nchi

  1. JamiiForums Tanzania Wabunge walihongwa na DP World; ushahidi huu hapa!

    Naingia kwenye mada moja kwa moja nisiwachoshe na maneno mengi. Ukimsikiliza huyu mbunge kwa umakini utakubaliana nami pasi na shaka kwamba wabunge wa CCM walihongwa na kampuni ya DP World ili kuwauzia nchi. Inauma sana. Kumbe mkataba ulisainiwa tangu mwaka jana, sasa hawa wezi wanatuchora tu...
  2. JamiiForums Tanzania Hii kitu haikubaliki, hii nchi udini umeota mizizi sasa

    SAKATA LA KUPOTEA RAJAB OMARI MTANA KIJIJI CHA LULAGO HANDENI 2013 NA HUKUMU YA KUNYONGWA MASHEIKH 10 TANGA 2013 Waislam 10 wamehukumiwa kunyongwa kwa tuhuma za kuua mlinzi mmoja. Kufikia hukumu hii kuna mengi na chanzo chake kilianzia katika biashara ya hiliki na malipo ya ushuru kijijini...
  3. JamiiForums Tanzania Hoteli nzuri za kufikia unaposafiri kwenda nje ya Nchi

    Habarini Wakuu, Wengine huwa tunajilipua tu haswa kwenda kutizama fursa na kufanya biashara na kutalii. Unakuta hatuna guide wala wa kutupokea. Bila kusahau mikoa mbalimbali haswa ya kibishara. Na miji mikuu ya nchi kama Nairobi, kampala. Kwa wenye exposure jamani tuambien hotel za kufìkia na...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kutopandisha walimu madaraja kwa kuwa na mashauri ya kinidhamu ni kukiuka katiba ya Nchi, Ibara ya 13: 6(b)

    Baadhi ya walimu waliositahili kupanda madaraja ya kiutumishi 2023 hawajapandishwa vyeo vyao kwa sababu mbalimbali. Baadhi ya sababu ni walioko masomoni, walio likizo bila malipo na walio mashtaka katika kamati za kinidhamu katika wilaya mbalimbali kwa makosa mabalimbali. Kutompandisha mwalimu...
  5. JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala Bora katika Nchi za Kiafrika: Changamoto, Fursa na Mifano ya Dunia

    UTAWALA BORA KATIKA NCHI ZA KIAFRIKA: CHANGAMOTO, FURSA NA MIFANO YA DUNIA Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI Muktadha: Utawala bora ni suala muhimu katika maendeleo ya jamii yoyote. Katika nchi za Kiafrika, suala hili limekuwa likijadiliwa sana kutokana na changamoto mbalimbali zinazokabili...
  6. P

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji katika Bajeti ya Nchi

    UWAJIBIKAJI KATIKA BAJETI YA NCHI NA KATIKA WIZARA . UTANGULIZI Uwajibikaji ni wajibu wa kutekeleza majukumu yako na kuhusika katika hatua na maamuzi unayofanya. Ni hali ya kuwajibika kwa matendo yako, matokeo ya vitendo vyako, na athari zake kwa wengine. Uwajibikaji unahusisha kuchukua...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Nchi imefunguliwa, matapeli wa mtandaoni wanawalenga maprofesa

    Kuna tapeli mmoja wa mtandaoni anayejiita Prof. Veriani Samweli Maswayaga sidhani kama ni jina lake halisi. Huyu bwana anashirikiana na mwana mama wa kizungu kuwarubuni Maprofesa wastaafu kuwa wana world Bank project ya mazingira hivyo wanahitaji washauri wa kufanya nao kazi kwenye miradi yao...
  8. JamiiForums Tanzania Hatari ya kuwa na vikosi binafsi katika nchi yaonekana Sudan na Urusi

    Yaliyoikumba nchi ya Sudan na kuingia kwenye vita vibaya vya wenyewe kwa wenyewe sasa yameingia nchini Urusi. Wakati nchini Sudan kulikuwa na jeshi la RSF linaloongozwa mpaka sasa na Hemedti ambapo jeshi lake linasemekana kuithibiti miji yote mitatu mikubwa ya nchi hiyo. Kule Urusi kuna jeshi...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Tanzania ni nchi ya wajinga?!

    Tanzania kwa siku za hivi karibuni imedhihirisha kile ambacho Naibu waziri wa Afya Dk. Mollel aliwahi kusema; kwamba Tanzania wajinga ni wengi. Kwa bahati mbaya sana hata viongozi wakubwa na wasaidizi wa Rais, nachelea kusema kwamba na wao wamejidhihirisha kwamba ni wajinga. Hii pamoja na mambo...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali Iwasimamie Wasafirishaji wa Mizigo Kutoka Nje ya Nchi ili Ipate Kodi Halisi Kutoka kwa Wafanyabishara

    MHE JULIANA MASABURI AISHAURI SERIKALI IWASIMAMIE WASAFIRISHAJI WA MIZIGO ILI KUPATA KODI HALISI KWA WAFANYABIASHARA Mbunge wa Viti Maalum Vijana Taifa Mhe. Juliana Didas Masaburi tarehe 23 Juni 2023 amechangia hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2023-2024 na kutoa mapendekezo...
  11. JamiiForums Tanzania Wabunge Watoa Hoja Kuishauri Serikali Juu ya Wakulima Kuuza Mazao Nje ya Nchi

