nchi

  1. JamiiForums Tanzania SoC01 Utunzaji wa Mazingira, Mabadiliko tabia ya nchi na maendeleo ya nchi yetu

    Tunayategemea mazingira, tunaishi ndani yake, hapana Shaka bila ya mazingira maisha yetu hayawezekaniki, pengine niseme, Sisi ni watoto wa mazingira, nayo ndiyo Mama yetu anayetulea Kwa kutupatia kila tunachokihitaji, hata hivyo katika Mazingira vipo vitu vingi hasa, vingine hata hatujui kazi na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Umuhimu wa utawala bora katika nchi za Afrika

    Niende moja kwa Moja kuelezea utawala Bora Ni Ni kitu gani. Utawala Bora Ni ile Hali ya serikali,shirika au taasisi kuongoza Kwa kufuata misingi ya Haki,uwazi na uwajibikaji . Katika nchi nyingi za jangwa la Sahara,utawala Bora imekuwa Ni kitu adimu Sana kwani nchi takribani zote zinaongoza...
  3. JamiiForums Tanzania Hii ni timu ya Taifa U23, Maajabu hayatakuja kuisha nchi hii

    Tozo ya miamala imepiga mpaka kumbukumbu zimeruka
  4. R

    JamiiForums Tanzania Tuliwambia hii Nchi bila wapinzani kuitetea ni kazi bure. Mmeona wenyewe. Msilie sasa kaeni kwa kutulia.

    Ni miaka mingi sana wapinzani tumekuwa tukipigania maslahi ya taifa kwa udi na uvumba. Kwa miaka yote tumekuwa na matokeo chanya ikiwemo kuzipinga bajeti nyonyaji kwa wananchi. Ilifika mahali bajeti pendekezwa za Mbadala kutoka kambi ya upinzani Bungeni zinachanwachanwa kwenye makamera ili...
  5. JamiiForums Tanzania Kuondoka kwa Majeshi ya Marekani Nchi Afghanistan kumewaachia maafa makubwa wananchi

    Ni huzuni kweli kweli,nimeona taarifa ya BBC ikionesha mateso wanayopata Raia wa Afghanistan kutokana na vita Kati ya Taleban na Majeshi ya Serikali. Watu Wana njaa,wanauwawa na Wana majeraha ya risasi na mabomu.Marekani wamekosea Sana kuondoka huku wakijua jeshi la Nchi ni dhaifu.Matokeo yake...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Katiba nzuri katika nchi za Afrika haina au ina msaada mdogo sana wa kuleta ustawi wa wananchi

    Kwa yaliyotokea Africa Kusini wananchi kutoka barabarani na kuzua vurugu kubwa dhidi ya uamuzi wa kisheria na kikatiba wa kumuweka ndani Rais Mstaafu, ni dhahiri kwamba bado hatujakomaa kidemokrasia. Jambo lingine limetokea kule Kenya siku chache zilizopita ambapo Rais wa nchi hiyo aliongoza...
  7. JamiiForums Tanzania Fahamu haya kuhusu ajira za nje ya nchi

    Hii ni kwa yeyote mwenye ndoto ya kwenda kufanya kazi nje ya nchi: Ili mwajili wa nje ya nchi akupe stahiki zako kama mfanyakazi na wewe ufurahie fursa hiyo basi ni lazima uwe na: 1. Elimu ya uhakika sababu ndio kigezo cha mtu anaejitambua kwa Dunia ya leo. 2. Uzoefu na taaluma yenye...
  8. JamiiForums Tanzania Changamoto za safari nje ya nchi na covid19 | delta, chanjo, cheti mambo yako vipi?

    Habari, Kufuatia wimbi jingine la ugonjwa huu na maambukizi mapya ya covid19 delta. Baadhi ya Nchi zimeingia kwenye travelling ban , mfano nchi kadhaa zimeiban India , Kenya na nyinginezo kusafiri... Karibu uwasilishe changamoto zozote ulizokutana nazo hivi karibuni kama ulisafari kutoka tz...
  9. JamiiForums Tanzania SoC01 Vichocheo vya ukuaji wa Uchumi wa Tanzania yetu

    Uchumi hupimwa kwa ongezeko la Pato la ndani la nchi ambalo nchi inakuwa umepata kwa mwaka mmoja. Kuna sababu nyingi zinazopelekea ongezeko Hilo. Kwenye nchi nyingi hupimwa pia kwa jinsi gani watumiaji wa bidhaa wananunua na uwekezaji wa bidhaa. Kama mtumiaji anauwezo wa kununua mahitaji yake...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Kuagiza TV kutoka Nje ya Nchi

    Wakuu kwema? Niende kwenye mada husika, nataka niagize TV kutoka China, nataka zile kubwa kuanzia 65" kuendelea smart ambazo kwa hapa Bongo naona Kama ziko expensive hivi. Vipi logistics zake? Bei yake? Usalama wake? Na anything relating to this? Thanks in advance.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Mizozo baina ya nchi hizi inaweza kusababisha vita kuu ya 3 ya dunia?

