nayo

Nayo is a village in Bhamo Township in Bhamo District in the Kachin State of north-eastern Burma.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Prospecting License ina manufaa gani?

    Naombeni majibu tafadhali! 1. Mtu asiye na taaluma ya madini anaruhusiwa kumiliki leseni ya aina hiyo? 2. Utafiti wake utamnufaishaje? 3. Endapo utafiti wake utamwezesha kugundua mahali penye madini, ataruhusiwa kuiupgrade liseni yake ili aweze kulimiliki hilo eneo kwa ajili ya uchimbaji?
  2. JamiiForums Tanzania Mambo gani ya ajabu umekutana nayo ukiwa kwenye faragha?

    Yule mdau alikuwa anaporomosha matusi makubwamakubwa ya nguoni mengine hata sijawahi kuyasikia hapo kabla aisee
  3. JamiiForums Tanzania Yeye Mwanza mimi Tanga, wenzangu mnawezaje haya mahusiano ya long distance relationship?

    Nahitaji ushauri kuhusu jinsi ya kuishi na mpenzi aliye mbali (distance love). Kiukweli, naona kama tunadanganyana tu. Kila mara ni "nakupenda, nakupenda," lakini mimi ninahisi hali ni tofauti, kwamba huko aliko, labda anahusiana na mtu mwingine. Mwanamke huyu si wa kumuamini kabisa, ila mimi...
  4. JamiiForums Tanzania Kiukweli kabisa hii wala sio timu yetu. Timu yetu ameondoka nayo Gamondi

    Tulitegemea kuwa na msimu mzuri sana kwenye CL mwaka huu ila viongozi wameuharibu kwa sababu wanazozijua wao.
  5. JamiiForums Tanzania Nilichowaza mimi kumbe michepuko nayo inaokoa maisha🤭😂🤣🙌

    Alisafiri na mke wake kwenda sokoni walipofika wakapaki akakaa kwenye gari akimngojea mkewe anunue vitu sokoni mrembo mmoja akapita karibu na gari lake alipomuona akashuka akamfuata huyo mrembo ghafla ajali hii ikatokea... Nilichowaza mimi kumbe michepuko nayo inaokoa maisha🤭😂🤣🙌
  6. X

    JamiiForums Tanzania Baada ya China kujenga bandari kubwa na ya kisasa nchini Peru nayo Marekani yajibu. Kwa sasa China ndiyo taifa lenye ushawishi mkubwa Amerika Kusini

    Chancay port ni bandari ya kisasa iliyojengwa na kampuni ya China COSCO kama project ya BRI. Imezinduliwa 17th Nov 2024 na Xi na raisi wa Peru Ni smart port au full automated port kila kitu kinafanywa na mitambo au mashine na ndio smart port pekee barani humo. Robotic megaport that operates...
  7. JamiiForums Tanzania Wanaume, kumfanyia hivi mwanamke wako haiondoi uanaume wako ila inakupa thamani kubwa sana kwake

    Kaka ishi nayo hii, haiondoi uanaume wako ila inakupa thamani kwake na kuwa mtu bora sana Wakati mwingine tunamchosha kwa hekaheka za usiku, amelala hoi kwasababu ya hekaheka za mahakamani yawezekana mchuano ulikuwa mkali na wenye hoja ulimlazimu kujitetea sana. Yawezekana yupo kwenye period...
  8. JamiiForums Tanzania Ukifanya hivi ndoa utakua nayo au utatamba nayo

    1.usafi 2.nidham adabu 3.matumiz mazur ya pesa 4.jukumu lako la kwanza kumridhisha mume kwanza 5.upendo kwa ndugu wa mume 6.zawad kwa mume siku moja moja 7 kuacha kiherehere cha kimfuatilia mume mpe uhuru 8.uchapakaz 9.kuomba ruhusa kila unapotoka au kufanya jambo fulan 10.ujue kupika
  9. JamiiForums Tanzania Kangaroo Cort, Hakuna kesi ambayo Serikali ina masilahi nayo unaweza shinda kwa Mahakama za Tanzania

    Kesi ambazo tunaweza shinda kwenye Mahakama yoyote ile Tanzania ni zile Individual ambazo Serikali haina masilahi nazo na wala hazina impact yoyote kkwa Serikali. Kesi yoyote ambayo ina negative impact kubwa kwa Serikali hii ni kujisumbua nayo kwenye mahakama za Tanzania make ni ile Rostam...
  10. JamiiForums Tanzania Ni hali gani ulikutana nayo ukakubali kwamba kuna watu wana roho mbaya extra?

