nchi

  1. JamiiForums Tanzania viongozi wa kiafrika tunapaswa kuiga nchi zilizo endelea tuache ujinga na upumbavu

    viongozi wa kiafrika tunapaswa kuiga nchi zilizo endelea tuache ujinga na upumbavu
  2. T

    JamiiForums Tanzania Hadi Sasa utawala wa Kiislamu katika nchi ya Irani umeanguka kwa asilimia 75%. Tanzania tutafanya kama wairani

    Ndugu watanzania, najua mnafuatilia kwa karibu kinachoendelea Irani. Waandamanaji wameshakamata maeneo muhimu ya utawala wa kiislamu wa Irani mfano. Vituo vikuu(headquaters) vya polisi, airport na sehemu nyingine nyeti karibia miji yote ya Irani. Khomenei ameukimbia mji mkuu wa Irani(Tehran)...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nchi haikombolewi kwa maombi. Hata Daudi hakumuua Goliathi kwa maombi

    Mfalme Daudi licha ya kuwa ni mteule wa Mungu hakukaa tu na kutegemea maombi kuwakomboa waisrael kutoka kwenye ukatiri wa wafilisti. Daudi alimuua Goliathi kwa mapambano ili kuwaokoa waisrael na ukatiri wa Goliathi. Kwa hiyo watanganyika cha kufanya mnakijua. Nchi haikombolewi kwa maombi.
  4. JamiiForums Tanzania Mapinduzi ni kunyakua madaraka kinyume cha sheria sio tu ya jeshi kuiba uchaguzi ni mapinduzi ya utawala wa nchi

    Mapinduzi ni kunyakua madaraka kinyume cha sheria sio tu ya jeshi kuiba uchaguzi ni mapinduzi ya utawala wa nchi. Wizi wa uchaguzi ni mapinduzi pia, sio tu jeshi lipundue na kushika madaraka jeshi linaweza kusupport mwanasiasa kufanya mapinduzi na kumpa madaraka kinyume cha sheria hata kwa...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Baada ya nchi kutulia itabidi Habib Mchange na kundi lake watueleze hii project ya kuliingiza taifa kwenye chuki za udini amepewa na nani

    Maana hii ni project na inaratibiwa kwa makusudi kabisa sasa inabidi tujue nani muasisi na mdhamini na lengo ninini?
  6. JamiiForums Tanzania Wahuni walimpachika 'Rais Urais ', wamemficha, na wao ndio wanaendesha Nchi !!Huu Utekaji na Mauaji ya Raia mmoja Mmoja yanayoendelea umekithiri

    Kwa Huu Utekaji na Mauaji yanayoendelea Nchini . Lazima utakubaliana namm kwamba, Mauaji ya Raia Okt 29, yalikua yamepangwa tu yaan ilikua lazima Samia apachikwe Urais. Akina nani hawa walioko nyuma ya huo Mpango?. H POLEPOLE Alitutajia Wahuni, ambao Kwa Sasa Mkono wao wa Rushwa umetafuta...
  7. JamiiForums Tanzania Who is in control? Nani hasa anatawala nchi yetu?

    Ndugu Watanzania naomba tutafakari hii hoja iliyoko kwenye swali, nani hasa kwa sasa anaongoza nchi yetu? Kwa nini nimeleta hii hoja? Nina sababu kadhaa ambazo nitazitanabaisha hapa chini: 1. Ndugu Samia Suluhu Hassan akiwa bungeni mara baada ya kujitangaza mshindi katika uchaguzi ambao...
  8. JamiiForums Tanzania Nchi inapopata kiongozi mjinga inakuwa hatari sana hapo ndipo makundi ya kigaidi hujitokeza yanateka na kuuwa tukivuka hapa tusifanye makosa tena

    Nchi inapopata kiongozi mjinga inakuwa hatari sana hapo ndipo makundi ya kigaidi hujitokeza yanateka na kuuwa tukivuka hapa tusifanye makosa tena. Lazima tujiulize mpaka sasa ni wangapi wametekwa ni wangapi wame uwawa kikatili ni wangapi wamenyimwa haki zao, ni wangapi wapo gerezani kwa kesi...
  9. JamiiForums Tanzania Kuzaliwa kwa Magufuli Tanzania yalikuwa ni makosa makubwa sana, nchi hii inastahili vilaza pekee, siyo watu wenye akili kubwa kama magu

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Kitendo cha Magufuri kuzaliwa Tanzania yalikuwa ni makosa makubwa sana Taifa hili ni la vilaza watu wenye akili kama Magufuri hawakutakiwa kabisa Magufuli kalikuta taifa hili miaka 60 ya uhuru halina hata ki fly over cha mchongo yeye...
  10. JamiiForums Tanzania Pawepo na Kampuni ya Vijana Ujenzi Taifa: Vijana wataajiriwa zaidi ya 5,000,000 nchi zima

    Habari Tanzania ! Napenda kuleta wazo hasa kwa Serikali Tanzania na Vijana wa Tanzania endapo ikiwapendeza. Tuanzishe taasisi ya Vijana Ujenzi Taifa; waajiriwe vijana wenye nia na kutumika kwenye sekta ya ujenzi Taifa. Itungwe Sheria ya usimamizi miundombinu na ujenzi majengo Taifa. Pia...
  11. JamiiForums Tanzania Hassan Yusuf, Dereva wa Usangu ametekwa nchini Kongo

