nchi

  1. R

    JamiiForums Tanzania Tuepukane na uagizaji wa sukari nje ya nchi, uzalishaji wa sukari nchini umefikia tani 380,000

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipokuwa akizungumza na maafisa kilimo, wafanyakazi wa kiwanda cha sukari cha Bagamoyo Mkoani Pwani, ameeleza uzalishaji wa sukari ya mezani nchini unafikia tani 380,000 ambapo bado kuna bakaa ya tani 70,000, hivyo kuna kila sababu ya kuongeza uzalishaji wa sukari...
  2. JamiiForums Tanzania Mtunzi wa wimbo uliovuma zaidi miaka ya nyuma wa ‘Tanzania yetu ndio nchi ya furaha’, Mzee Stephen adai kuzurumiwa Vyombo vya Mziki

    Mtunzi wa wimbo uliovuma zaidi miaka ya nyuma wa ‘Tanzania yetu ndio nchi ya furaha’, Mzee Stephen Hizza amwemwambia mtangazaji wa kipindi cha zilipendwa wiki iliyopita TBC Chacha Maginga anasikitika licha huo wimbo kuwa maarufu radio Tanzania lakini Serikali ya Awamu ya Nne pekee ilimpa ahadi...
  3. JamiiForums Tanzania Nchi zenye Dhahabu nyingi zaidi duniani

    Nchi zilizo na akiba mingi ya dhahabu 1 United States - 8,133.46 T 2 Germany - 3,363.60 T 3 IMF -. 2,814.04 T 4 Italy - 2,451.84 T 5 France -. 2,436.01 T 6 Russian Federation - 2,299.87 T 7 China - 1,948.31 T 8 Switzerland - 1,040.00 T 9 Japan -. 765.22 T 10 India - 657.67 T 11 Netherlands -...
  4. JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya Kijeshi Mali: Rais Ibrahim Boubacar Keita na Waziri Mkuu Boubou Cisse watiwa nguvuni na Vikosi vya Jeshi

    Habari! Kulingana na vyanzo mbalimbali vya taarifa hivi sasa ninapoandika haya, kuna uwezekano wa kutokea kwa Mapinduzi ya Kijeshi nchini Mali ambapo kumekuwa na mvutano mkubwa kati ya Serikali na vikosi vya Jeshi nchini humo. Taarifa zaidi zitafuata hapo baadaye! ==== SASISHO: Katibu Mkuu...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Naona kama CCM na wafuasi wake wamejenga chuki kubwa kwa Watanzania waishio nje ya nchi, tatizo ni nini hasa? Je, wanaelewa umuhimu wa kundi hili?

    Wandungu, siyo siri naamini nanyi mmeona kuwa chuki dhidi ya watanzania waishio nje ya nchi imeongezeka sana kipindi cha uongozi wa Rais Magufuli. Kama huamini jaribu kupitia mitandao ya kijamii ikiwemo humu ndani hasa kuhusu mada zinazohusu siasa na watanzania waishio nje ya nchi, utaona chuki...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Bashiru Ally: Katiba ya sasa haikidhi mahitaji ya Nchi

    Ndugu Bashiru Ally alisema kuwa katiba ya sasa ni katiba isiyokidhi mazingira ya kisiasa ya nchi yetu maana ilitungwa kuenenda na mfumo wa chama kimoja. Dkt. Bashiru Ally akasema kuwa Katiba hii ya sasa haina muafaka wa kitaifa ambapo sasa nchini kuna vyama vingi wakati katiba hii ni ya chama...
  7. JamiiForums Tanzania Simba Sc Mabingwa wa Nchi, waingia kambini-Simba Day Another Level

  8. JamiiForums Tanzania Je, Wasanii wa nchi hii wanatumiwa na watawala wetu kama askari wa kukodiwa?

    Tumeshuhudia wasanii wote wenye majina makubwa wasiopungua 200, wakishiriki kwa pamoja kwenye tamasha lililoandaliwa na CCM, katika uwanja wa Uhuru hapo jana, kwa kile kiliichoitwa tamasha kubwa kabisa la kimuziki, kwa wasanii hao wote wanaodaiwa kuwa ni mashabiki wakubwa na wanaiunga mkono CCM...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mrema: Kuna wagombea wana"VISA"mfukoni na nyumba za kuishi ughaibuni, mnaowashadadia mkiharibu amani ya nchi mtakimbilia wapi? Nanyi mna pa kwenda?

    JF Salaam, Mzee Mrema amewaasa wanasiasa wanaotaka kuchochea Vurugu nchini waache maramoja kwani wao ndege ziko uwanjani zinasubiri wavuruge nchi ziwarushe mpaka Ulaya. Mfuatilie kwa makini
  10. D

    JamiiForums Tanzania Lissu katika mikutano yake ya kampeni anasema yeye na Mwenyekiti wanatembelea magongo kwa kupigwa na watu wasiojulikana

    Jamani mimi naona kama wanatoa siri zao na kutuwezesha sisi wananchi kupata ukweli haraka na wa uhakika kuhusu hao watu wasio julikana. Mara ya kwanza nilipomsikia Lissu pale Ufipa siku alipopokelewa nilifikiri hawakumwambia sasa nilipoona anazidi kuisema kilasiku na kila sehemu ndiyo nimekuja...
  11. JamiiForums Tanzania Anachokifanya Rais Magufuli kingefanywa na Rais muislam basi angekosolewa vikali

