nchi

  1. JamiiForums Tanzania Uzuri ni kwamba namba wote tunaisoma. Wakosoaji wa serikali waimba mapambio na kusifu na kuabudu serikali wote tuko kapu moja.

    Uzuri ni kwamba sukari ikipanda bei haichagui wewe ni mwimbaji mzuri wa mapambio au ni mkosoaji wa serikali namba inasomeka maumivu yako palepale. Ukienda kituo cha mafuta kuweka mafuta kwenye gari. wote tunaugulia maumivu kwenye bei ya mafuta haichagui wewe unasifia serikali au ni mkosoaji wa...
  2. JamiiForums Tanzania Faida ambazo ingepata nchi ya Tanzania na mkoa wa Tanga kama bilionea Dangote angejenga kiwanda Cha Mafuta

    Ikiwa mradi wa refinery ya mafuta ya Aliko Dangote (au mradi wowote wa ukubwa huo) ungejengwa Tanga, Tanzania ingenufaika kwa kiwango kikubwa sana kiuchumi, kijamii na kimkakati. Tanga ina sifa ya kipekee kutokana na kuwa mwisho wa bomba la mafuta kutoka Uganda (EACOP), hivyo kuwa kitovu cha...
  3. JamiiForums Tanzania Ni hatari sana kiusalama kwa watekaji na genge lao kuendelea kutumia "Plate Number" zisiofuata mfumo rasmi wa nchi

    Maana yake Kuna Ombwe kubwa linatengenezeka . Sina Uhakika Tena Kama Askari Barabarani wanaweza Kuyasimamisha Magari yenye hizi namba. Hawawezi kwa sababu Vichwani mwao na wao wanaamini ni ya Akina Abduli. Kiasi kwamba huu uwazi , Umetengeneza Mazingira Mazuri kwa WATU WABAYA . Leo hiii...
  4. JamiiForums Tanzania Picha: Hii nchi kila mtu tapeli

    Weka comment nzuri inayoendana na Siasa itakayo maanisha hii picha. Mshindi namwekea bundle
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini hakuna adhabu ya kifo kwa mafisadi nchi za Afrika?

    Pamoja na ubaya mkubwa wa ufisadi katika maendeleo ya nchi kwa nini hakuna nchi hata moja ya Africa iliyoweka adhabu ya kifo kama China kuthibitisha dhamira kubwa ya kupambana na ufisadi?
  6. JamiiForums Tanzania Nchi za watu wanapunguza bei ya bia/product zikikaribia expiry. Tanzania je?

    Supermarket nyingi nchi za wenzetu hupunguza bei ya bia na bidhaa nyingine zikikaribia tarehe ya “best before” ili zisitupwe na kupunguza waste. Mfano mimi nilienda supermarket nikakuta bia imewekewa sticker ya discount kubwa kabisa ili iuzwe haraka kabla muda haujaisha.imagine punguzo la 70%...
  7. JamiiForums Tanzania KMC FC yadhulumiwa Penati: Sasa mechi zote tunataka refa toka nje ya nchi

    Katika mchezo wa KMC dhidi ya Yanga, Shedrack Boka alifanya faulu ya wazi na ni penalty lakini kwakuwa refa kwa sababu alizo nazo pekee na woga kwa mashbiki wa Yanga akaamua kufunika na kusababisha KMC kukosa pointi moja na imewaadhiri sana. Kuanzia msimu ujao tunaomba Mechi zote tutumie marefa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nchi hii kuna shujaa mmoja tu, yuko jela. Ndiye vijana wanamuamini

    Bila Tundu Lissu amani Tanzania itakuwa ndoto mnabaki kutishia tu kama kabla ya Oct 29
  9. JamiiForums Tanzania Uraia wa nchi mbili ni sawa ila sio kwenye uongozi na utumishi wa umma

    Suala la uraia wa nchi mbili ni zuri lakini kuna matatizo yake pia lisipowekea vizuri, mfano sasa hivi Kenya Kuna malalamiko ya baadhi ya wanasiasa waliochaguliwa viongozi Kenya kuishi Marekani kwa sababu wana uraia wa nchi mbili. Marekani pia kuna malalamiko ya baadhi ya wanasiasa wenye uraia...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kuna nchi zitakazonufaika na fursa hii ya soko wazi la China

    china wameamua kuweka soko lao wazi kwa nchi za kiafrika kuingiza bidhaa zao bila ya ushuru (zero tariffs) kuanzia sasa. Pamoja na kuwa bidhaa nyingi kutoka afrika ni mali ghafi. ikiwa ni pamoja na mazao ya kilimo, madini na bidhaa nyinginezo; badala ya kuwa mazao yaliyoongezwa thamani, hatua...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi: Mawaziri wa Afrika wanaoshughulikia Nishati na Uchukuzi watambua mchango wa Rais Samia

