nchi

  1. JamiiForums Tanzania Soko huria ndiyo sababu kubwa inayofanya nchi za Kiafrika zisiendelee

    Soko huria, hasa hili soko huria la kulazimishana ni hatari sana kwa maendeleo ya nchi maskini. Kanuni ya soko huria ni kuondoa vikwazo vya biashara kati ya nchi na nchi. Watetezi wake wanadai kuwa ni njia rahisi ya kuleta maendeleo. Lakini kiukweli siyo kabisa. Nchi zote zilizoendelea zilikuwa...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Udhibiti wa Ujenzi wa Miradi ya Maendeleo Katika Nchi ya Kufikirika (isiyokuwepo kiuhalisia)

    Mheshimiwa Rais Chokambaya Bin Mwaminifu wa Jamhuri-ya-Mazuzu amefanya uamuzi mgumu kwa nia ya kuokoa fedha za serikali yake katikati ya upinzani mkali wa wadau wa sekta ya ukandarasi. Katika kikao cha Baraza la Mawaziri, alitangaza uamuzi wake huo kama ifuatavyo:- Ili kudhibiti matumizi ya...
  3. JamiiForums Tanzania Nchi gani hapa Afrika unatamani siku moja ufike?

    Mimi natamani siku moja nifije hapo Ethiopia ili nikajionee uumbaji wa Mungu ulivyo. Wewe ungependa walau siku moja ufije nchi gani hapa barani Afrika?
  4. JamiiForums Tanzania James Ole Milya system ya nchi bado inakufanyia tathmini maana huaminiki una damu za kiharakati

    Wengi mnamkumbuka mwanasiasa James Ole Milya huyu amewahi kuwa mwenyekiti wa Uvccm mkoa wa Arusha na mbunge wa jimbo la Simanjiro. Huyu ni aina ya vijana wapambanaji kwenye ulingo wa siasa hapa nchini tetesi ni kwamba awali alikuwa anabebwa na kundi la Friends Of Lowasa lakini baadae kundi hili...
  5. JamiiForums Tanzania Suala la wamachinga; Nchi imekomaa au upinzani umepata pigo kwenye mfumo wake wa uzazi?

    Kwa kawaida tulitarajia... 1: Wamachinga waandamane na kufanya fujo. 2: Kuona wapinzani wakiitumia hii kama fursa ya kujijenga kisiasa. UHALISIA 1: Wamachinga wametii haraka tena kwa ustaarabu ambao haujawahi kuwepo. 2: Wapinzani hawana time nao. Wala hakuna anayejishughulisha nao. TATIZO NI...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Chakwera: Wananchi msiwalalamikie Wanasiasa, wajibikeni kwenye suala la maendeleo ya Nchi

    Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera amewaomba Wananchi kuwajibika linapokuja suala la Maendeleo ya Taifa, badala ya kupeleka madai hayo kwa Wanasiasa Amesema anapokea mamia ya SMS kwenye simu yake kutoka kwa Watu wanaomtaka awasaidie kulea Familia kwasababu tu yeye ni Rais "Lazima tujitibu na...
  7. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya usafirishaji nchi kavu (LATRA) iruhusu daladala za bei ya juu/first class ama business class

    Habari za muda huu wanabodi, Bila kuchelewa naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Hapa nchini Tanzania tunayo Mamlaka ya Usafirishaji nchi kavu iliyoundwa miaka ya karibuni kuratibu na kusimamia usafirishaji kwa nchi kavu. Mamlaka hii ndiyo yenye jukumu la kupanga na kusimamia gharama za...
  8. JamiiForums Tanzania Nchi ambazo rai wake wameuana sana mwaka 2021

    mpaka kufika sasa hizi ndiyo nchi ambazo raia wake wameuana sana. Nigeria vifo 64,201 Brz 57,000 Mex 37000 Sa 21,000 Us 16,000 kwa EA Tz 3500 Ke 2500 Ug 4500
  9. JamiiForums Tanzania Mossad yatajwa kutibua shambulio dhidi ya Waisraeli katika nchi za Tanzania, Ghana na Senegal

    Watu watano wanaripotiwa kutiwa mbaroni katika nchi za Tanzania, Ghana na Senegal wakihusishwa na jaribio lililotibuliwa la shambulio dhidi ya Watalii wa Israel, Kituo cha Televisheni cha Channel 12 cha Israel kimeripoti. Kituo hicho kimenukuu taarifa za kiintelijensia zikionesha kuwa watu hao...
  10. JamiiForums Tanzania Mpaka awamu hii kuisha, nadhani Zanzibar itakuwa nchi iliyoendelea zaidi Afrika Mashariki

