nchi

  1. CHAGOSI GERALD

    JamiiForums Tanzania 12. Kama vijana hawatamiliki nchi, nchi itawamiliki

    Kama vijana hawatamiliki nchi, nchi itawamiliki. Na mkiiachia iwaendeshe, haitawaendesha kama binadamu- itawaendesha kama mizigo. Kama gunia la mahindi lisilopiga kelele. Hayo ndiyo mmeanza kuyaona sasa. Na bado mnafikiri ni kisiasa. Bado mnafikiri CCM au CHADEMA au ACT ndo watakuja kuwaokoa...
  2. Trayvess Daniel

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hakuna watu wa nje wa kuja kutusaidia kuondoa udhaifu wa kimamlaka tulionao bali ni NGUVU YA UMMA/WANANCHI/WENYE NCHI

    Mtu wa nje/jirani hawezi kujua ugumu unaopitia bali wewe mwenye nyumba ndio muhusika Najua watu wengi wanatamani sunctions na international organizations kufanya jambo. Ni jambo zuri na la kheri katika kusaidia kupush mapinduzi tunayoyapigania. Lakini vinara wa kwanza wa haya mapinduzi ni sisi...
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Rwanda ndio nchi mojawapo Aafrika kwa sasa inatengeza silaha na vifaa vya ulinzi bila kutegemea mataifa mengine kuangiza

    Rwanda ni moja ya nchi chache barani Afrika ambazo zimeanza uzalishaji wa silaha za ndani, ikiwemo magari ya kijeshi, silaha, munisyoni, na drones. Hii ni hatua kubwa katika kuimarisha sekta ya ulinzi ya nchi hiyo na inaweza kuwa mfano kwa mataifa mengine ya Afrika katika kupunguza utegemezi wa...
  4. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Nchi nyingine zinatutambua kama waandamanaji lakini Serikali yetu inatuona kama wahaini huku wauaji na watekaji ikiwanyamazia

    Nchi nyengine zina tutambua kama waandamanaji lakini serikali haramu inatutambua kama wahaini huku wauwaji na watekaji ikiwanyamazia. Watake wasitoke watajijua wenyewe sisi tutakinukisha.
  5. Foffana

    JamiiForums Tanzania KERO Hivi hii shida ya maji ni huku tu au nchi nzima?

    Hello Wakuu Hii mitaa yetu huku Dar es Salaam tunakabiliwa na changamoto ya maji karibia wiki nzima na sio kawaida kabisa Naomba kuuliza ni viunga vyetu tu hivi vya kimaskini au nchi nzima hili tatizo lipo? Hii hali ikiendelea hivi mbele kutakuwa kubaya sana
  6. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Heshima ya nchi imeporomoka kisa kulinda maslahi ya mgombea mmoja na CCM

    Kwa miaka mingi Tanzania imekuwa ikiheshimika kama msuluhishi wa vita mbalimbali na alama ya ukombozi na uhuru katika ukanda huu wa maziwa makuu na hata Afrika kiujumla. Tanzania ilipeleka wanajeshi wake huko Congo DRC kusaidia mgogoro baina ya Congo DRC na Rwanda, ila cha kushangaza Rais wa...
  7. TODAYS

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 MFANO MZURI: Sababu Mojawapo ni Bora Jeshi Lichukue Nchi

    Kila anayevuta kamba anaangalia eneo lake ili ale kwa kutulia ikiwa ndefu. Mwingine anakwambia 'hujui hasara za kiuchumi Jeshi kuchukua nchi, yaani blah blah ni nyingi sana. Wajeda wenye akili wanafanya mambo mazuri tena kwa haraka kuinua uchuni na kuijenfa nchi kwa faida ya kila mtu, ila...
  8. jiwe angavu

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka Mashehe kuwajibu Nchi wa Hisani

    Baada ya matamko ya nchi wahisahi kuhusiana na matukio ya liyotokea kabla na baada ya uchaguzi(feki) uliofanyika Tanzania. Kama ilivyo ada mashehe wetu wasiwasite kutoka na kuitetea Serikali kama wa fanyavyo dhidi ya Matamko ya TEC. Kwa kutoa matamko makali dhidi ya hawa mabeberu wanayoiandama...
  9. curie

    JamiiForums Tanzania Bila CHADEMA nchi haitawaliki

    Chadema ndicho chama kilikuwa kinatuliza hali ya hewa .. Upinzani wa sasa ndo Upinzani wa GEn Z
  10. sanalii

    JamiiForums Tanzania Ni nani anawajibu wa kuingilia kati katika nchi pindi mambo yanapokwenda mlama?

    wa sasa ni kama tuko na taifa lililoshindwa " Failed state", 1. kimataifa tumechafua image, ndani hakueleweki, 2. vyombo vya ulizi vina fanya vinavyotaka, 3. Viongozi wanakula kwa urefu kwa kamba zao, 4. Chaguzi zinafanyiwa figisu na uhuni waziwazi huku bado wakijisifu wameshinda. 5. Watu...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Serikali ya Tanzania yajibu matamko EU, Marekani na mashirika ya kimataifa

    Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika taarifa kwa vyombo vya habari imesema Serikali imepokea taarifa na matamko kwa umma yaliyotolewa kwa nyakati tofauti na washirika wa maendeleo na Serikali za mataifa mbalimbali kuhusu matukio ya Oktoba 29, 2025. Wakati na baada ya...
  12. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maganya: Tukilivuruga Tiafa, Nchi ikawa haitawaliki, tuatenda wapi?

    Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi CCM imetoa tamko leo Disemba 5, 2025 jijini Arusha, ikiwataka Watanzania kuacha vitendo vya vurugu na uharibifu wa mali za umma na binafsi, ikisisitiza kuwa njia hiyo siyo suluhisho la changamoto za Taifa. Akizungumza na Waandishi wa Habari, Mwenyekiti...
  13. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 watu wamejisimika madarakani kinyume cha sheria eti wanaita maandamano ni vurugu wakati wameuwa na kupindua nchi waache wajitoe akili

    watu wamejisimika madarakani kinyume cha sheria eti wanaita maandamano ni vurugu wakati wameuwa na kupindua nchi waache wajitoe akili. Sisi tutawazibua masikio na kuwafukuza au kuwakamata D9
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tanzania nchi huru, nyie mnaosubiri Trump na vi organizations uchwara viwasaidie kukaa Ikulu imekula kwenu

    Mnakumbuka kipindi cha Magufuli vimemo vya vi organizations mbalimbali vilivyotolewa na majibu ya MAGUFULI? Baadaye wakijua kuwa unajiamini na hitishiki wanaendelea kumwaga pesa maisha yanasonga. Hata wasipotoa pesa tutaishi vivyo hivyo ingawa wewe mwananchi ndiyo tutakuminya zaidi kwenye...
  15. digba sowey

    JamiiForums Tanzania Bada ya ukombozi D9, Kama Uganda wasivyompa heshima Idd Amin Dada,nashauri Samia na awamu yake isikumbukwe,mabaya yake yasimuliwe vizazi na vizazi.

    Wakuu hamjambo!!? Huku tukielekea kwenye maandamano ya amani D9 nikiwa naamini awamu hii nduli Samia anaenda kuondoka kabisa, nashauri rais wa awamu ijayo na kama taifa hatupaswi kumtambua huyu Samia kama rais aliye wahi kuitawala Tanganyika kutoka na unajisi wa nchi yetu alioufanya...
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Nani wanaoharibu nchi kati ya utawala wa CCM na vijana wanaodai haki na uwajibikaji?

    Ni kujitoa ufahamu na kukosa akili viongozi wa CCM, watawala, BAKWATA na machawa wao wengine wengi kupayukapayuka kwamba vijana wanaharibu wanaharibu nchi na kufuata mkumbo tu kwa kurubuniwa katika harakati zao za kudai haki, kupinga dhuluma na kutaka uwajibikaji. Wanaoharibu nchi hii ni CCM na...
  17. ngara23

    JamiiForums Tanzania Tanzania pekee ndo hajaalikwa kwenye utiaji saini wa amani Kati ya DRC na Rwanda huko USA

    Rais Donald Trump amealika nchi zote za maziwa makuu kwenye tukio la kutia sain makunaliano ya amani baina ya DRC na Rwanda maarufu kama "Washington Accord" Kilichonishtua zaidi Tanzania haikualikwa licha ya kuwa na mchango mkubwa wa kupigania amani ya Mashabiki mwa Congo Wanajeshi wetu wengi...
  18. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Serikali inapambana kupita KIASI kurudisha nchi kwenye ukawaida

    Ni kama mambo mengine yote yamesimama Serikali imefocus Katika kupambana na Gen Z na wanaowatuma Wasiwasi wangu ni kwamba endapo tulikuwa salama na tunakopesheka lakini tupo duni kiuchumi. Je hivi Sasa ambapo hatukopesheki na tunatumia fedha nyingi kutuliza fujo tutakuwa na Hali...
  19. T

    JamiiForums Tanzania CCM tumieni busara, mnaitumbikiza nchi shimoni

    Matamko ya juzi yameitenga kabisa Tanzania na Dunia Imefika hatua mpaka waafrica wenzetu ( Ghana ) wanatoa tamko kuhusu hali ya Tanzania, na sasa kidogo kidogo tumeenza kukataliwa nje ya Africa. Tukichelewa, tunaweza fika 2026 na jeraha ambalo litakua gumu au litachukua gharama kubwa...
  20. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Chalamila: Watu wamejengewa chuki na nchi yao

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amesema kuna watu wanawajengea chuki Watanzania na nchi yao ambayo tumeona kuna athari zimejitokeza tena kwa vijana wadogo sana. Albert Chalamila amezungumza hayo leo na Wanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji #NIT
Back
Top Bottom