nchi

  1. JamiiForums Tanzania Wakati nchi nyingine duniani hutafuta wasanii wachekeshaji Japani wanahitajika wasanii wanaoweza kumfanya mtu aangue kilio sio kicheko!

    Duniani hakuishi vituko Japani watu wanalipwa madola kibao kwa kufanya mtu alie machozi kuondoa stress wanaamini mtu akilia stress zinaondoka.Wasanii Muwezao kuliza watu mpo? Asipolia hulipwi Jionee video mwenyewe
  2. B

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wa Zanzibar 2020 - Tuna ya Kujifunza, yatasaidia kwa Ukombozi

    Kumtemesha mtu tonge mdomoni au haki za watu anazo hodhi haijawahi kuwa bila mpambano. Maridhiano hayawezi kutokea mitandaoni. Tunayo ya kujifunza kutokea Zanzibar walikofanikiwa kuionja tamu na chungu ya maridhiano: Shikamoo Zanzibar. Ama kweli tuna mengi ya kujifunza kwako. Pumzika kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu aongeza bajeti kwa asilimia 230 Ujenzi wa JN-HPP

    Ujenzi wa bwawa la JN-HPP pamoja na Usambazaji wa umeme vijijini Rais Samia ameongeza bajeti kwa 230% kutoka TZS 1.01T FY2020|21 hadi TZS 2.34T FY2021|22, === Tufahamu lengo la Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan ni ifikapo mwaka 2026 Tanzania iwe na umeme wa Uhakika unaofikia...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tozo zimezidi, nchi yetu tuiite 'Tozonia' badala ya Tanzania

    Nimeona sehemu fulani Waziri wa Tamisemi Mh Ummy Mwalimu akisitisha tozo ya maegesho ya magari kwa njia ya kielektroniki kutokana na malalamiko ya wengi kuzidi. Hiyo ni sehemu tu ya malalamiko ya Watanzania walio wengi ambao kwa sasa wanaelemewa na tozo. Tangu serikali hii ya awamu ya sita...
  5. JamiiForums Tanzania Najibu hoja za ndugu Humphrey Polepole kuhusu mwelekeo mpya wa nchi yetu

    Hoja kuu ya Polepole ni unyonyaji na ukandamizaji unaofanywa na nchi za Magaribi (Ulaya na Marekani) kwa nchi masikini kama zetu. Ni kwa bahati mbaya sana ndugu Polepole anazungumza kama mpigania uhuru wa miaka ya 60. Polepole anapaswa kufahamu kwamba hakuna mtu atakeyetoka nje ya nchi yetu...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kwa albam hii, Ali Kiba ndio king kweli wa bongo fleva

    Wakuu Alikiba hapewi sifa anazostahili. Kibongobongo mpaka sasa hana mpinzani maana wengine wote wanacopy & paste. Albam zao huboa sana kwani hukusanya nyimbo zao tu zilizotolewa huko nyuma na kusema ni album. Alikiba only king ameitendea haki bongo fleva. Tunapata ladha ya mziki wa Tanzania...
  7. JamiiForums Tanzania Oktoba FIFA ranking kwa nchi za wachezaji wa Simba na Yanga

    Nimewaletea latest FIFA ranking kwa nchi wanazotokea wachezaji wa Simba na Yanga ili kupanua mjadala wa kwanini timu gani wachezaji wake wanaitwa kwa wingi katika timu ya taifa. Kwa mfano Taifa kama Malawi hata Gadiel angekuwepo angeitwa karibuni wachangiaji. Taifa Nafasi Africa...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa Rais Samia nchi inakwenda bila makelele

    Mtu anaejiamini anamfukuza mwizi kimyakimya bila kupiga kelele, hata wanyama wanaojiamini habweki sana wakiona adui yao. Kuna wakati Watanzania walitaka kuaminishwa kuwa makelele mengi hadharani ni dalili njema za kujiamini na uongozi bora, lakini sasa imedhihilika kuwa sio kelele nyingi...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Moja kati ya mapungufu ya katiba ni wepesi wa kufanya mapinduzi kwa serikali iliopo madarakani: Msajili ana uwezo wa kupindua nchi

    Kufanya mapinduzi ni kukamatwa na kuondolewa kwa serikali na mamlaka yake. Kwa kawaida, ni kukamata madaraka kinyume cha katiba na kikundi cha kisiasa, jeshi, au dikteta. Hata hivyo vipi katiba yenyewe inaporuhusu kumuondoa raid kutokana na mapungufu ya kisheria..... Hilo ni moja tu kati ya...
  10. JamiiForums Tanzania Hii nchi ukitaka kuwa mzalendo kwa nyakati hizi basi cha kwanza lazima uwe mbumbumbu haswaa.