    WABUNGE WATOA HOJA KUISHAURI SERIKALI JUU YA WAKULIMA KUUZA MAZAO NJE YA NCHI Mbunge wa Jimbo la Momba, Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe amewaongoza wabunge wanaotokea maeneo ya wakulima na wafanyabiashara kutoa hoja ya kuishauri Serikali namna nzuri ya kuwasaidia wakulima wanaouza mazao...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Tulipobinafisisha Gas, tuliambiwa ni mwarobaini wa umasikini Tanzania na tutauza umeme nje ya nchi, sasa yako wapi

    CCM ni kama kibinti Malaya kiilichokimbilia kanisani kikidhani ni mwisho wa umalaya kisijue ile ni roho kamili! Kila hisia za kiumalaya zinapochemka, kinajiambia, wacha niende tu leo mara ya mwisho na starudia tena, kinafanya, na kesho kinafanya, na bado ile roho ya umalaya haikomi na mwisho...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Taifa limepoteza muelekeo, binti aliyepotea anasakwa na vyombo vya usalama vya nchi mzima huku Dp world wakipigiwa debe kwa nguvu

    Kwa hiyo siku hizi vyombo vya usalama ndani ya kata, wilaya na mkoa haviwezi kufanya majukumu yao? Kwa ishu ndogo kama kupotea mwanafunzi Msukuma amegeuka kuwa mpiga debe wa Dp world Watu wanasahah mambo ya msingi kama kujadili bajeti. Alafu tunaambiwa Mwigulu ni waziri bora hajawahi kutokea.
  14. JamiiForums Tanzania Hakuna nchi duniani itaendelea duniani kama siasa inalipa vizuri kuliko viwanda

    Katika quote maarufu za siasa Kuna hii ambayo inatabiri maendeleo ya nchi na watu wake. Inasema "katika nchi ambayo utajiri wa haraka kabisa ni kuwa MWANASIASA kuliko kufanyabiashara, kulima, na kuwa mwekezaji" Basi umasikini wa hiyo nchi mkubwa wa kutupwa kwasababu katika hiyo nchi...
  15. JamiiForums Tanzania Mwambieni Zitto IGA ni sawa na Katiba ya nchi na HGA ni sawa na sheria ya nchi. Sasa ipi inamtegemea mwenzie?

    Zitto anasema IGA ni sawa na karatasi ya kufungia vitumbua, je anajua uzito wa IGA? Kwamsiojua Intergovernmental Agreement tunaweza kuitafsiri kwamfano kwenye NCHI tungeita ni KATIBA YA NCHI. Kisha Host Gorvanment Agreement au Mikataba ya Utekelezaji, tunaweza kuitafsiri kwamfano kwenye NCHI...
  16. JamiiForums Tanzania Maombi kwa Nchi ya Tanzania June/July 2023

    Nchi ya Tanzania inapendwa na Mungu zaidi kuliko hata sisi Watanzania wenyewe. Tumebarikiwa kuwa na bendera yenye yenye rangi nne na kila rangi ina maana yake. 1. Kijani 2. Blue 3. Dhahabu/njano 4. Nyeusi Tuiombee bendera yetu iendelee kupepea juu, ipande saa 12 asubuhi na ishuke saa 12 jioni...
  17. JamiiForums Tanzania Tuna mabinti kama huyu, Wasudani wa nini?

    Sa huyu mrembo wa Kitanzania anatofauti gani na hao Wasudani yaani bongo vitu vya kipuuzi ndo vinazungumzwa.
  18. JamiiForums Tanzania Finland imetishia nchi za Afrika na Asia kuziondolea misaada iwapo zitaunga mkono Urusi

    Serikali ya Finland imetoa onyo kali kwa nchi za Afrika na Asia kuchagua kuiunga mkono Urusi ama kuchagua misaada. Finland imesema ukiunga mkono Urusi inakata misaada na mikopo nafuu. Soma hapa.
  19. L

    JamiiForums Tanzania Madai ya ‘nipe nikupe’ ya nchi za Magharibi kuhusu tathmini ya Micron yaonesha upendeleo

    Wataalamu nchini China wanasema ni jambo la kushangaza kuwa, China kutangaza kwamba chip ya kumbukumbu ya kampuni kubwa ya teknolojia ya Marekani, Micron, imeshindwa kufikia vigezo, kumeibua malalamiko kutoka kwa baadhi ya vyombo vya habari vya nchi za Magharibi, na mtazamo wa “nipe nikupe”...
  20. JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Kigeni wa Simba SC watakaotoka tu hizi nchi nitawapenda na Kuwaamini

    1. Zambia 2. Congo DR 3. Ivory Coast 4. Ghana 5. Senegal 6. South Africa 7. Uganda 8. Cameroon 9. Zimbabwe 10. Mali 11. Sudan 12. Mozambique Wasipotokea katika nchi nilizotaja hapa Simba SC isahau Mafanikio hata kwa Msimu ujao wa 2023 / 2024. Idadi ya Wachezaji wa Kigeni wanaotakiwa na TFF ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…