    Umoja wa Afrika umetambua juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika kuendeleza na kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia ndani na nje ya nchi, na kumpendekeza kutangazwa rasmi kuwa kinara wa Umoja wa Afrika wa ajenda hiyo. Hatua hiyo imefikiwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ado: Kuwa mwanasiasa wa upinzani nchi nyingi Afrika ni kujiingiza kwenye misukosuko

    Mbunge wa Tunduru Kaskazini na Katibu mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu akizungumza na waandishi wa habari, amesema katika vitu ambavyo haogopi ni kupata misukosuko ya kisiasa kwa hofu hiyo aliitoa alipoamua kuwa mwanasiasa wa upinzani. Ameongeza kuwa, kwa nchi nyingi za Afrika...
  13. JamiiForums Tanzania Kama Yale maandamano ya mapinduzi yangefanikiwa kufika jioni(Giza) nchi ingechafuka mpaka sasa kungekuwa na mapigano/vita ya wenyewe kwa wenyewe

    Hamjambo! 1. Ingawaje wengi wanakataa hayakuwa mapinduzi. Na serikali haijakiri kwenye ripoti zake. Lakini Mimi Mtibeli nakiri yale yalikuwa mapinduzi yaliyojificha kwenye mwamvuli wa maandamano. 2. Ingawaje sikuona Waandamanaji wenye silaha za Moto lakini Nia Yao ilikuwa ni kuiodondosha...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Sera ya China ya Ushuru Sifuri ni fursa kubwa kwa nchi za Afrika

    Kuanzia Mei 1, sera ya China ya ushuru sifuri kwa nchi za Afrika itajumuisha bidhaa nyingi kutoka nchi za Afrika, ikionyesha mabadiliko makubwa katika mienendo ya biashara ya kimataifa. Sera hii inakuja katika wakati muhimu kwa uchumi wa Afrika, ambao unakabiliana na mashinikizo ya nje...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Sera ya China ya ushuru sifuri kwa bidhaa za Afrika kuneemesha nchi za Afrika

    China kwa sasa inageuza soko lake kuwa chachu ya ushirikiano, hali ambayo inaonekana ni tofauti kabisa na nchi za magharibi ambazo zinatoa mapendekezo yanayoambatana na masharti kemkem. Nchi za Afrika zimekuwa zikijiuliza kwa muda mrefu, ya kwamba ni nani hasa anayefungua soko lao, kwa masharti...
  16. JamiiForums Tanzania Tugawane nchi katikati

    Tugawane nchi katikati mikoa 13 kila upande ili kila mtu aishi kwa amani anapopenda, CCM wabaki na kipande chao (pamoja na Zanzibar)waishi kwa hii katiba yao na mifumo yao ya maisha , majeshi yao na watu wao wanaoipenda, na sisi twende na kipande chetu cha mikoa 13 ,tukaunde majeshi yetu...
  17. O

    JamiiForums Tanzania Tukubaliane sasa hii nchi haina Wazee bali Wahuni waliozeeka

  18. JamiiForums Tanzania Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Iran Abbas Araghchi akutana na Putin.

    Leo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi alikutana na Rais wa Urusi Vladimir Putin huko St. Petersburg kujadili kuongeza uratibu kati ya nchi hizo mbili, kwani mataifa yote mawili sasa yamepeana ndege zisizo na rubani, hasa ndege zisizo na rubani za Shahed-pattern, na ujasusi katika...
  19. JamiiForums Tanzania Kila nikienda kanisani naambiwa niwaombee viongozi wakuu wa nchi je nifenyeje kuepuka hii dhambi?

    Kwakweli kuwa mnafiki mi siitaji kamwe Lakini nifenyeje jaman Mimi siitaji kuwa mnafiki Mimi siwezi waombea watu walio jiweka madarakani kwa kuuwa watu 518 please please padri padri Baba yangu Paroko wa ushirika wa karanga mm.ukiwataja tuwaombee Mimi ntakuwa nawatukana Sasa tatizo ni kutukania...
  20. JamiiForums Tanzania Nchi gani unaona ina mandhari mazuri?

    Je ni nchi gani ukifuatilia unaona hii nchi ina mazingira mazuri, ya kuvutia mbele ya macho? Binafsi naona Marekani. Nchi ya Marekani ina mazingira mazuri sana kuanzia Nature, miji, vijiji hadi suburbs Nimeweka picha kueleza kwa nini nahisi Marekani ndio nchi yenye mandhari mazuri kwa upande...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…