    Dereva wa Kampuni ya Usangu ametekwa huko Kongo. Kwanini Serikali ya Tanzania inakalia kimya hivi vitendo? Kazi kutangaza Bandari ya Dar, lakini Watanzania wakitoa mzigo Dar kupeleka Congo, hawarudi na hakina anaye jali. Je, Makubaliano ya Tanzania na Kongo yapoje kibiashara?
  12. JamiiForums Tanzania Mbinu ya Uganda kuwapa uraia wachezaji toka nchi nyingine imewalipa

    Uganda wamewabadilisha uraia wachezaji 2 mmoja toka ghana na mmoja toka nigeria,na imewalipa kwani goli la kusawazisha kafunga mnigeria ikpeazu, aliyepewa uraia wa uganda.Nasi tuige hiyo mbinu
  13. JamiiForums Tanzania La Hassan Mwakinyo ni Unadhiri wa Amani wa Kuitoa Nchi kwenye Tanzi!

    Nimeipenda sana picha ya bondia Hassan Mwakinyo, ikimuonesha Simba wa vita vya haki nchini, Tundu Antiphas Lissu, na Simba mwingine wa vita vyake, Samia Suluhu Hassan. Kwa maono ya kinabii, naweza kusema kwamba, kitendo cha bondia Mwakinyo, kina kauli ya Mwenyezi Mungu - ambaye kwa mujibu wa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Utalii ukishuka kwa asilimia 20-30 nchi haitaweza kulipa Madeni, CCM mshinikizeni Samia aachie Madaraka

    Kuna picha zinasambaa Polisi wako Fukweni wanafanya Doria, kile ni kidole Serikali imejitia. Tanzania ina akiba ya kigeni ya miezi 4-6 inayotumika kulipa madeni na kununua mahitaji ya muhimu na lazima. Endapo kutakuwa na disruption ya hili basi mfumuko wa bei na ulipaji wa deni utakuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Israel imekuwa nchi ya kwanza duniani kuitambua rasmi Somaliland

    Kwa zaidi ya miaka 30, Somaliland imekuwa ikifanya kazi kama serikali: • Serikali inayofanya kazi • Uchaguzi wa kidemokrasia • Vikosi huru vya usalama • Kutovumilia kabisa na kuwadhibiti magaidi na wanajihadi Ulimwengu ulijifanya hauoni. Kisha Israeli wakafanya jambo ambalo hakuna mtu mwingine...
  16. JamiiForums Tanzania Masheikh wanaokataza waumini wao Waislamu kusherehekea Christmas katika nchi kama Tanzania hawafikiri vyema na wana matatizo.

    Sikukuu ya Christmas mwaka huu imekuja na jambo la ajabu na la hovyo sana la masheikh wengi kuharamisha katika umma kupitia vyombo vya habari kwa ukubwa sana waumini wa Kiislamu kutoshiriki Christmas na Wakristo, hawa masheikh kwa vyovyote vile sidhani kama wanaelewa wanachokifanya na kwa hakika...
  17. JamiiForums Tanzania Maisha hata hayanogi tena,jamiiforum hainogi tena imepoa tuliwaambia nchi inahitaji kiongozi wakuchilimua kama JPM.

    Enzi za awamu ya tano mambo yalikuwa mchakamchaka kila siku unapata sababu ya kuishi ila siku hizi kumepoa sana hakuna wa kuchangamsha maisha, hakuna ziara za kushtukiza wala kutumbua majipu ni kama tunajilazimisha kuishi tu siku ziende.Mpaka topic za kuanzisha thread mtu unakosa. Nikiingia...
  18. JamiiForums Tanzania Nawakumbusha viongozi wa Vyombo vya Dola: Utekaji unaoendelea baada ya kiini macho cha uchaguzi siyo afya kwa jamii, mnachochea moto

    Mimi najiuliza hivi ni kweli IGP wambura hana washauli wazuri wakumshauli namna bora ya utendaji kazi wa jeshi la polisi katika kutekeleza majukumu yake zaidi ya haya mambo yanayoendele ya utekaji baada ya kiini macho cha uchaguzi yaliyofanyika october29. ? Hawa viongozi hawajui kama kuendelea...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania si nchi ya kununua unga wa ugali nyie mliokuja kijijini msiondoke bila kulima eka 1 ya shamba la mahindi

    Nianze na kumpongeza Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan 🇹🇿 kwa kuenzi falsafa ya Mwl Nyerere ya Siasa na kilimo. Toka aingie madarakani Mh. Rais ameendelea kugawa matani kwa matani ya mbolea za ruzuku kwetu sisi wakulima. Asante sana Rais WETU🙏 Mtanzania kununua unga wa ugali na hii ardhi nzuri...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ndiyo Rais bora kuwahi kutokea Tanzania

    Rais Samia ndiyo Rais bora kuwahi kutokea katika nchi hii huyu ndiyo mimi namuweka namba moja kiukweli kwa haya mambo ambayo amefanya kwa muda mchache sana mambo yameonekana kiukweli Rais Samia ameweza kuunganisha au kuleta umoja wa kitaifa kati ya waislamu na wakristo lakini pia ameweza kuleta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…