nchi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe bidhaa kutoka Tanzania bara zikiingizwa Zanzibar inahesabika zimetoka nje ya nchi! Huu muungano haufai

    Ndizi tokan Tanganyka zazuiwa huko Zanzibar 👇 Waziri aeleza sababu mwanamke aliyezuiwa kuingiza ndizi Zanzibar Zanzibar. Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Mifugo na Biashara wa Zanzibar, Shamata Shaame Khamis ametoa ufafanuzi kuhusu tukio la kutaifisha tenga 30 za ndizi za Veronica Mwanjala...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii ya Rais Samia, Jaji Biswalo anapaswa kujiuzulu haraka

    Leo Januari 31, 2023 Rais Samia amezungumzia suala la Plea Bargain, utaratibu wa Makubaliano ya Kumaliza Kesi kwa Kulipa Fedha kwa Serikali ambao ulitumika wakati wa Utawala wa Hayati Rais Magufuli chini ya DPP Biswalo Mganga aliyeondolewa na kuteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu, huku akieleza...
  3. JamiiForums Tanzania Nashauri Yanga itafute mtu wa sheria kutoka nchi za nje

    Kuna sakata kama tatu zimejitokeza kuhusu mikataba, Morrison, Fei toto, na sasa ni sportpesa. Sitaki kuchimbua sana lakini ukiangalia kwa umakini unaona kabisa mtu anayesimama kwenye kusainiana mikataba ni mtu asiye na maono, asiyekuwa na uwezo wa kufikiria na asiyejua kusimamia mikataba yenye...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kuneemeka kwa China ndio kuneemeka kwa nchi za Afrika

    Watu husema mwaka mpya huleta matumaini mapya. Lakini kwa uchumi wa dunia wa mwaka 2023, inahofiwa kuwa matarajio hayo sio mazuri sana, wasomi wengi wanakadiria kuwa kasi ya ukuaji uchumi itaendelea kupungua. Kwa Afrika haswa ukanda wa kusini mwa Sahara, watu wanaendelea kulalamikia bei kubwa ya...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mzalendo namba moja alikuwa wapi wakati nchi inapata nyufa za uadilifu? Au alijikita kupenyeza majina kwenye uteuzi akaacha jukumu mama?

    Ukimsikiliza Mhe. Rais na ukiona idadi ya maafisa wakuu wa Usalama waliotumbuliwa Kwa kipindi cha miaka Saba iliyopita utabaini hatuna maafisa sahihi kwenye nafasi za juu za menejimenti ya kiusalama. Mhe. Rais ni kama anakuwa na taarifa za ubadhirifu, uharibufu na upotevu wa Mali za umma badala...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Bashiru Ally: Heshima ya nchi yetu imeshuka, tunadhalilika kwa njaa

    "Njaa inadhalilisha heshima na uhuru wa nchi, inatweza utu wa binadamu kwahiyo tatizo la mfumuko wa bei za vyakula ni tatizo ambalo tutake tusitake lazima tuongeze kiwango cha ubunifu kukabiliana nalo, hakuna ukomo wa ubunifu, wananchi wanakibiliana na tatizo hili. "Nilikuwa nazungumza na...
  7. JamiiForums Tanzania CCM wameshindwa kuendesha nchi, huo ndiyo ukweli

    Hakuna wakati wowote ule, nchi yetu ya Tanganyika na Zanzibar (Tanzania) imewahi kuongozwa na chama kingine chochote kile zaidi ya hapo awali kuongozwa na TANU (Tanganyika) na ASP (Zanzibar) vyama ambavyo viliungana na kuzaliwa CCM. Kwa ivo umaskini wetu, ujinga wetu uliotopea, maradhi...
  8. JamiiForums Tanzania Tim Martins mmiliki wa pub za Weatherspoon ni mmoja wa walipa kodi wakubwa nchi Uingereza

    Tim hakua na uwezo mkubwa wa masomo darasani, kuna mtu alinisimulia kuwa jina la Weartherspoon lilikua jina la mwalimu wake aliyemtakia kwa hasira “Tim you’re good for nothing, you can not write essays nor manage solving mathematics questions “. Baada ya kuachana na masomo Ali hustle na pub...
  9. JamiiForums Tanzania Rais wa nchi yoyote kutumiwa salamu siku yake ya kuzaliwa na vyombo vya habari nchini ni lazima au kujipendekeza?

    Nami GENTAMYCINE naomba nichukue fursa hii kuwatakia 'Hepibasidei' wale wote wanaosheherekea leo hata na yule aliyekuwa jana na aliyeko leo huko Dakar nchini Senegal. Ukiwa katika nchi yoyote ile duniani na ukakuta ama 99% ya Media zake au Media zote zinajikomba kwa mamlaka (Serikali) jua hilo...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini nchi jirani wanakabiliwa na wingi wa Yesu feki?

