nchi

  1. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania Video: Polisi watoa tamko baada ya kuzuiwa kupita kwenye barabara ya mwendokasi

    Kwa hiyo hata jengo la MWENDOKASI Likiwa linaungua hakuna kupitisha zimamoto humo wawahi kuzima? Hawa ni walinda usalama wetu wanalinda mabenki, wanalinda wakuu wetu wa nchi, wanalinda hata ambavyo sisi kwa uelewa wetu hatuwezi ona! chukulia mfano kukawa na tukio hata la ujambazi ndani ya...
  2. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Padri Kitima: Vijana hawatavumilia milele, ipo siku wataleta mapinduzi

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki nchini (TEC) Padri Charles Kitima amewaasa wanasiasa kujirekebisa kwani ipo siku vijana wataleta mapinduzi miaka michache ijayo. Ameyasema haya kwenye mjadala wa maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Demokrasia Septemba 15, 2022. "Msipo jirekebisha ninyi...
  3. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Anuani za Makazi zizingatiwe kuleta maendeleo

    ANUANI ZA MAKAZI SIO UREMBO, ZILETE MAENDELEO Tanzania kama nchi inayoendel inajitahidi kuleta mifumo nafuu Kwa watu Ili kuwasaidia katika shughuli zao Moja ya hiyo ni mfumo wa anuani ya makazi ambapo utekelezaji wake umefanyika mwaka huu kutokana na sera ya Taifa ya posta ya mwaka 2003...
  4. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Kwa namna hiyo siri za nchi zitakuwa salama vipi kama CS mstaafu anazungushwa malipo yake?!

    Kwa mjibu wa gazeti la Mwananchi aliyewahi kuwa Katibu Mkuu kiongozi bwana Martin Lumbanga hadi wa leo hii anazungushwa kulipwa haki zake.
  5. T

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mbinu za kupambana na madhara yatokanayo na mabadiliko ya tabia ya nchi katika kilimo nchini Tanzania

    Kutokana na ukuaji wa shughuli za binadamu za uzalishaji kumekuwa na uharibifu mkubwa wa mazingira Hali inayopelekea kubadilika kwa tabia ya nchi. Aidha shughuli za kibinadamu Kama vile ukataji miti, viwanda, kilimo na usafirishaji vimepelekea mabadiliko hayo kwa wingi. Baadhi ya madhara...
  6. Kgy26

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uwajibikaji ni nguzo ya maendeleo katika nchi yoyote duniani

    Maana ya Uwajibikaji Ni hali ya kujituma kutimiza majukumu au wajibu fulani kwa wakati, mahali na muda sahihi. Neno hili katika maadili na utawala linafananishwa na kuwa na jukumu la kujibu, kutegemewa au kutoa hesabu ya kile ulichopewa dhamana ya kukifanya. Dhana hii imekuwa ikitumika sana...
  7. badison

    JamiiForums Tanzania Dr. Mpango alikuwa sahihi juu ya tatizo la hii nchi

    Imagine kiongozi mkubwa serikalini anaenda kwa mganga. Hii amwamu kila kiongozi anamganga wake ndio maana kila mtu muoga muoga kufanya maamuzi kwa faida ya watanzania. Dr. Mpango alishawaambia nyie viongozi acheni mambo ya imani za kishirikina, unakuta Mbunge, Waziri, Mkuu wa Mkoa au wa Wilaya...
  8. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tanzania ni nchi moja yenye Serikali mbili

    Tanzania ni nchi moja yenye serikali mbili tofauti…!!!Serikali hizi hutofautiana kwa lugha,muongozo na hata wananchi wake ila cha ajabu wote ni Watanzania na Rais wao ni mmoja. Serikali A hutumia lugha ya kiswahili ili kuwasiliana na wananchi wake walakini serikali B hutumia lugha ya kingereza...
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Warusi waomba majenerali wao wapigwe shaba na kuuawa kwa kusababishia nchi aibu

    Hawaamini macho yao, wengi waliaminishwa ni operesheni ya siku chache ila imekua aibua ya taifa lote, hamna kitu huwachukiza Warusi kama taifa lao kushindwa kwenye mapambano, huwa wana kiburi sana na nchi yao...wenyewe wanaita "mother Russia" A Russia state-media host has called for the...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Vipindi ya redio kugubikwa na matangazo ya kamari ni sawa?

    Hii nchi sasa tunakoelekea mi naona siko! Takriban radio zote zinachezesha kamari na ukifuatilia muda mwingi wa vipindi, niseme tu asilimia kubwa ya muda wao maudhui ni kamari. Je, tunajenga taifa la namna gani? Je, Serikali imeangalia inakuwaje hizi radio zinaruhusiwa kucheza kamari toka...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Ila hii nchi iliwahi kupata wanasiasa aina yake aisee!

