwenu? ==============
  11. Kuteua Watu walewale ni dalili kuwa nchi haina Rasilimali Watu

    Habari za Sikukuu ya Pasaka! Moja ya dalili kubwa kuwa taifa fulani halina rasilimali Watu ni kwa kuangalia safu ya viongozi na watawala. Ukiona Watu wanaoteuliwa ni walewale yanaitwa miaka nenda rudi Watu ni walewale basi sababu kubwa ya jambo hilo ni kuwa nchi Hiyo haina Rasilimali Watu...
  12. CCM iweke hadharani ukaguzi wa hesabu katika ziara za Makonda nchi nzima, ubadhirifu usifumbiwe macho!

    Nashauri ile taarifa ya mkaguzi wa hesabu wa CCM iwekwe hadharani, najua imejaa madudu ya kutisha sana. Haitoshi tu kumuondoa Mwenenzi na kumpeleka Arusha, Mwenezi awajibishwe kwa matumizi mabaya ya fedha za chama
  13. R

    Nyikani, Mwanamke atainua mnyama kutoka majini atakayetupeleka Nchi ya ahadi

    Salaam,Shalom!! Leo twende Kona za kinabii, watakaodaka wadake, wasioelewa ndo basi tena, wale wasioamini kuwa Mungu husema na manabii, ndo kabisa, hawatodaka chochote. MWANZO WA NDOTO. Roho wa akanichukua Hadi Mahali palipokuwa na maji mengi, ufukweni mwa ziwa na tazama, mnyama mkubwa...
  14. Dini za Ukristu na Uislam zinaendekezwa sana kwenye nchi za Kisekula

    Wakomunisti sikubaliani nao katika mambo mengi sana. Wana upumbavu wao katika mambo mbalimbali ila linapo fika suala la nchi isiyo ya kidini wajua kweli kuchora mstari wa haki kwa dini zote. Wakomunisti wa China wamechora mstari wa haki kwa dini zote si wakristo, si waislam, si wabudha n.k...
  15. Polisi wa Zanzibar kuwakamata watu kisa kuwakuta wakila mchana kipindi cha Ramadhan ni uvunjifu wa sheria za Nchi

    Zanzibar sio Nchi inayoongozwa na Sheria za Kiislamu, Zanzibar ni nchi inayoongozwa na katiba huru. Inakuwaje unamkamata mtu kwa sababu ya kutokufunga Ramadhan, ni wapi kwenye katiba wamesema kwamba usipofunga inapaswa kuswekwa Ndani. Mkianza kutuletea sheria za kiarabu Kwenye ardhi za Tanzania...
  16. Picha: Hii nchi imepitia mambo magumu mno

  17. PreGE2025 Padri Silvio Mnyifuna, ataka 2025 Samia aendelee ili wahuni wasipate nafasi

    Huyu ni Padri huko jimbo Katoliki,Mafinga, Iringa....Kwa sasa nyota ya SSH haishikiki, inakimbia kwa kasi ya mwanga au sauti. Si kwa wananchi wa kawaida, walimu na kila kada, kila kona ni Samia, sasa kishindo cha Samia kimefika katika kanisa katoliki. Watumishi wa Mungu ni moja kati ya watu...
  18. S

    Wasenegal wameikabidhi nchi kwa vijana Faye na Sonko. Wacha tuone kama wamebutua au wameupiga mwingi

    Senegal wameitumia vema demokrasia ya uchaguzi na kuwapiga chini wazee wakongwe wa chama tawala na kumchagua kijana mbichi Diomaye Faye. Diomaye Faye hana background yoyote ya kiuongozi. Kumchagua Faye ni sawa na kumchagua Abdul Nondo wa ACT kuwa rais kwasababu tu ya kuichukia CCM. Sasa...
  19. Nchi ya Ujerumani imepangika vizuri sana(Kiuchumi)

    Nchi nyingi duniani utasikia kuna jiji moja tu ambalo ndiyo kila kitu kwa nchi. Unakuta jiji la pili kwa umuhimu kwenye hiyo nchi linafuata kwa mbali sana. Mtu akisikia UK anawaza London. Mtu akisikia France anawaza Paris. Tanzania anawaza Dar es Salaam. Ujerumani ni tofauti kabisa. Kila mji ni...
  20. Huwezi tegemea wawekezaji wa kigeni ndiyo waendeleze nchi

    Miaka ya karibuni kumezuka matukio kadhaa kwa serekali kushindwa kuendesha mashirika yake na imepanga kuwapa wageni, ili ni kosa instead serekali iajiri foreigner ambao wana exposure na sio hawa wasio na exposure na wengi wao ni machawa Mpaka sasa hivi mabosi wa mwendokasi wangetakiwa wawe na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