    Ndio, ni lazima uwe mbumbumbu asiyeweza kupata taarifa ya mambo yanavyoenda hapa nchini hasa upande wa siasa, na hata ukizipata basi usiwe na uwezo wa kuchenjua mbivu na mbichi. Uzalendo ni kama imani, ili uwe na imani thabiti pale mbele kwenye usukani lazima akae undisputed role model...
  11. JamiiForums Tanzania Nchi imekusanya zaidi ya trilion moja mwezi septemba ila imeshindwa kuwalipa wastaafu

    Katika kutoa taarifa za makusanyo pale Morogoro Msemaji wa Serikali amesema Serikali kwa mwezi Septemba mwaka huu serikali imekusanya Tilion 1 na zaidi cha ajabu Wastaafu wana miezi 11 wengine 12 hawajalipwa MAFAO acha pensheni MAFAO, je, kuna ukweli wowote wa makusanyo haya au kuna kitu nyuma...
  12. JamiiForums Tanzania Inadaiwa kuanzia Jumatatu hatakiwi kuonekana machinga yeyote mjini Mwanza

    Leo wamepitisha matangazo jijini Mwanza kwamba kwanzia jumatatu hawataki kuona machinga yoyote mjini, lakini hatujui wanataka watuone wapi, wanaotangaza haya wao ni watumishi wa serikali wanatembelea magari, kipato chao ni serikalini, Sisi kipato chetu ni mtaani kwanini mtufukuze? Tukale...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nchi kumi za Kiafrika zenye Gdp kubwa. Gap kati ya Kenya na Tanzania inazidi kuongezeka.

    1. Nigeria 2. South Africa 3. Egypt 4. Algeria 5. Morocco 6. Kenya 7. Angola 8. Ethiopia 9. Ghana 10. Tanzania
  14. JamiiForums Tanzania Serikali ya Canada yahukumiwa kuwalipa fidia wakazi asili wa nchi hiyo

    Mahakama ya Haki za Binadamu ya Canada ambayo mwaka 2016 iliituhumu serikali ya nchi kuwa imefanya ubaguzi wa kimbari, kutumia mabavu na kuua Wahindi Wekundu wenyeji wa nchi hiyo imeitaka serikali ya Ottawa kuwalipa fidia Wahindi Wekundu kwa kupatikana na hatia ya kukiuka haki zao za kibinadamu...
  15. JamiiForums Tanzania Kamanda wa jeshi la nchi kavu la Iran: Tunazifuatilia kikamilifu harakati za Wazayuni

    Kamanda wa vikosi vya nchi kavu vya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa tangu uje utawala wa Kizayuni karibu na mipaka ya nchi, Iran imezidi kuguswa na suala la usalama wa mpaka wake wa kaskazini magharibi na kwa sababu hiyo harakati za utawala huo haramu zinafuatiliwa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi kuzipita maendeleo nchi wanazoziongoza

    Hivi hii imekaaje unakuta mtu ni waziri ama mbunge anakuwa na maendeleo makubwa kwelikweli kuliko hata nchi yake Hebu tazama watu kama Lowassa jinsi walivyo mabilionea wakati maskini wanazidi kuongezeka kila kukicha hapa danganyika Kwa nini mbinu wanazozitumia kujiletea maendeleo binafsi...
  17. JamiiForums Tanzania Hii nchi kuna watu itawashinda, Vifurushi vya Internet vimepandishwa kimya kimya

    Kuna mambo lazima tuseme ukweli, hata kama ni ukata lakini si kwa hali hii. Mitandao yote ya simu wamepandisha gharama za bando za internet bila hata kujulisha wateja wake, nini kimetokea ikiwa ni miezi 3 tu baada ya vifurushi kupandishwa wananchi wakapiga kelele sana vikashushwa chini, leo...
  18. JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa BAVICHA na CHADEMA; Someni Historia ya Nchi hii, mnajidhalilisha kwa wenye akili

    Habarini Bavicha na Chadema kwa Ujumla Leo napenda kuwashauri jambo la kuwasaidia kutokana na trend yenu ya kuanzisha vi thread humu kuongelea kesi ya Mbowe na kuleta nadharia zenu kuhusu watu waliokuwa Wanajeshi ambao wamedhibitiwa na vyombo vya ulinzi na Usalama Napenda kuwashauri hivi...
  19. JamiiForums Tanzania Nchi masikini haiwezi kuendelea ikiongozwa kidemokrasia

    Ili nchi iendelee inahitaji kiongozi mwenye maamuzi magumu na uthubutu. Maamuzi ambayo muda mwingine hayatapendwa na wananchi. Mambo kama haya hayawezekani chini ya demokrasia. Hata wanaotuhubiria demokrasia kila siku wanajua kuwa haifai pale maamuzi magumu yanapohitajika. Ndiyo maana mataifa...
  20. E

    JamiiForums Tanzania SoC01 Utegemezi wa nchi za Afrika barani Ulaya, umeendelea kuwa tatizo sugu. Maoni haya yenye tija yatasaidia kupunguza utumwa huu

    Na Elivius Athanas. 0745937016. Nchi nyingi za Kiafrika zimeendelea kuwa tegemezi Barani Ulaya, Amerika, Asia na Mataifa mengine toka Mabara ya nje. Serikali nyingi za Afrika, zimeendelea kutegemea mikopo, misaada na sera za kiutawala na kiuchumi kutoka Mataifa hayo. Utumwa huu usiokoma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…