    "Mkuu wa Mkoa wa Daresalaam Mhe. Paul Makonda, amezindua zoezi la kupuliza dawa katika maeneo tofauti ya Mkoa wake Ili kuua vidudu vinavoeneza ugonjwa wa Corona (COVID 19)"
  12. Pfizer

    JamiiForums Tanzania TAWA: Ongezeko la Tembo ni hatari kwa maisha na mali za watu, Mamlaka iruhusu Uvunaji wa Pembe kwa faida ya Nchi

    Imeelezwa kuwa ongezeko la Wanyamapori Nchini limekuwa chachu ya kuwa na ongezeko la ushawishi wa ujangiri, uvamizi wa maeneo ya Wananchi ambapo humesababisha uhasama kati ya mamlaka za Serikali na Wananchi. Kaimu Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wananyamapori Tanzania (TAWA)...
  13. Green Thoughts

    JamiiForums Tanzania SoC02 Agizo lolote linapotelewa, muongozo wa mbadala wake utolewe, ili kuepusha kukiukwa kwa agizo hilo

    Tunaishi katika ulimwengu ambao kila mahali utakapofika au utakapodhuru kuna utaratibu maalum uliowekwa na wahusika wa eneo hilo ili kuepusha sintofahamu yoyote inayoweza kujitokeza, inayoweza kumgharimu mhusika au mgeni yoyote kwa namna moja au nyingine. Hii inaanzia katika ngazi ya mtu...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kumbe aina hii ya uchawi hata nchi zilizoendelea upo?

    Haya mambo nilidhani yapo Tanzania 🇹🇿 tu na nchi zetu, kumbe ni dunia nzima. Watu hawataki ufanikiwe kwa namna yoyote, watakuroga kwa maneno yao ya kichawi. Hata kama sio mchawi, ukisema tu, tutaona kama utafanikiwa, moja kwa moja unakuwa umeingia kwenye kundi la wachawi.
  15. Mboka man

    JamiiForums Tanzania Why Dogo P kawatekeleza mataga tangu apate shavu nchi jirani

    Kuna siku niliwahi kuandika Uzi kuhusu dogo p sio mtu wa kumuamini basi wafuasi wake na wale mjomba walinishambulia sana kwa maneno hadi nikajiamuria kukaa kimya Sasa Leo hii huyu dogo p kapewa shavu hapo nchi jirani saivi katulia mataga kimyaaaa
  16. S

    JamiiForums Tanzania Urusi nafaka kwenda nchi masikini, kutoa mbolea ya bure

    Rais Putin ameahidi kumimina nafaka kwenda nchi masikini. Ameahidi kusupply tani milioni 30 mpaka mwisho wa December. Na pia Urusi ipo tayari kuongeza kiwango hicho na kufikia tani milioni 50. Sambamba na hilo Putin amesema atamimina mbolea ya kumwaga ya bureee kwenda nchi masikini. Kamuamuru...
  17. SYLLOGIST!

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Malikia Afariki: Sasa Nchi za Commonwealth Kusambaratika??

    Nitangulize pole zangu kwa Familia ya Elizabeth na Waingereza wote kwa msiba. ...vilevile nimpongeze Mfalme wa Waingereza. ....kwa taarifa zinazotiririka kuhusu kifo cha Malikia, kumekuwa na gumzo la Nchi zilizomo kwenye mfumo wa Commonwealth, sasa zitaanza ku"Brexit". Binafsi sioni umuhimu...
  18. P

    JamiiForums Tanzania SoC02 Sababu za kasi ndogo ya maendeleoya nchi nchini Tanzania

    Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye utajiri wa asili mkubwa duniani, lakini pamoja na kuwa na utajiri huo kasi ya maendeleo ya nchi ni ndogo sana ukilinganisha na rasilimali tulizonazo . Nini chanzo cha hayo yote?1.Kukosekana kwa dira ya taifa. Maendeleo yanahitaji dira kuu ya Taifa ili...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Ni Kwanini watanzania wanapenda sana vyama vyao kuliko hata nchi?

    Nimejaribu kufanya uchunguzi na kugundua kwamba watanzania wana mapenzi sana na vyama vyao kuliko mapenzi kwa taifa lao. Ukitaka kulielewa hili kirahisi ni pale utakapoweka hapa mjadala wote wote wenye maslahi mapana ya kitaifa, huo mjadala utatekwa na kuwa malumbano ya kivyama. Hivi vyama...
  20. Willima

    JamiiForums Tanzania Wanawake ni viongozi na wasimamizi bora wa jamii na nchi

    Kumekuwa na mtazamo wa kimazoea hasa Katika nchi za Afrika, Kuwa mwanamke hawezi kusimamia jamii na nchi kwa ujumla, maranyingi mwanamke huonekana kama mtu ambaye uwezo wake wa kusimamia hutegemea muongozo wa mwanaume na Kuwa mwanamke mwenyewe hawezi kusimamia na kufanya maamuzi hata Katika...
Back
Top Bottom