    Tupe ushuhuda wako
  11. JamiiForums Tanzania Eti nguo ya ndani nayo ina nje na ndani

    Ikiwa na nyuma na mbele ni sahihi kabisa! Lakini sio ndani na nje Atakayeona ni nani Kama umegeuza? Kama ni mchumba wala Hana huo muda maana wakati huo wala akili yake haiwazi hayo.. ndio maana hata ilivuliwa hutupwa chini 😂 Au labda tuseme ni daktari wakati wa kukuchoma sindano! Hapo...
  12. JamiiForums Tanzania Ni hatua ipi ulifikia ya madhara hadi ikawa hamasa yako kuachana na uraibu au mazoea potevu uliyokuwa nayo??

    Nilikuaga mpenzi sana wa soda aina ya coca cola iliyo ya baridi sana. Ilikuwa siku ikiisha bila kupiga coca najiona mtupu. Matter of fact ingebidi nipatiwe tuzo ya mnywaji bora coz nilikuwa nakunywa kila siku. Hadi hapo siku moja nilianza kuhisi meno yangu ya mbele kuanza kuuma pale...
  13. JamiiForums Tanzania Simba nayo udhamini wa GSM? Mbona vipigo mfululizo

    Hawa mashabiki na viongozi ndo Huwa wanalalama eti Yanga anakuwa bingwa Kwa kuzifunga timu kwenye ligi Kwa sababu zinadhaminiwa na GSM Sasa wao kila mechi kipigo Wao watwambie kama GSM ashaanza kuwadhamini Tengenezeni timu Acha kulia Leo mnalia refa Mara kipa Camara kauza mechi Zile 5 mlisema...
  14. JamiiForums Tanzania TANZIA MwanaJF Dada Niah amefariki dunia akipatiwa matibabu Dodoma General hospital

    Kwa majonzi makubwa nachukua nafasi hii kuwatangazia ya kwamba dada mama na ndugu yetu mwanaJamiiForums mwenzetu dada niah ametwaliwa kutoka maisha haya..! Amefariki juzi tarehe 2 Dodoma General hospital alikokuwa akipatiwa matibabu Msiba uko nyumbani kwake Dodoma na ndugu yetu Mwifwa yuko huko...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Ayatollah Khamenei kuongoza Sala ya ijumaa Leo na kutoa hutuba nzito

    Wadau hamjamboni nyote? Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei anatarajiwa kuongoza sala ya Ijumaa na kutoa hotuba ya hadhara ambayo wengi wanadhani inaweza kueleza mipango Iran baada ya shambulio kubwa la kombora dhidi ya adui yake Israel. Hotuba hii adimu ya Khamene itakiwa ni ya...
  16. JamiiForums Tanzania Hata hii nayo tutauza kwa mabepari?

     Hakuna kitu kinaumiza kama kuona mabinti wa Arusha na Moshi wakiwa wamekimbilia mikoa mingine kufanya kazi bar nk.. Wakati maeneo watokayo ndiko kulikogunduliwa madini ghali zaidi duniani na yakipatikana Tanganyika tuu.! Madini ya Tanzanite na madini mengine Tanganyika hayakugunduliwa na...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Tunakumbushana tu ! 2040 sio mbali sana, Hii ndio miaka utayokuwa nayo ukiwa bado hai, Usijisahau sana

    Mwaka 2040 sio mbali sana, Tusijisahau sana kwenye kujiandaa na uzee, kujali afya zetu, kuwekeza, n.k. Umezaliwa 1970, ukifika 2040 utakuwa na miaka 70 Umezaliwa 1971, ukifika 2040 utakuwa na miaka 69 Umezaliwa 1972, ukifika 2040 utakuwa na miaka 68 Umezaliwa 1973, ukifika 2040 utakuwa na...
  18. JamiiForums Tanzania Kiha nayo ni lugha .

    Lugha yetuuu vipi unajua?
  19. M

    JamiiForums Tanzania Muamini Baba na Mama yako unaowaona, hayo mambo ya Mungu achana nayo, hayapo na hayatokuepo

    Utapeli Kwa jina la sadaka na zaka ndio maneno ya kuvuta pesa yako, pale hakuna la maana. Sadaka na zaka ni mambo yaleyale yaani jina linabadilika kidogo. Hizo zaka na sadaka wanaenda kula hao wanaokusanya over, Amini unachokiona, usichokiona hicho hauna sababu ya kukiamini.
  20. JamiiForums Tanzania Mambo ambayo watanzania wengi mpaka wasomi wanayaongea kana kwamba wana ushahidi nayo kwa 100% wakati huenda sio kweli hata kidogo..

    Ukikuta Watanzania wanaongea mambo fulani unaweza kufikiri walikuwa mashahidi wa mambo hayo kwamba waliona tukio zima lakini kumbe ni uzushi. Kinachosikitisha ilibidi mambo hayo wayaamini watu wasio na elimu yoyote cha ajabu unakuta mpaka msomi anasimulia bila haya mbele za watu. 1. Diamond na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…