Mabibi na mabwana,
Mtanzania mwenzetu aliyeondoka akiwa "mfu", hatimaye amerejea leo salama salimini nyumbani Tanzania.
Jambo la heshima kubwa sana kwetu sisi sote ambao ni wana halisi wa nchi hii na wazalendo.
Tumeshinda!
Tumeshinda sote tuliofanikisha kurejea kwa mwana huyu wa nchi hii...