nchi

  1. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Pakistan ni nchi ngumu sana kuiongoza

    Tokea ipate uhuru Pakistan hakuna waziri mkuu aliyedumu kwa mda wa miaka 5, wengi wao ni miaka 4, 3 au siku kadhaa tu, hii inatokana na mfumo wao wa bunge ambao Mara nyingi unamuwih vigumu kwa mgombea kuwa na majority bungeni, hii inalazimisha kuunda serekali ya mseto ikitokea pande moja uhalali...
  2. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza katika historia: Sherehe za muungano zafanyika Rais akiwa nje ya nchi

    Kwa mara yakwanza katika historia, tarehe 26/04/2022 Tanzania ina adhimisha miaka 58 ya muungano huku mkuu wa nchi akiwa nchini Marekani. Haijawahi kutokea kabla, mama anaandika historia nyingine. Uzi huu hauhusiani na nyuzi nyingine, huu ni uzi wa kumbukumbu ya kihistoria.
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Haya maneno yana ukweli kiasi gani?

    Kwema Wakuu! Mzee mmoja akasema; Ingechukua miaka 100 Magufuli kukomboa watu wengi katika nchi hii; sasa Itachukua miaka 1000 kukomboa taifa hili. Akaendelea kusema, ingawaje alikuwa akiumiza wachache Kwa maumivu makali Kwa ajili ya wengi; Sasa Wengi wataumia maumivu ya POLEPOLE Kwa ajili ya...
  4. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Simba; sawa tunajua mnapenda uchawi, ila ndio muufanye bila kificho hata ugenini? ni aibu sasa hii

    Ni nini huu upuuzi?
  5. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Ona wanavyokuwa na adabu wakiwa nje ya nchi bila akina Sirro

    Hapo ingekuwa ni Tanzania hakuna ambaye angethubutu kumbebea mabango Rais. Na angejitokeza aliye jasiri wa kufanya hivyo, angechezea kichapo ambacho asingekisahau. Lione li Mwigulu linavyojifanya linyenyekevu. Usanii mtupu! Ila heko kwa hao waandamanaji. Wamemfanya Samia ale kona. Sasa sijui...
  6. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwa tabia za kuabudu mataifa wanayoishi hawa Diaspora, ni vyema Serikali isiruhusu uraia wa nchi mbili, ni rahisi sana kusaliti nchi

    Hawa ni rahisi sana kutumika na mamlaka za nchi wanakoishi. Diaspora wanaomba wawe na uraia wa nchi mbili, yaani wawe marekani na ulaya, sijui Asia na pia wawe watanzania, wale huku na kule. Tabia ya ulafi. Juzi wamejionyesha wako upande gani, wako upande wa maadui wa taifa, mabeberu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mandamano yaitishwe nchi nzima kushinikiza kupatikana katiba mpya ili kudhibiti mafisadi wa CCM. Vinginevyo tukisubiri baada 2025 tutaumia

    Bila kuwa na katiba itayodhibiti wizi na utoroshaji wa mali za umma. Tunakwenda kuumia. Maana hii miaka mitatu mpaka uchaguzi mkuu ufanyike tutaibiwa sana. Mandamano yaitishwe nchi nzima bila kujali itikadi zetu. Tupate katiba ambayo hata Rais au waziri akifanya ufisadi anafikishwa mahakamani...
  8. beth

    JamiiForums Tanzania Zelensky: Ukraine ni mwanzo, Urusi inalenga Nchi zaidi

    Rais Volodymyr Zelensky ameonya kuwa uvamizi wa Urusi dhidi ya Nchi yake ulikuwa mwanzo tu, na kwamba malengo ya Moscow yanavuka Mipaka ya Ukraine Katika jitihada za kuleta Amani na kumaliza Vita inayoendelea, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres anatarajiwa kukutana na Marais wa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Urusi kukaza kamba, nchi za Ulaya zimenyoosha mikono na kukubali kununua gesi kwa utaratibu uliowekwa na Putin

    Inaelekea waql;ipogoma mwanzoni walikuwa wanatikisa tu kiberiti. Putin alisema gesi yake italipiwa kwa ruble. Ukilipa kwa dola ni lazima ibadilishwe hapo benki iwe ruble na ndipo upewe gesi. Umoja wa ulaya umetoa taarifa rasmi kuwa isiwe taabu watafuata utaratibu huo. Huyo ndiye PUTIN...
  10. BigTall

    JamiiForums Tanzania Serikali: Mteja ana haki ya kuona cheti cha mtoa huduma wa duka la dawa

    Wizara ya Afya kupitia Baraza la Famasi Tanzania itayafungia maduka yote ya dawa ambayo hayajasajiliwa wala kuwa na vibali na kuchukua hatua za kisheria. Hayo yamebainishwa leo jijini Dar es Salaam na Msajili wa Baraza la Famasi Bi.Elizabeth Shekhalage wakati wa ukaguzi unaoendelea nchini...
  11. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Nchi 20 za Afrika zenye upatikanaji wa uhakika wa umeme

    Orodha hii ni kwa hisani ya SDG7: Ripoti ya Maendeleo ya Nishati. Chanzo chake ni cha kimataifa kilichojitolea kufuatilia maendeleo ya upatikanaji wa nishati kote Afrika na kwingineko, kama sehemu ya shabaha za Lengo la 7 la Maendeleo Endelevu (SDG7). Ni mpango shirikishi wa Wakala wa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Mkuu wa Nchi huko USA imetugharimu walipa kodi kiasi gani?

