nchi

  1. Kama mtanzania napataje fursa ya kwenda kufundisha nchi kama Shelisheli, Kanada, Norway au Kenya?

    Wakuu mimi ni mwalimu natamani nikafundishe kati ya Nchi tajwa hapo juu tafadhali mwenye miongozo anipatie hapa jukwaani mimi na wanajukwaa wenye shida kama yangu tutashukuru sana Ahsanteni
  2. The Citizen: Sekta ya utalii yaongoza mapato ya nchi 2023/24; kongole kwa Royal Tour

    Kweli Rais Samia kafungua nchi, angalia takwimu hapa kwa mujibu wa The Citizen kama zilivyoletwa kutoka ripoti za BOT:- Kwenu muliobeza Royal Tour, ruksa kutoa povu. Ila nchi inasonga mbele
  3. Tshisekedi atakimbia nchi

    Dalili zote ni kwamba,huyu jamaa atakimbia nchi maana hana jeshi,ha hata sijui anafanya nini hivi sasa
  4. Scholarship kwa Waafrika wote angalia nchi yako

    Scholarships now open!! — Curtin University warmly welcomes students from eligible African countries to apply for the Australia Awards Africa Scholarships for our Master's degrees commencing in 2026. Curtin has a developed a holistic platform for engaging with the African continent and African...
  5. S

    Tumefika mahali kama nchi tunaadhimisha siku ya kondom duniani?

    Habari wadau! Leo maeneo ya Dodoma kwenye round about ya kuingia uwanja wa ndege wa Dodoma, kuna tangazo limewekwa chini kwenye hiyo roundabout likiisomeka: Siku ya kondom duniani(kama sio duniani basi ni siku ya kondom kimataifa). Swali: ni kondom hii mipira ya kufanyia mapenzi au hiyo kondom...
  6. Trump adai mtu anayeokoa nchi yake havunji sheria yoyote!

    Hii kauli ina tofauti gani ni ile ya "kuna mhimili moja uliojichimbia chini zaidi"?! Poor Murica.
  7. Aina ya udikteta uliopo Tanzania ni Udikteta wa kichama

    Katika aina mbalimbali za Udikteta na sifa zake basi nchi ya Tanzania inaangukia katika Udikteta wa chama kama mfano China. Tanzania haina Udikteta wa mtu mmoja kama Rwanda au Uganda, haina Udikteta wa kijeshi kama Misri,Burkina Faso, haina udikteta wa kifalme au kimalkia, haina udikteta wa...
  8. Mashabiki wa Simba na Yanga Wangekuwa Wanaijenga Nchi, Tanzania Ingekuwa Singapore: Taifa la Wapumbavu wasioelewa dhana ya Vipaumbele

    Kila mwaka, kila msimu, kila mechi – Simba na Yanga. Mashabiki wanapiga kelele, wanavunja viti, wanalia, na wengine wanashindwa hata kulipa kodi za nyumba kwa sababu ya klabu wanazoabudu kama mungu wa mitala. Soka? Hapana, huu ni upumbavu wa kiwango cha kimataifa. Wanavalia jezi, wanajichora...
  9. Ajali za Barabarani zinaweza kuwa chanzo kizuri sana cha Mapato Serikalini (Sheria ya Ajali itungwe vizuri)

    Naomba serikali ifanye jambo hapa. Ajali huwa hazitokei bahati mbaya. Ajali zinatokana na uzembe wa madereva na kutofuata sheria za usalama barabarani. REJEA ANDIKO HILI...
  10. U

    Usipokuwa makini na Uwekezaji Tanzania tutakuwa manambana vibarua ndani ya nchi yetu.

    Mfano ni south Africa, Kila biashara kubwa, mashamba makubwa, yanamilikiwa na wahindi na wageni na wazungu, huku wazawa wenyewe wa south Africa wakibaki kuwa manamba , yaani vijakazi na kufanya kazi za vibarua. Huu unaitwa ukoloni maomboleo. Wanakuja kidogo kidogo, baadae utakuja kustukia hata...
  11. Warioba ashitua Nchi

    Hii ndio Taarifa Mpya inayotamba mitandaoni kwa sasa Habari kamili hii hapa
  12. R

    Mfalme wa Jordan kaenda white house kamuunga mkono Trump kuwahamisha wapalestina, Misri na nchi nyingine kukutana Saudi Arabia kusuka mpango kazi