    Uliwengu umekuwa na muda mrefu wa utulivu isipokuwa mizozo ya vita katika mataifa machache vilivyohusisha nchi katika mabara tofauti miaka ya hapo nyuma. Tangu kukamilika kwa vita vya pili vya dunia mwaka wa 1945 hapajawahi kuwa na vita vikubwa vilivyohusisha nchi nyingi kote duniani kuweza...
  12. JamiiForums Tanzania WHO: Nchi tajiri zinapaswa kugawa chanjo kwa nchi maskini

    Maafisa wa Shirika la Afya Duniani WHO wamesema hakuna ushahidi wa kutosha unaonyesha kwamba watu wanahitaji kuchomwa sindano ya tatu ya chanjo dhidi ya virusi vya corona, na hivyo kutoa wito wa chanjo zilizobakia kupewa mataifa maskini ambayo bado hayakuchanja raia wake, badala ya kutumiwa na...
  13. JamiiForums Tanzania Watanzania waanza kujiachia na Chanjo ya COVID 19 kwenye nchi za watu

    Aliyekuwa Mgombea Urais wa TFF Aliyeenguliwa kwa fitna , Oscar Oscar na Rafiki yake ambaye sikumtambua jina lake wametangaza hadharani kwamba wamepata chanjo ya corona nchini Marekani, watu hao wawili ni raia wa Tanzania nchi ambayo miezi michache iliyopita iliamini kwamba virusi vya corona...
  14. JamiiForums Tanzania Siasa za Mafuta na Gesi: Uzberkistan inaanza kuibadili gesi asilia kuwa petroli, dizeli, mafuta ya ndege, mafuta ya taa, na gesi ya LPG

    Nchi ya Uzberkistan inaanza kuibadili Gesi Asilia kuwa petroli, dizeli, mafuta ya ndege, mafuta ya taa, na Gesi ya LPG ya kupikia. Na Elia Wilinasi Sikanyika Nchi ya Uzberkistan ina mpango wa kuanza uzalishaji katika kiwanda chake za kwanza cha kubadili Gesi asilia kuwa mafuta ya magari na...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini Nchi isiandae mashindano ya kimataifa?

    Ukitazama Mikataba ya Azam TV kwa mpira wa Tz unaona kabisa mabilioni mengi yanawekeza kwenye mpira wa Simba na Yanga tu... Wakati zipo nchi hazina uwekezaji huo lakini zinaaandaa michuano ya kimataifa.. Kwanini hatufikirii kuandaa Africa nations cup? Au world cup under 20? Au common wealth...
  16. JamiiForums Tanzania Nchi hii shule za A level ni chache sana. Kuwe na kampeni ya kujenga shule hizo

    Nimeangalia matokeo ya form six nimeshangaa kuona idadi ya shule za A level ni 610 tu nchi nzima. Kama nakumbuka vizuri, shule za O level zaidi ya 3,000. Na nyingi ya hizo shule za A level zinawanafunzi wa Olevel pia, hivyo siyo kuwa shule yote inatumika kufundisha A level. Kwa data hizo...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania imeendelea kufanya vizuri katika kudhibiti mfumuko wa bei wa Taifa ikilinganishwa na nchi nyingine za Jumuiya ya Afrika Mashariki

    Tanzania imeendelea kufanya vizuri katika kudhibiti mfumuko wa bei wa Taifa ikilinganishwa na nchi nyingine za Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa kipindi cha mwezi June, 2021. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii, Ruth Minja, Jijini Dodoma ambapo amesema kuwa mfumuko huo kwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mikutano iliyotangazwa kufanyika nchi nzima na Katibu Mkuu CCM siyo mikutano ya hadhara iliyozuiwa na Rais?

    Najiuliza Kama katibu mkuu CCM ametangaza kufanyika mikutano ya hadhara nchi nzima itakayo fanywa na wabunge, madiwani, wenyeviti wa CCM wilaya,kata,vijiji na mitaa,zuio la Rais lilikuwa linawahusu watu gani? Pia Rais ambaye ni mwenyekiti wa CCM naye anazunguka kiaina kukutana na wananchi na...
  19. JamiiForums Tanzania Catherine Ruge: Rais Samia anawanyima Wazanzibar wenzake fursa ya kuwa nchi yenye Mamlaka kamili

    "Niko Unguja na Wazanzibari wanamwambia Mama Samia "Kitendo cha yeye Kuzuia madai ya Katiba Mpya ni kuwanyima Wazanzibari fursa ya kuwa nchi yenye Mamlaka kamili, wanamkumbusha kuwa yeye kama mzanzibari anatakiwa alinde Maslahi ya Zanzibar asilewe Madaraka"-CPA Catherine Ruge
  20. JamiiForums Tanzania Hii ndio Orodha ya makundi ya watu wanaohitaji Katiba Mpya na wasiohitaji

    HII NDIO ORODHA YA MAKUNDI YA WATU WANAOHITAJI KATIBA MPYA Na, Robert Heriel Mjadala unaoendelea katika Siasa mitandaoni ni ishu ya Katiba. Wanaohitaji Katiba Mpya wamegawanyika katika makundi Yafuatayo; 1. Wanasiasa hasa wa vyama vya Upinzani 2. Wanasiasa upande wa Zanzibar. 3...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…