nchi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Bila Mange Kimambi nchi ingekuwa na amani sana. Kwa muda mchache aliofungiwa taifa limetulia sana

    Tangu Mange Kimambo afungiwe taifa limetulia sana, Mange alikuwa na mtandao mpana sana wa kupata taarifa zilizokuwa zikizua taharuki kila siku, hii ilimpa nguvu kubwa sana ya kufuatiliwa na hata kusikilizwa. Kila siku alikuwa anaweka vitu vinavyoleta taharuki, mikataba ya rasilimali, utajiri wa...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi akishiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Jumuiya za Ukanda wa Maziwa Makuu na Nchi Wanachama

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akishiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Jumuiya za Ukanda wa Maziwa Makuu na Nchi Wanachama wa Mkataba wa Amani, Usalama na Ushirikiano kwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na eneo la...
  3. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Tatizo sio Nchi , Tatizo ni Serikali

    Yeah, nchi kama nchi haina tatizo, tatizo ni hao walioko kwenye serikali. Ndoto za wengi zimeyeyuka na kutoweka na zinaendelea kuyeyuka kwakuwa walioko huko serikalini ni genge la wabinafsi sana. Utakubaliana na mimi ,umaskini wa watu at Household level au individual level unachangiwa kwa...
  4. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Kutoka Gereza la Ukonga: Barua ya Tundu Lissu kwa Watanzania. Afafanua maana na athari nchi kuwa "banned" au kuwekewa "International restrictions"

    Watanzania, hamjambo mimi Tundu Lissu nawandikieni kuwapasha hizi habari za "Ban" toka Jumuiya za Kimataifa na mataifa rafiki kwa Tanzania Ipo hivi katika nyanja za diplomasia neno "ban" inatokana na maana ya kawaida ya "kukataza rasmi" (to prohibit officially), na katika diplomasia hutumika...
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Licha ya kuwa ni nchi masikini, tulishaangaa sana utajiri wa Somalia mipakani Afrika Mashariki na harakati zisizoisha za al shabab. Jibu ni hili

  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Nchi ya haiti,polisi ndio chanzo hata ukipeleka jeshi itakuwa ngumu.

    Polisi wa kenya baada kurudi nyumbani kutoka haiti wanakwambia polisi walikosa uhaminifu ile nchi sababu ni wao. sasa wamefikia hatua kuwaua mpaka na familia zao nili nukuu BBC makala hipo. Jeshi la polisi tanzania kumbukeni mna familia na ukoo je mnavyo shindwa kuzibiti na kufanya haya kisa...
  7. I

    JamiiForums Tanzania I Show Speed Kuzuru nchi 20 Afrika. Tanzania haimo

    https://www.instagram.com/p/DSiPoY2EV_C/?img_index=3&igsh=czl4ZGx1ajM4cTQ3
  8. Ladder 49

    JamiiForums Tanzania Bora angeendelea kutawala Malkia tu sasa hivi nchi ingekuwa na maendeleo makubwa sana

    Wakuu Habari zenu? Bora angeendelea kutawala malikia maana waliochukua nchi na kuona wanaweza kujiongoza mpaka sasa wako kwenye kuangaika na vyoo vya kujisaidia baada ya miaka 64 ya uhuru kwa maana ya kwamba walikuwa hawajui haya mambo yalitakiwa ya fanywe miaka ya 90 huko? Au ndio wanaangaika...
  9. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania WIZI huu Nina uhakika wakurugenzi wa HALIMASHAURI wanausika kikubwa mno maana ni nchi nzima.

    SHUGHULI zangu zinanifanya nisafiri kila uchwao na njia kuu ninazotumia ni BARABARA, na kupitia kwenye stand zetu zilizojengwa kwenye HALIMASHAURI mbalimbali. Nikianza na stend kuu ya Magufuli, Kuna habaria wengi wanatumia stend Ile na WANALIPA viingilio lakini hawapewi risit wao wanalipishwa...
  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Muwe na adabu mnapoiandika nchi iliyo huru. Mimi nitaendelea kusema hata wakereke

    "Na mimi hii nitaendelea kusema hata wakereke ndio Mungu aliumba kila nchi akaipa rasilimali zake, rasilimali za Tanzania ni za Watanzania na Mheshimwa Rais alitoa maelekezo anayetaka aje tushirikiane. Kama tuna rasilimali zetu lazima tuzilinde kwa wivu. Hata kama watu wanaungana kutunandika...
  11. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania (Kumbukizi): Mwaka 1975, Tanzania, Zambia na Botswana zilisusia Mkutano wa 12 wa Umoja wa Nchi za Afrika (OAU), kupinga uongozi wa Rais Idi Amin

