nchi

  1. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Dodoso za sensa, shiriki kikamilifu kwa maendeleo ya nchi yetu

    Ndugu zangu naomba niwataarifu kuwa Sensa ya Watu na Makazi 2022 itahusisha madodoso manne: 1: Dodoso la Jamii 2: Dodoso la Sensa ya Watu na Makazi 3: Dodoso la Makundi Maalum 4: Dodoso la Majengo 1. Dodoso la Jamii litaanza kwa kumuhoji mwenyekiti au mjumbe wa kitongoji au mtaa juu ya uwepo wa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Wosia wa "kitabu mtatuzi wa matatizo" ndani ya nchi tajiri yenye watu masikini

    Jina langu nililopewa na walimwengu najulikana kama KITABU MFUMBUZI WA MATATIZO.Nimezaliwa DUNIANI kote kwa mwaka usiokuwa na jina toka Enzi katika kila Pembe ya Dunia, Ninaishi TANZANIA, Nchi TAJIRI yenye watu MASIKINI ndani yake.Nimevumilia nimeshindwa nimeona Bora niseme TANZANIA ina watu...
  3. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Yanga Kusimamisha Nchi Kesho Saa 5:00 asubuhi

    "Jambo la Nchi kwa Wananchi. Kaa tayari......." 🔍 Young Africans sports club Tunaenda Kusimamisha Nchi
  4. J

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua faida za kusoma nje ya Nchi (Bachelor of Science In Agricultural Engineering)

    Naomba kujua faida za kusoma nje ya Nchi (Bachelor of Science In Agricultural Engineering). Habari ndugu zangu, Mimi ni kijana, nimezaliwa na kukulia katika kijiji kimoja kilichopo Mkoani Shinyanga. Nilihitimu stashahada ya uhandisi Kilimo miaka kadhaa iliyopita kutoka chuo cha Wizara ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu jiwe la ajabu Bosnia na ukweli kuhusu kutengenezwa na binadamu au kutokana na mabadiliko ya Tabia nchi (asili)

    Mwanaakiolojia Sam Osmanagich maarufu kwa jina la “Bosnia indiana jones" alitamka kuwa jiwe la Bosnia ni jiwe la ajabu katika Bara la Ulaya , ambapo alieleza amefanya utafiti wa jiwe kwa miaka 15 , mwaka 2016 jiwe la Bosnia liligunduliwa katika. Jiwe hilo lina upana wa mita 3 ambapo...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Zimbabwe latia fora kwenye International army games iliyohusisha nchi 30 huko Urusi

    Jeshi la Zimbabwe latia fora baada ya kuamua kushiriki International army games huko Urusi inayohusisha nchi 30 duniani. Katika mashindano hayo, kikosi bora cha tanks cha Zimbabwe kimeshindwa kulenga shabaha iliyowekwa, mbali ya kuchukua muda mwingi karibu mara mbili ya muda uliotumiwa na timu...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akishiriki Mkutano wa 42 wa Wakuu wa Nchi wa SADC (DRC) leo Agosti 17, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa 42 wa Wakuu wa Nchi wa SADC Nchini DRC leo tarehe 17 Agosti, 2022.
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Joe Biden asaini Mswada wa Bilioni 700$ kuboresha Afya, Kodi na Tabia Nchi

    Rais wa Marekani Joe Biden ametia saini mswada wa Dola Bilioni 700 ambao unalenga kupambana na Mabadiliko ya #TabiaNchi na gharama za #Afya huku akipandisha kodi kwa matajiri. Sheria hiyo inajumuisha utekelezaji wa ahadi za miaka kadhaa za Bunge ili kupunguza Bei ya Dawa zinazoagizwa na...
  9. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Tuzungumzie mlipuko wa kithembe unaoikumba nchi kwa sasa

    Nilikuwa namsikiliza Ahmed Ally wa Simba akihojiwa clouds FM. Jamaa ana kithembe kikali sana. Anasema Thimba live bila chenga. Hapo akaja mtu anatangaza Ndondo Cup. Anasema watacheza "Kinethi" na wanadhaminiwa na "Madhiwa ya athathi." Sijakaa sawa akatokea Mbwiga, anasema, "Au thio." Juzi...
  10. maganjwa

    JamiiForums Tanzania Umaskini wa nchi yetu nani alaumiwe?