    Niliwahi kusikia mahala kuwa mkuu wa nchi yetu akiende nje ya nchi tu kwa siku inatumika mil 500. Sasa hizi wiki mbili ni sh ngapi zimetumika? Hii ni ziara ya kikazi au yupo vakesheni?
  13. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Siri ya Uchawi

    Maisha ya bindamu yamebakia kuwa siri na kama ilivyo matendo ya kibinadamu mengine hufanywa kwenye ulimwengu ambao sisi binadamu wengine hatuuwezi kuona kwa macho ya kawaida ila wapo baadhi ambao wanaidiwa na majini pamoja na wengine nguvu zao za asili walizobarikiwa. UCHAWI ni imani ya...
  14. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Video: Kilimo cha ngano cha kisasa kinachofanyika nchi Urusi

    Nimeikuta hii video mahali, inaonyesha ni jinsi gani Urusi inafanya kilimo cha ngano kisasa mno na kuweza kuzalisha kiasi kikubwa cha ngano katika eneo dogo sana.
  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini nchi za kiislam kuna Christianphobia (Uoga wa ukristo kuwa na waumini wengi) mpaka kupelekea kukataza makanisa kujengwa ?

    Phobia ni hali ya kuogopa kitu kigeni kitakuwa na mafanikio kuliko chako, phobia katika dini ni dhana ya uoga wamba dini flani itafanikiwa kuzidi yako, hivyo hatua inabidi zichukuliwe ili kuzuia hata kama ni nje ya maandiko matakatifu. naonaga watu wanasema kuna islamaphobia lakini kiukweli...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Tujiulize: Kama Ukraine isingekuwa inapewa silaha kila siku na nchi za Magharibi kama ambavyo Urusi haipewi silaha na nchi yoyote, hali ingekuwaje?

    Nimekuwa nikijiuliza hali ingekuwaje kama mpambano kati ya Urusi na Ukraine ungekuwa MMOJA DHIDI YA MMOJA na wengine wakawa watazamaji tu. Ukraine wameshakiri kuwa sehemu kubwa ya silaha zake ziliharibiwa siku ya kwanza ya vita. Bila nchi za magharibi kumpatia ukraine silaha muda wote saa hii...
  17. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais wa DRC arudi aja Kenya tena kujadili usalama wa nchi yake

    Tumsaidie masuala ya usalama kwenye hiyo nchi yake kubwa maana humo tunakwenda kuwekeza kichwa kichwa. ======= DR Congo President Félix Tshisekedi arrived in Nairobi late Wednesday evening two weeks after his last trip to the city. He was last in Nairobi early this month for the signing of...
  18. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Rais wa Nchi unapokaa muda mrefu kwenye Nchi ya Mtu mwingine unadharaulika

    Hata maisha ya kawaida mgeni akizidisha sana kukaa home baadaye anachokwa hata treatment za ugeni zinaanza kupungua. Ndo maana watu makini hukaa siku chache ili waondoke na heshima zao. Rais unapoenda kwenye nchi ya wenzio ukakaa week. Wanakuacha wanaendelea kufanya kazi zao. Unajikuta unakaa...
  19. Suzy Elias

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi 2000 wa Kenya wana matatizo ya kiakili

    Hiyo ndiyo habari ya kiuchunguzi inayosambaa Duniani kwa kasi mno! Mapolisi elfu 2 ya Kenya ni mehu/machizi. ==== Mkuu wa huduma ya kitaifa ya Polisi nchini Kenya, Inspekta Jenerali Hilary Mutyambai amesema takriban maafisa 2,000 wa Polisi nchini humo hawana uwezo wa kiakili kufanya kazi yao...
  20. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Tuziombe nchi rafiki na taasisi za fedha hususani World Bank na African Development Bank waahirishe au kutusamehe baadhi ya madeni wanayotudai

    Rais wetu anakubalika sana kimataifa na ameweza kutufungua kimataifa. Ni rais pekee, executive president, mwanamke barani Afrika na wengi wako tayari kumsaidia ili kuonesha ulimwengu hasa wa Afrika kwamba wanawake wanaweza, tena sana tu kuliko wanaume wengi. Wengi wanapenda kuona rais wetu...
Back
Top Bottom