    Mwaka 1975, Tanzania, Zambia na Botswana zilisusia Mkutano wa 12 wa Umoja wa Nchi za Afrika (OAU) uliofanyika Kampala, Uganda, kupinga uongozi wa Rais Idi Amin. Mkutano huo ulimfanya Amin kuwa mwenyekiti wa OAU kwa mwaka mmoja, nafasi ambayo kwa desturi hutolewa kwa kiongozi wa nchi mwenyeji...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Bibi akosoa Utawala wa sasa: Mtawala anaendesha nchi kwa vijembe na maneno ya kwenye Kanga. Vijembe havimpaswi mtawala

    Huyu hapa Bibi yetu wa Kizazi kipya ambaye amekataa kukaa kimya dhidi ya uovu kwenye nchi yetu, akianzia kwa kunukuu maandiko ya Biblia na kueleza uzoefu wa wananchi chini ya tawala tofauti. Alisema kuwa katika vipindi ambavyo watawala walikuwa wenye haki na waliwapenda watu wao, wananchi...
  13. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Waziri wa 'Vijana' atazunguka nchi nzima kusikiliza kero za Vijana?

    Waziri Nanauka anaonekana na msafara wake anazunguka vijiweni, Stendi kusikiliza kero za Vijana. Je huu utaratibu utachukua muda gani ili kupata maoni ya vijana kwa nchi nzima?
  14. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Ni jambo/kitu gani watanzania tunacho kinachofanya tuonewe wivu na nchi zingine?

    Hoja ya kwamba tunaonewa wivu na nchi nyingine duniani imekuwa ni kama alama ya siasa za CCM kwenye kuzuia isikosolewe. Hivi ni jambo ama kitu gani tulichonacho Tanzania kinachofanya tuonewe wivu na nchi zingine?
  15. S

    JamiiForums Tanzania TRA, je, ni kweli sasa hivi ukiingiza gari nchi kuna kodi kwa ajili ya dawa za UKIMWI(HIV)?

    Kwenye mitandao, kuna document inayodaiwa ni ya TRA inayoonyesha mlolongo wa kodi kwa mtu anaeagiza gari nchini kwa sasa. Tozo hiyo inasomeka kama "HIV Response Levy " ambayo ni kiasi cha shilingi 100,000. Swali: TRA, hiii ni kweli na hiyo document imetoka kwenu?
  16. R

    JamiiForums Tanzania Thomas Sankara: Rasilimali za nchi zinapaswa kuwanufaisha wananchi wote, si kuwatajirisha wachache

    Thomas Sankara, kiongozi wa mapinduzi na Rais wa Burkina Faso kutoka 1983 hadi 1987, alitoa kauli hii kama sehemu ya maono yake ya taifa linalojitegemea na lenye usawa. Serikali yake ilitekeleza sera nyingi zinazolenga kupambana na ufisadi, kukuza ustawi wa jamii, na kuhakikisha kuwa...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Njia ya nchi kujirudi ni chache !

    1. Serikali ya mpito ambayo haina chama na lengo ni kusimamia katiba 2. Serikali ya mseto lakini hii ni ngumu maana kuna machama ya kichawa mengi 3. Rostam na marafiki zake kumuondoa Samia kwa njia safi au Mbaya 4. Jeshi la Machawa kutoa msimamo wa kutokuuunga serikali mkono na kujiunga na...
  18. Pakome

    JamiiForums Tanzania Wazungu mnaowaamini sana uhuni walianza wao, ninyi mmejifunza kwao, msiwape siri za nchi yenu kwasababu watazitumia vibaya

    Kosa kubwa Waafrika wanalofanya ni kuwaamini sana Wazungu kiasi cha kuwapa siri za nchi zao Uhuni walianza Wazungu enzi za Ukoloni, uhuni mlio nao ni mdogo sana mliojifunza kwao huku mkubwa wakibaki nao wao wakiutumia kuiba mali zenu kuwafundisha ufiraji na kuua nchi zenu Jifunzeni kutatua...
  19. Fbn

    JamiiForums Tanzania South africa ni bora usimuogope mungu ile nchi inavyotisha.

    Leo 😄 ni mekumbuka December Maeneo ibro street pale gauteng jozi. Kipindi cha December ni mwendo wa kupombeka na mziki mkubwa. Wengi wanaita mwezi wa mapumziko wa kurudi makwao wanarudi kama wa zambabwe,zambia,botswana na malawai. Ile nchi bora usimuogope mungu maana ukimuogopa utajikuta...
  20. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ni bora ukasema hii nchi inachama kimoja na inafanya watakavyo kuliko kuishi kwa kusema kuna democracy watu wajue cha kufanya sio kutumia kuua kuficha

    Kuna rafiki yangu ni taifa ambao wamenyooka sana kwenye elimu sana na matendo yao. Wanacho kwambia kama umetaka kufanya usilete kuchanganya pande mbili kuonesha kama sio wewe. Leo hii kwa kiduku inajulikana maamuzi yake ila wananchi wengi wameshaamua kama ikitokea uwezi wanaweza kuondoka na...
Back
Top Bottom