nchi

  1. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Nadhani huu ukumbatiaji wa wicknell kwa rais wa nchi haujakaa kiprotical , amemkumbatia vibaya na sidhani dini kama inaruhusu.

    Binafsi sidhani kama mwanamke wa kiislamu mjane na ambaye inasemekana ni rais akumbatiwe namna hii. Kwa maoni yangu ninavyoona sio sahihi. Jamaa ukumbatiiaji umevuka mipaka.
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zimbabwe atangaza siku yake ya kuzaliwa kuwa sikukuu ya kitaifa

    Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa, ametangaza rasmi tarehe Septemba 15, ambayo ni siku yake ya kuzaliwa, kuwa sikukuu ya umma nchini humo. Sikukuu hiyo mpya inayojulikana kama Munhumutapa Day, imewekwa rasmi kwenye sheria za nchi kupitia Statutory Instrument 148 ya mwaka 2026. Tarehe hiyo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Saudia Arabia isipojiunga na Abraham Accord nusu ya Nchi yake itachukuliwa na Israel.

    Aisee Saudia Arabia ni moja ya mataifa ya ovyo na kijinga sana, yaani licha ya kuwa na vifaa vya kisasa imeshindwa kuwadhibiti Wahouthi. Iran na Israel watagawana hiyo Nchi.
  4. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Gen Z ndio watakao leta mabadiliko

    Ukweli usemwe tu, Millenial wameishia kuwa wahanga wa program za kibepari kutoka kwa mababi zetu. Bado wanaimani potofu, bado hawana uhuru wa kifikra.. Ila sisi, Gen Z tumeibuka na kuanza ku question system, tunaquestion mifumo ya kikatiba, siasa na dini. Ni kwasababu tumeshuhudia millenial...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kushindwa kula vyakula vya kigeni nje ya nchi

    Habari za jioni wakuu? Mimi nina changamoto moja, nilikwenda Uganda lakini nikakutana na changamoto ya misosi migeni kwangu ambayo sijawahi kula hata kwenye kinywa ilikuwa haipiti kabisa, nikaishia vinywaji, matunda na biskuti tu! Point yangu ni hii naombeni ushauri kwamba nikifika nje ya nchi...
  6. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania TANZANIA YAONGEZA MAUZO YAKE NJE YA NCHI

    Katika mwaka ulioishia Julai 2026, mauzo ya bidhaa na huduma nje ya Tanzania yalifikia Dola za Marekani bilioni 19.99, sawa na ongezeko la asilimia 16.5. 🥇 Dhahabu: Sh. trilioni 14.93 🏭 Bidhaa za viwandani: Sh. trilioni 5.83 🌾 Mazao ya asili: Sh. trilioni 4.29 ✈️ Usafiri na utalii: Sh. trilioni...
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hivi Chadema ina idadi ya wanachama wangapi nchi nzima mpaka sasa?

    Binafsi kama mTanzania, natamani sana kujua na kufahamu hilo, kwasababu ni muda mrefu sana tangu chadema istop kusajili wanachama wapya kidigitali. Na bilashaka yoyote hata wadau kadhaa wa JF, nadhani wanatamani na wangependa walau kufahamu hilo. Anae fahamu tafadhal aweke wazi numbers tu...
  8. Bishweko

    JamiiForums Tanzania Siku CHADEMA tukichukua nchi nini tutafanya kwa taifa letu?

    Mara nyingi wananchi hasa watanzania wamekuwa na hamu sana kusikia au kujulishwa kuwa CHADEMA tukichukua nchi na kuunda serikali kama chama tawala nini tutafanya kwenye hili taifa. Kwanza kabisa wananchi watanzania watanufaika na uhuru wao na haki za binadamu. Kila mtanzania atakuwa huru kutoa...
  9. C0000-5068-428-1

    JamiiForums Tanzania Rais ni nembo Ya nchi, Tumpende na kumpa ushirikiano wa kutosha

    Watanzania wenzangu, katika safari ya kulijenga taifa letu, tunahitaji kuwa na moyo wa kushirikiana na viongozi wetu. Rais ana jukumu kubwa la kuiongoza nchi na kusimamia mambo mbalimbali yanayogusa maisha ya wananchi. Kwa hiyo, tunapokuwa na jambo zuri linalofanyika, tusisite kulitia moyo...
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini huwa ni Mzena au nje ya nchi ?

    Kuna mkuu au mzito yeyote aliyewahi kumalizia safari yake Muhimbili, Mlonganzila, Lugalo, Sinza Palestina au Benjamin Mkapa ? Kwa nini walijitengea Mzena mahususi ? Inafika level za Muhimbili? Kwa nini wasingekuwa wanachanganyika tu wapate huduma zote kwa uhakika zaidi?
  11. McLaren

    JamiiForums Tanzania Ni filamu za nchi gani zinaongoza kwa uongo mwingi?