    Wadau nawasalimu Kwa jina la jamhuri ya muungano wa tanzania. Kazi inaendelea. Kichwa cha habari chausika. Naenda moja Kwa moja kwenye mada. Nawaza Sana hivi ni kwanini tangu tumepata Uhuru 1961 mpaka leo neno umaskini ndo kibwagizo chetu? Na mpaka leo tunaongea Maji Safi kijijini, shule...
  11. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Chini ya uongozi wa Barbara Gonzalez, Simba SC haiwezi kupata kombe lolote nchi hii

    Najua wengi mtanipinga ukweli ni kwamba mpira wa bongo una Sarakasi nyingi sana nje ya uwanja. Babra hajui chochote kuhusu soka, kibaya zaidi hata wale wanaojua siri za mpira wa nchi hii amewaweka kando. Kama babra ataendelea kushupaza shingo na kutaka kila kitu afanye yeye msimu huu yanga...
  12. Tukuza hospitality

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tanzania haipaswi kuendelea kuitwa nchi Maskini

    Kwa ujumla, umaskini ni ile hali ya kukosa mahitaji muhimu kama chakula, maji, makazi, huduma za afya, na elimu.I'm Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) ikishirikiana na Idara ya Kuondoa Umaskini ya Wizara ya Fedha na Mipango mwaka 2017 – 18 unaonyesha kuwa...
  13. J

    JamiiForums Tanzania SoC02 Afya za watanzania ni rafiki kwa maendeleo ya nchi?

    Ndugu zangu nawasalimu kwa lugha adhimu kabisa ya kiswahili...... Najua wengi wetu hususani vijana wenzangu kila mara tunapoianza siku mpya kwetu ni kama kuingia vitani kupambania ukombozi wa taifa letu, haijalishi umeajiriwa au umejiajiri. Mtu yoyote anayejihughulisha na shughuli halali ni...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Ukiumiza watu kwa kudhani wewe ni mzalendo sana kumbuka ukiondoka Nchi ina baki palepale wanachukua wengine

    Ndugu wanajamii naungana na Paul Mayalla ktk makala zake za Kwa Maslahi ya taifa. Tukiwa ktk wikendi hii ni vema tukatafakari jambo hili. Kumbe cheo ni dhamana. Siasa ni swala la kitaifa sio la mtu binafsi na kwamba usijimilikishe michakato ya kitaifa kufika hatua ya kuumiza watu wengine ili...
  15. Newzealand360

    JamiiForums Tanzania Nchi ya ujerumani ilipaswa kutofungamana na upande wowote kwenye kitu chochote

    Kihistoria naliona taifa la ujerumani kama victim wa mahusiano na mashirikiano kwenye Jumuiya za kimataifa. Vita zote matokeo yake yameidhabu ujerumani. Naona vita ya Ukraine vile vile amebebwa tu. Vita ya pili na kunyang'anywa kwake makoloni kama sehemu ya adhabu sioni koloni la mjerumani...
  16. CIA mgumu

    JamiiForums Tanzania Kilio cha madereva pale bandarini wanaosubiri kuchukua magari yaliyoingizwa nchini yakielekea nchi jirani

    Habarini wakubwa na wadogo humu ndani. Jamii forum ina kila aina ya watu humu ndani hivyo naomba leo kuwaletea kilio hiki watu wa pale bandarini naomba lifanyieni kazi hili jambo linatuabisha. Madereva wa gari za IT na hata mizigo ya kawaida wanapokuwa wanasubiri taratibu nyingine za utoaji...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Foreign Service Officer ni nani na ana majukumu gani katika nchi!?

    Wananzengo Napenda kujua kwa kina Foreign Service Officer ana majukumu gani na kazi hii fursa gani na changamoto zipi!?
  18. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Maendeleo ya uchumi wa mtu binafsi katika kukuza uchumi wa nchi za Afrika

    Maendeleo ya mtu binafsi tu namaanisha hali ya kiuchumi ya watu Katika taifa, katika umiliki wa mali, elimu na siasa pia vitu hivi huchochea kwa kiasi kikubwa Maendeleo ya taifa kiujumla mtu mmoja mmoja katika taifa Wakiwa na uwezo mzuri wa kiuchumi Tunaweza kukuza uchumi wa nchi pia. Kwa...
  19. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete anasifiwa kwa jambo lipi hasa la maana alilofanya nchi hii?

    Watanzania wengi ni watu wenye uelewa mdogo sana wa mambo. Kwa kutumia mwanya huo ndio maana CCM inaendelea kutawala nchi hii wanavyotaka. Unashangaa watu wengi wanamsifia sana Kikwete na kumuona mtu wa aina yake na aliefanya mambo makubwa nchi hii lakini ukweli ni kwamba Kikwete kaliingiza...
  20. L

    JamiiForums Tanzania China yaendelea kuzibeba nchi za Afrika na nyingine kwenye sekta ya kilimo

    Serikali ya China imetangaza hivi karibuni kuwa kuanzia mwezi Septemba mwaka huu itaondoa kabisa ushuru kwenye asilimia 98 ya bidhaa za kilimo kutoka nchi 16 zenye mapato ya chini, tisa ya nchi hizo zikiwa ni nchi za Afrika. Hatua hii ni mwendelezo wa hatua kama hiyo iliyochukuliwa kwenye...
Back
Top Bottom