    Nianze kwa na declaration of interest, ili kama kuna eneo nitakua 'biased' basi wajumbe mniuie radhi. Mimi ni Mtanzania muumuni wa dini ya kikristo. Nimekua mkristo kwa maisha yangu yote. Lakini pia ni muumini mkubwa wa haki, demokrasia na falsafa ya 'secular state'. Ni ukweli ulio wazi kabisa...
  12. JamiiForums Tanzania CHADEMA Mbeya yaandaa usafiri wa Mabasi kwenda Dodoma kumsindikiza Tundu Lissu kurejesha fomu NEC

    Taarifa zinadokeza kwamba hii ndio sababu halisi ya Mamluki wa ccm ambao ni polisi Mkoani Mbeya kumkamata Mbunge wa Mbeya Mjini Mh Joseph Mbilinyi mithili ya Jambazi Sugu na kumzuia kuchukua fomu
  13. JamiiForums Tanzania Ofisi za CHADEMA Kanda ya Kaskazini zimechomwa moto usiku wa kuamkia leo ikiwa katika maandalizi ya kumpokea Tundu Lissu

    #Sasa basi === Taarifa ya awali inasema Watu ambao hawajajulikana, usiku wa kuamkia leo wamevamia na kumwagia petroli kisha kuchoma moto Ofisi za CHADEMA Kaskazini na ofisi za Mkoa na Wilaya Uchunguzi wa tukio hilo bado unaendelea kubaini wahusika na madhara yaliyojitokeza ZAIDI: Ofisi za...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya Ofisi za CHADEMA kuchomwa moto, tusubiri kuona kama media za nchi hii zitatangaza tukio hili

    Kwa tukio kama hili,natarajia media za Tanzania ziwe zimeripoti tukio hili kama breaking news, ila mpaka sasa sijui kama kuna media imefanya hivi; hata hivyo, naomba tuendelee kufuatilia coverage ya hili tukio kwa media za hapa nchini. Media za nje bila shaka zitaripoti, ila za hapa ndani...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Huyu ni msafisha viatu kweli au ana kazi nyingine maalum? Amenichambulia siasa za Tanzania na kuahidi Tundu Lissu kushindwa vibaya

    Moja kwa moja kwenye mada maana naona Tundu Lissu anajimwambafwai na hata sasa anaanza kuwachokoza watu wa kawaida kabisa hadi wasafisha viatu wa mjini Dar-es-Salaam. Niliamua kujivinjari maeneo ya mjini Dar na nikapata nafasi ya kusafisha viatu vyangu kwa kuweka Kiwi. Kwa kawaida mimi ni...
  16. JamiiForums Tanzania Kutambuliwa rasmi kwa kiongozi rasmi wa upinzani(official opposition leader) kutafanya nchi itulie na kutoa fursa ya mchango walau sawa

    Baadhi yetu tumetoa michango hapa juu ya umuhimu wa kurekebisha mifumo inayoendesha nchi hii mf katiba, Sheria na mifumo ya utawala ili kujenga taifa la kisasa,linalokwenda na wakati na taifa inclusive kwa maana ya kuwashirikisha wananchi wake kujitawaka vema. Kwa mfano Ni Jambo lisilo na...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Katambi: Lissu ni mwehu namjua vizuri atauza nchi asubuhi kweupe, kama anabisha ajitokeze hadharani

    Angalia video hii ujifunze kuhusu matatizo ya Tanzania na mtatuzi wake, jinsi wapinzani wanavyotupotosha. Angalia kabla ya kukurupuka kujibu pumba. ------ Katambi amedai Lissu sio mtu sahihi sana kwani anamfahamu vyema. Katambi anasema Lissu ni mpotoshaji kwamba matatizo ya Tanzania...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli ni Rais wa awamu ya nane, siyo ya tano!

    Tukisoma historia, utaona kuwa nchi yetu imepita katika vipindi kadhaa vya uongozi baada ya uhuru 1. Kuna Serikali huru chini ya waziri mkuu Nyerere iliyodumu kwa miezi mitatu baada ya kupata uhuru 2.Kuna serikali iliyofuata baada ya Nyerere kujiuzulu kwenda kuimarisha TANU iliyoongozwa na...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Nchi yetu kuwa na Rais Mwanasheria au Mwenye elimu Juu ya Sheria (LL.B)

    Niweke haya bayana kua mimi sio mfuasi wa chama chochote hapa nchini. Taifa letu bado ni changa na ambalo ndio limeanza kukua kiuchumi kwa speed ya namna yake, huku bado bajeti yetu kwa zaidi ya asilimia 30 ikitegemea fedha za mabeberu ili iweze kujikidhi Tuna elewa msingi wowote ule wa taifa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kukabidhi uenyekiti wa SADC jijini Dodoma. Je, ni kitu gani ameifanyia SADC cha kukumbukwa na nchi wanachama?

    Rais Magufuli anatarajia kukabidhi Uenyekiti wa SADC. Yapi maoni yako kwa kipindi alichohudumu katika nafasi hii. Je, atakumbukwa kwa mazuri yapi aliyoyafanya katika jumuia hii ya SADC ambayo yameleta tija kwa nchi wanachama? N.B. Mimi nilikuwa nimeshasahau Kama Rais wetu ndiye Mwenyekiti wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…