    Wahindi ni waongo Mimi niliacha kuangalia movie za Kihindi baada ya kuona ‘Starring’ kapigwa risasi, kaidaka alafu kairudisha kwa adui aliyempiga nayo kisha huyo adui akafariki hapo hapo
  12. 2

    JamiiForums Tanzania Ndoto yangu inaniambia tar 21.9.26 kuna Jambo gumu na zito sana litatokea nchi ya X

    Mwenyezi Mungu Amekasirika sana ndoto niliyooteshwa siyo ya kawaida ni ndoto ngumu na nzito inayoenda kukitikisa nchi X damu isiyo na hatia bado inadai haki, kwa hiyo ni muda wa kukesha na kuomba hili lisitokee katika nchi X
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nchi ya rushwa: kila tenda ya barabara ni 10% inatoka!

    Marafiki zangu ambao wana kampuni za ujenzi wanasema kila kampuni ninlazima zitoe 10% kwenye kila mradi. Lakini pesa ikichelewa kuna riba🤦🏾‍♂️ Umasikini na wetu ni huu uongozi fake unaleta
  14. C0000-5068-428-1

    JamiiForums Tanzania Watanzania Tushikamane, Tusiwaachie watoto wetu nchi isiyo na amani!

    Kuna wakati Taifa linahitaji siyo tu viongozi, bali pia umoja wa mioyo, matumaini na mshikamano wa watu wake. Leo tunapoangalia Tanzania yetu, tunapaswa kukumbuka kuwa amani tuliyonayo, fursa tunazojenga na maendeleo tunayoyatazamia ni urithi ambao tunapaswa kuulinda na kuendeleza kwa pamoja...
  15. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Tanzania Nchi ya Ajabu?, Pamoja na Fursa Zote za Kidigiti, Mpaka Leo Bado Hatuna Sheria ya E-Commerce?!. Usikute Ndio Maana Tunachelewa Sana Kuendelea

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe, Jumapili ya leo nikiishangaa jinsi nchi yangu Tanzania tulivyo nchi ya ajabu!, pamoja na fursa zote za kidigiti, na biashara ya mtandaoni, lakini mpaka leo bado sisi Tanzania, kama nchi, hatuna Sheria ya biashara mtandao, E-Commerce...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Utekaji na "Majeshi" Binafsi Vikitikisa Nchi: Kwanini Waziri Katambi na Boss Wake Wanaona Dudubaya na Uchafu wa Dar Ndio Kero Kubwa?

    Habari wana-JamiiForums, Hivi karibuni, tumeshuhudia tukio ambalo limeacha maswali mengi kuliko majibu kuhusu mwelekeo wa usalama wa nchi yetu. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ameingia kwenye vichwa vya habari baada ya kuwaita wasanii na maarufu wa mitandao ya kijamii na...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Katambi ampa onyo kali Afande Sele. Hatufanyi mzaha

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Katambi amempa onyo kali sana kwa Msanii Afande Sele baada ya kujirekodi video akitoa kauli pia akimwambia asifanye mzaha. Soma Pia: Afande Sele: Si sahihi Waziri Katambi kumuita Dudu baya kwenye Meza walipokaa wenye tuhuma za Ushoga
  18. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Air Tanzania wasiboreshe uwekezaji ndani ya nchi kwa sasa?

    Kama kuna kitu mpaka sasa utakuwa umegundua kwa Tanzania ni kwamba ni watu ambao hawapendi sana kwenda nchi za watu. Yeah wabongo wanaenda sana Dubai (UAE) na China lakini huwa wanaenda kwa biashara zao na kurudi Tanzania. Watanzania wanaosafiri kwenda kuishi nchi za mbali, au hata kutalii tu...
  19. Equation x

    JamiiForums Tanzania Matajiri wakubwa duniani, wanatengenezwa na nchi zao au wanajitengeneza wenyewe?

    NIkiangalia Marekani, Ulaya, naona matajiri ni wengi sana ukiringanisha na sehemu zingine za dunia. Na kama wanatengenezwa na nchi zao, kwa sisi waafrika tujifunze nini?, Na kama wanajitengeneza wao wenyewe, ni nini kifanyike? Nipo hapa nawaza nikawekeze kwenye uchimbaji wa mafuta Iran.
  20. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Nchi imekuwa ya ajabu ajabu tu.

    Taifa limeharibika vibaya sana,viongozi wanajiona ni miungu watu,wanamiliki uhai wa kila mtu,rushwa inanuka kila ofisi na ALIYEJIPA MADARAKA YA KUONGOZA NCHI KIHUNI NDIYE ANAHARARISHA,vyombo vya ulinzi na usalama havina utofauti na madada poa wa ubungo riverside. Hii yote ni kwa sababu mifumo...
Back
Top Bottom