    Mfalme Abdullah wa Jordan na Mwanawe Wamtembelea Trump Ikulu Mfalme Abdullah wa Jordan na mwanawe wametembelea Ikulu ya White House kwa mazungumzo na Rais wa Marekani, Donald Trump. Mkutano huo uliangazia juhudi zinazoendelea za kubadilisha mwelekeo wa Mashariki ya Kati, hasa kuhusu uhamishaji...
  13. Zifahamu Nchi za Afrika zinazopokea misaada mikubwa zaidi kutoka Marekani

    Marekani imekuwa mfadhili mkubwa wa misaada ya kifedha kwa mataifa mbalimbali barani Afrika, ikilenga sekta za afya, elimu, usalama na maendeleo ya kiuchumi. Kwa mwaka wa fedha wa 2023, nchi zifuatazo zilipokea msaada mkubwa zaidi kutoka Marekani: 1️⃣ Misri – Dola bilioni 1.5 (nafasi ya 4...
  14. Ilikuwa ni busara kuendelea kiujumla na mipaka iliyoachwa na Wakoloni kwa nchi huru za Africa baada ya uhuru?

    Mojawapo ya maazimio na makubaliano ya mwanzo kabisa waliyowafanya viongozi wa nchi za Africa zilizojipatia uhuru miaka ya 1960's ni kuendelea kuheshimu mipaka ya nchi iliyoachwa na wakoloni. Haya makubaliano ya kiujumla jumla hivi yalikuwa sahihi ukizingatia mipaka ya mataifa ya Africa...
  15. Watu aina ya Mpina, Lissu, Gwajima, Ndugai, Bashiru, Makonda ,Bashungwa, Heche, Biteko Mwabukusi ,wakiongoza Nchi , Kila Raia atakua na Furaha !!.

    Na Nchi itakua na Maendeleo makubwa sana Kwa nyanja zote . Hawa watu unapofatilia Maisha yao , Utendaji wao wa kazi Kwa nafasi zao, Maono yaliyo Ndani ya hotuba zao, Kanuni, Imani ,falsafa na Itikadi zao kulihusu Taifa hili , utagundua kua Tuna watu tunaopaswa kujivunia kua nao kama Taifa. Ila...
  16. Wachezaji na wasanii toka DRC rudini nyumbani mkaikomboe nchi yenu

    Yaani jamaa wako stejini wananengua,wengine wako viwanjani wanacheza tu mpira,hizo nguvu mgezitumia vitani M23 wangeshasalimu amri Mwaka 1978 nilijitoleakumfurusha iddi amini kule uganda nikiwa na miaka 18 tu,nilijitolea kamamgambo tukapewa mafunzo ya ukuruta mimi na wenzangu. Huko Ukraini pia...
  17. Prophet Denis Tanzania: Tundu Lissu amebeba ajenda ya Mungu ndani yake. Asipopewa nafasi, hasara sio yake bali ni ya taifa na nchi...!!

    https://youtu.be/Isx1OohuSwE?si=h2rmCO7VUQwe_PWb ➡️Huu ni unabii mwingine kumhusu Tundu Lissu kutoka kwa nabii aitwaye "Prophet Denis wa Tanzania...." ➡️ Nimemsikiliza na kumtazama hadi mwisho ktk video clip hiyo. Nimemwelewa na kumuamini kwa kiasi kikubwa.. ➡️Anasema kuwa, Mungu ameweka...
  18. M

    Miaka kumi from 2015 - 2025 ni Golden age ya CCM, Mendeleo waliyoyafanya ni CV ya kuwapa ushindi kwenye nchi yoyote East na central Africa

    Ukweli kwa miaka kumi hii ambayo nusu imeongozwa na Magufuli na Nusu imeongozwa na mama Samia. CCM wamefanya mambo makubwa mengi sana yanayoonekana kwa macho, bila mizengwe yanawapa uwezo wa kupata ushindi hata wangekuwa wanagombea urais Kenya, Zambia, Msumbiji, Congo, Rwanda, Uganda etc...
  19. Wachina wengi wanaamini nchi yao ni ya kidemokrasia, Wamarekani wengi zaidi wanaamini nchi yao(US) sio demokrasia!

  20. Kagame aondoe majeshi yake Congo. Akigoma tuwaondoe kwa nguvu zote

    Leo na kesho naambiwa kuna mkutano WA Maraisi wa Congo na Rwanda na SADC na EAC Huyu Bwana akikanyaga Tanzania mwambien tunalaan yote yanayoendelea congo na WANAJESHI wake WA M23 Na Wala msipotexe mda mwambien aondoe wale wahuni MAGAIDI WA M23 Soma: Rais Samia kuwa mwenyeji wa mkutano wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…