nchi

  1. passioner255

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya usalama vimeshindwa kulinda usalama wa nchi

    Vyombo vya usalama vya Tanzania Wapo makini kuilinda serikali inayoua watu wake na kufanya uchafu mwingi lakini vimeshindwa kuilinda nchi. NB.hali sio nzuri "YOU BERA WATCH YOUR BACK"
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa wa uhaini hajawahi kufanikiwa kisiasa bila kuomba kusaidiwa, unadhani imekuaje akakataa kusaidiwa kisheria na mawakili wote Tz?

    Je, alitaka kujionyesha kwamba yeye ni bingwa wa maisha ya sheria, hali ya kua inafahamika kwamba ni ufadhili wa wanaomfadhili ndio unaomsitiri yeye na familia? Kulikoni akatae msaada wowote ule wa kisheria kutoka kwa mawakili na wanasheria wenzake wote Tanzania, wakati mambo mengine yote...
  3. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Tulikaa Kimya kwa POLEPOLE, Tukikaa Kimya kwa NCHIMBI, nawahakikishia, Hii NCHI itaongozwa Kifaulme !! Mpaka Lissu anamuulizia!¡

    Mpaka Lissu anamuulizia, Nchimbi hajaamua kukaa kimyaa kama Machawa wanavyojaribu kutuaminisha. Nilitegemea, Vyama vyote vya Upinzan, viungane, viulize NCHIMBI Yuko wapi??. Dr Nchimbi, alikua ni Makamo wa Rais, kweli Watanganyika tumeshindwa mtafuta Mtanganyika mwenzetu??. Kweli Kanisa...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya Tundu Lisu itachochea utii wa sheria na katiba ya nchi bila shuruti.

    Na, in fact, hukumu hiyo itachochea siasa za kistaarabu zaidi majukwaani miongoni mwa wanasiasa wa vyama mbalimbali vya siasa na kutokomeza kabisa siasa za uropokaji, porojo, uongo, uzushi, fujo, uchochezi, ukiukaji sharia na upotoshaji Tanzania. Huenda Tanzania ikaanza kushuhudia siasa za...
  5. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Jipime Huu Mtihani: Kama Hujafaulu Huu Mtihani wa English Huwezi Kwenda Kusoma UK/US/CANADA au Nchi Yeyote ya Ulaya

    Jipime Huu Mtihani: Kama Hujafaulu Huu Mtihani wa English Huwezi Kwenda Kusoma UK/US/CANADA au Nchi Yeyote ya Ulaya. https://www.jamiiforums.com/threads/kama-kweli-unajua-kiingereza-tuambie-umepata-alama-ngapi-kwenye-maswali-haya-ya-kiingereza-marks-ulizopata-tuwekee-kwenye-comment.2474681/
  6. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Kosa Kubwa Kupata Kufanywa na Serikali Yetu Katika Historia ya Nchi Hii ni Kutokuionyesha KESI YA LISSU LIVE KWA SASA

    Kama nchi bila kujali yapi yatakuwa Matokeo ya mwisho, yaani Hukumu kwa kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu kutokuionyesha na kuweka kumbukumbu ya documentary ya video. Hakika hii ilikuwa daresay la Aina yake katika mifumo yetu ya sheria na mienendo ya uendeshaji ambayo ingeingia katika historia kwa...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Nchi 22 za Afrika zakutana Tanzania kubadilishana uzoefu wa Mtaala unaozingatia umahiri – Prof. Shemdoe

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amesema nchi 22 za Afrika zimekutana nchini katika Mkutano wa Sita wa Jumuiya ya Taasisi za Mitaala Afrika kwa ajili ya kubadilishana uzoefu kuhusu namna mabadiliko ya mitaala...
  8. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Nchi Zenye Watu Wachache na Eneo Kubwa Zinakumbwa na High Unemployment Licha ya Utajiri wa Rasilimali? Mfano Botswana,Namibia na S/Africa.

    Ukifuatilia Siasa za ndani za Nchi nyingi ambazo ni kubwa Kwa eneo na watu wachache zimekuwa na shida sana ya watu wake kukosa Ajira (High Unemployment) licha ya kwamba baadhi Yao au zote Zina Utajiri mkubwa wa Madini na Rasilimali zingine. Bila shaka hii inaonesha kwamba Rasilimali kuu ni watu...
  9. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Marekani ana nini? Ameipiga ban Iranian Airlines, na nchi zote zimefuata maelekezo

    Hii nguvu ya marekani inatisha. Juzi Waziri wa fedha wa Marekani alitangaza kuwa Iranian Airlines itapigwa ban Dunia nzima. Na nchi itakayoruhusu ndege za Iran kutua basi itakabiliwa na vikwazo vya Marekani Cha kushangaza nchi nyingi zimeipiga ban Air Iran, nchi zote ambazo air Iran ilikuwa...
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Israel ni nchi au ni jina la mtu...?