    Nchi hii jirani yetu imekuwa ikikumbwa na wimbi la ongezeko la ma Yesu feki kila kukicha.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nemes Tarimo alikuwa ni shujaa japokuwa alivunja sheria za nchi. Wasomi wengi hawana ajira na wapo frustrated, CCM hawajali

    Maisha yamekuwa magumu. Degree zimetapakaa uraiani kama njugu. Ajira hakuna. Mabazazi wa CCM wanakula nchi na familia zao. Vijana mashujaa wanajilipua huko nje kusaka maisha.
  12. JamiiForums Tanzania Nchi yangu nimeipenda bure. Leo vituo vingi vya redio vinamtakia Rais Samia heri ya siku ya kuzaliwa. Inapendeza Sana

    Si kila mara utapata upendo kutoka watu wako lakini hii ni dalili nzur na njema Kwa redio kulijua hili Mama ndiyo kila kitu. Sisi wengine kila mama ni mama yetu. Tunafarijika anapopendwa mama wa wenzetu Kwa kuwamama zetu wengine wapo mbele ya haki. Allah awape maisha yenye rehma. Ameen. Leo ni...
  13. JamiiForums Tanzania Kama Lissu anapinga serikali isiweke Kodi yoyote ile kwa wananchi, yeye atatoa hela mfukoni kuendesha nchi?

    Kwa uelewa wangu, serikali inajiendesha kutokana na Kodi zinazolipwa na wananchi wake. Katika hotuba ya Lissu, alipinga Kodi zote ambazo serikali inazikusanya na kuzitumia kulipa polisi waliokuwa wanalinda mikutano yake, kujenga uwanja wa ndege, kulipa mishahara, kujenga lami ambayo wafuasi...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa takwimu zilivyo na kwa hulka ya CHADEMA hakuna aliye hai leo atashuhudia CHADEMA inatawala nchi hii

    Harakati za CHADEMA kwenda ikulu na kupata nafasi ya kutawala nchi hii hazitakaa zifanikiwe sababu walianza na mguu mbaya. KWANZA - Kuweka misingi yao kwa kubadirisha wanaharakati na uanaharakati kuwa wanasiasa na siasa. huu mchakato huchukua mda mrefu kufaniakiwa. PILI - Kushobokea siasa za...
  15. JamiiForums Tanzania Nimeamua kusimamisha masomo ya PhD nje ya nchi ili nijitayarishe kwaajili ya kugombea ubunge 2025 katika jimbo la Mbozi Mashariki

    Habari za leo watanzania wenzangu, Mimi rafiki yenu na kijana mwenzenu nilishafungua moyo wangu kuwatumikia watanzania katika kiti cha ubunge. Kama kuna wabunge humu naomba watanishauri zaidi ila ni jambo ambalo nalipenda na nina uzoefu nalo kidogo. Muda wangu sahihi wa kujitokeza hadharani...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Nchi zinazopinga ushoga zinatumia kigezo gani? Mbona hazipingi ukahaba na uasherati?

    Ukifuatilia sababu kubwa inayotolewa na nchi nyingi ikiwemo Tanzania ktk kupinga ushoga wanadai ni chukizo kwa Mungu. Ndipo sasa najiuliza chukizo kwa Mungu ni ushoga peke yake? Kwann haziharamishi ukahaba na ufuska kama ilivyofanya Indonesia? Indonesia wamepitisha Sheria kuwa mwanamke kuzaa...
  17. JamiiForums Tanzania Marufuku Mtanzania kujiunga Jeshi la nchi nyingine

    Tax apiga marufuku kwa watazania kujiunga na la Jeshi la nchi nyengine. Alisema kwa mujibu wa sheria zao Mtanzania yoyote haruhusiwi kujiunga na Jeshi la nchi yoyote isipokuwa Jeshi la Tanzaia tu na kufanya hivyo kuvunja sheria za nchi. --- SERIKALI: ‘Fuateni sheria na taratibu mkiwa nje ya...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Safari za nje ya nchi

    Inakuaje sikuizi watu wengi wanataka kusafiri nje sanasana kwa ajili ya kazi. Magroup ni mengi na wahamasishaji ni tele pia. Sasa nikupashe labda uwe na ndugu zako nje au umepata mpenzi la sivyo watakao tokea kukusaidia ni wachache. Nyakati zimebadika njia rahisi ya kwenda nje ni either utalii...
  19. JamiiForums Tanzania Nchi zilizotawaliwa na Ufaransa zimejitambua, bado sisi

    Nchi zjilizowahi kutawaliwa na Ufaransa miaka ya nyuma zile za magharibi na kaskazini ya Afrika kwa sasa zimetia akili na kukataa kufanywa kama watoto wa dola hilo korofi. Katika kipindi cha miaka 20 iliyopita taifa hilo limesababisha hasara kubwa ya maisha na uharibifu wa mali wa mataifa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ukoloni unavyozidi kuwaangamiza Waafrika kwenye nchi zao

    Kwanza Namshukuru' mwenyezi Mungu mwingi Rekhma kunifikisha siku ya Leo, pia nawaombea wote wanaochukia uzembe, wizi, ubabaishaji na unyumbu. Moja ya maswali ninayojiuliza kila siku ni kwamba kama miaka ya 1500 wazungu waliizunguka dunia kutafuta fursa, sisi ngozi nyeusi hasa watanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…