    Kwanza kwa sasa wana Rais anayejielewa sana. Si mtu wa blah blah. Na pili wanatengewa pesa nyingi sana za maendeleo. Nimesikia wametengewa bilioni 250 ya pesa za Covid. Ni pesa inayoweza kufanya makubwa sana ukizingatia kuwa Zanzibar ni nchi ndogo na yenye watu wachache sana. Zanzibar...
  11. JamiiForums Tanzania Uwepo wa waandishi wa habari makanjanja ni hatari ndani ya jamii/ nchi

    WAANDISHI MAKANJANJA NI HATARI NDANI YA NCHI. Anaandika Robert Heriel. Leo nitatumia lugha ngumu kidogo, nafahamu nazungumzia kazi za watu ambazo zinawaingizia kipato. Hata hivyo Nia yangu sio kuonyesha ubinafsi, kuwaonea kijicho, isipokuwa kuwataka wabadilike, ili tujenge jamii Bora na taifa...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini Nchi za Magharibi zinalenga kuzigawanya nchi nyingi za Afrika?

    Mpaka sasa, Jambo lilo wazi katika vita ya Ethiopia ni mkono wa nchi za magharibi katika mgogoro huo. Baadhi ya viashiria vinavyoonyesha mkono wa nchi za magharibi katika vita hiyo: matumizi ya magari ya FAO yaliyopeleka msaada wa vyakula na waasi wa TPLF. Ushahidi wa Marekani na washirika...
  13. JamiiForums Tanzania Takwa la kikatiba la baada ya kifo cha Rais aliyepo madarakani msaidizi wake awe mkuu wa Nchi litauwa wengi-lipingwe mahakamani

    Kikatiba endapo Rais aliyepo madarakani hapa Tanzania akifa makamu wake ndiye anatakiwa awe mkuu wa Nchi bila uchaguzi wowote kufanyika. Jambo ambalo ni hatari mno na ni risk kwa mkuu wa Nchi awaye endapo tu msaidizi wake watakuwa na kuhitilafiana hali ambayo pengine kibinadamu inaweza kuleta...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Je, wanasiasa kutembelea sana Wanasiasa Wastaafu ni Utaratibu tu au nchi imewashinda na Majukumu ni mazito kuliko walivyotarajia?

    Nahisi Dodoma, Dar es Salaam na Zanzibar sasa Viti ni vya Moto na imebidi Wanasiasa wa Zanzibar na Kigoma tubuni Mbinu, tugawane Majukumu na kuamzisha Utaratibu wa ghafla wa Kuwatembelea Wastaafu waliotutangulia tulipo sasa maeneo ya Masaki. Tumeingia Machi na sasa ni Novemba tayari tunaenda...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa Nini kunakuwa na mapinduzi ya kijeshi nchi za Afrika

    Mambo yapokwenda kombo na wazee was kazi wanaamua that is to much uongozi wa kiraia hauna tija Kama ilivyotokea kule Guine na Sudan
  16. JamiiForums Tanzania Jay Jay Okocha: Sikujua mimi ni Mweusi mpaka nilipofika Ujerumani

    Testimony.
  17. JamiiForums Tanzania Nchi inayoogoza kwa ubaguzi by J J Okocha

    Testimony
  18. M

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Dar es Salaam wahaha shida ya maji na umeme

    Kufeli kwa serikali ya CCM sasa kumegonga pentagoni. Jiji la Dar es laam sasa limegeuka jiji la uhaba wa maji na umeme. Kwenye ishu ya maji, kuna mgao wa siku tatutatu na maji yanatoka masaa machache kisha yanakatika. Hali hiyo imefanya watu waanze kuhangaika na ndoo na madumu kutafuta maji...
  19. JamiiForums Tanzania Mbunge aivaa Serikali kuhusu Wastaafu, ahoji kwanini wanaotumikia Nchi hii wanakufa wakidai hela

    Mbunge Mwita Getere ameitaka Serikali kutafuta Mfumo thabiti ili Wastaafu waweze kupata Fedha zao akisema "Watu wanakufa wanadai hela. Kwanini mtu ametumikia Nchi hii anakufa anadai hela?" Ameongeza, "Suala la Wastaafu ni kero kubwa katika Nchi yetu. Serikali inatakiwa kujitahidi kwenye suala...
  20. L

    JamiiForums Tanzania China yazisaidia nchi za Afrika kupata maendeleo katika matumizi ya teknolojia ya mawasiliano

    Na Caroline Nassoro Karne hii ya 21 inajulikana kama karne ya Sayansi na Teknolojia. Sekta hii imepewa umuhimu wa kipekee katika zama hizi, na ni ajabu kama utakuta mtu hana japo simu ya mkononi, kwani siku hiz, hususan simu janja (smart phones) ni sawasawa na benki, shajara, na kila kitu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…