    Asilimia kubwa ya watu wanaamini kwamba (Israel) ni nchi ,hii inatokana na uvivu wa kusoma au kulishwa maneno ya uwongo . Wanaamini Holocaust ya Hitler ndio iliwarejesha wale wahuni pale Palestine. Israel ni nini. Katika vitabu vya Quran na biblia,jina Israel ni jina la mtu wala siyo nchi ...
  11. Etwege

    JamiiForums Tanzania Rais anayekuja kazi yake kubwa iwe kurudisha nchi kwenye uchumi wa kati

    Benki ya dunia na IMF mwaka 2019 viliitangaza Tanzania kuingia uchumi wa kati baada ya maboresho makubwa ya kiuchumi yaliyofanywa na serikali ya awamu ya tano iliyokuwa ikiongozwa na hayati Magufuli na Makamu wake Samia. Serikali ya awamu ya tano ilifikia hayo mafanikio ya kuingiza nchi uchumi...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa sana; Watu wanaosema kuna Rais na serikali Haramu wakisema Hakuna mtoto Haramu

    NIMESHANGAZWA SANA; WATU WANAOSEMA KUNA RAIS NA SERIKALI HARAMU WAKISEMA HAKUNA MTOTO HARAMU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Nilileta mada hapa iliyozua mjadala mkubwa kuhusu mtoto haramu. Nilieleza kinaga ubaga kwamba Uharamu yaani jambo lisilo halali, kitendo kisicho halali, au matokeo...
  13. Bila bila

    JamiiForums Tanzania Wakati nchi ikihitaji Viongozi CCM wametuletea Kihongosi

    Hiki ni kioja kingine toka CCM. Chama kikongwe kuliko vyote nchini badala ya kuajiri Msemaji mwenye Weledi kimeleta Msema chochote (MC). Cheo chake cha asili kinahusu Uenezi wa Itikadi ya Chama chake lakini yeye anaeneza kashfa juu ya Kilimo cha Maparachichi. Anaeneza maisha binafsi ya...
  14. econonist

    JamiiForums Tanzania Lissu ni Kiongozi sahihi, lakini kwa nchi isiyo sahihi

    Napenda nitoe maoni yangu kuhusu Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Tundu Lissu. Kwangu namuona kama Kiongozi sahihi, lakini kwa nchi isiyo sahihi. Nitafafanua kwanini nasema hivyo. 1. Lissu kama Kiongozi sahihi. Mh. Lissu ni Kiongozi sahihi kwa sababu amejipambanua msimamo wake, tangu awali. Amekuwa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mkuu WA JWTZ , IGP na mwenyewe Kingai ni wateule WA rais je kauli ya kusema wote wanataka Lisu akutwe na hatia haiwezi athiri hukumu?

    Wadau habari zenu, HIVI kauli ile ya Kingai mahakamani akimwambia lisu na lisu akaisema hadharani mahakamani mbele ya majaji hawezi kuwafanya majaji kushindwa kutoa hukumu Kwa haki wakizingatia kauli ya Kingai ndo kauli ya bosi wa mihimili yote. Au ndo hukumu tayari Wanasheria na wadau...
  16. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania JARIDA LA NCHI YETU TOLEO Na. 1015 la Septemba 2026

  17. kavulata

    JamiiForums Tanzania Afrika hakuna nchi vyama vya upinzani vimeleta nafuu kwa wananchi vikifika Ikulu

    Huwa nafuatilia sana siasa za dunia na Afrika. Afrika yote ni kama vile inaongozwa na Rais mmoja, bunge moja, mahakama moja na baraza la mawaziri moja. Hali yetu inafananafanana kwa kila kitu. kiuchumi, siasa, na huduma za jamii. Huduma na maendeleo yetu yako chini relatively kulinganisha na...
  18. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Nchi ni yetu lakini Sheria inatuzuia kuishi Kama Wananchi eti Viongozi ndio wanaishi Kama raia halali. Ndio maana watu huandamana au kufanya vurugu.

    AMANI HAIPO SAWA. Kwa mjibu wa Civilian-Coin: "Nchi ni yetu lakini Sheria inatuzuia kuishi Kama Wananchi eti Viongozi ndio wanaishi Kama raia halali. Ndio maana watu huandamana au kufanya vurugu". Civilian-Coin
  19. O

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Je, Kenya Imepiga Marufuku Usafirishaji wa Gold Yote Nje ya Nchi?

    Taarifa kuhusu sera mpya ya madini zimeibua dhana kwamba Kenya imepiga marufuku kabisa export ya dhahabu, hivyo gold yoyote inayochimbwa nchini haiwezi tena kuuzwa nje.
  20. H

    JamiiForums Tanzania UNIDO yaahidi kuifanya Tanzania kuwa nchi ya mfano barani Afrika katika utekelezaji wa Mpango Jumuishi wa Ushirikiano na UNIDO (PCP)

    UNIDO yaahidi kuifanya Tanzania kuwa nchi ya mfano barani Afrika katika utekelezaji wa Mpango Jumuishi wa Ushirikiano na UNIDO (PCP) Ahadi hiyo ilitolewa na Bi. Fatou Haidara, Naibu Mkurugenzi Mkuu wa UNIDO alipofanya mazungumzo na Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Waziri wa Mambo...
Back
Top Bottom