naweza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ukiacha kwenye cinema wapi naweza kuangalia muvi ya avatar?

    Kwa sasa nipo bush na sina uhakika wa kurudi town hivi karibuni Je kuna yakuniwezesha kuangalia muvi hii?
  2. JamiiForums Tanzania Kwa bajeti Hii Naweza pata gari gani mtumba show room

    Habari wakuu Kwa bajeti ya milioni 10 hadi 11 naweza pata gari gani show room .Hapo unatia funguo tu na kuondoka habari za kodi zisiwepo . Au nicheki kwa 0713 039 875
  3. JamiiForums Tanzania CHAPMAN CIGARETTE Naitafuta hii kitu naweza ipata wapi?

    Naitaka hii popote ilipo Tz
  4. T

    JamiiForums Tanzania Ni wapi naweza kupata mkopo usio na RIBA ndani ya Tanzania hii?

    Amani iwe nanyi. Moja kwa moja naomba nijitambulishe kwa imani mimi ni muumini wa dini ya Kiislam.Katika maandiko matakatifu ya kitabu cha Quran naona kuwa Suala la RIBA limekemewa sana ,kifupi ni haramu kula au kutumia RIBA! Principle kuu ni kuwa RIBA ni haramu, yaani ongezeko lolote la pesa...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi kwa umri wa miaka 41 niliofikisha naweza kutoboa maisha au ndio basi tena?

    Wana JF hivi kuna uwezekano wa kufanikiwa kiuchumi unapokuwa na umri wa kuanzia 41? Mpaka sasa nina mke na watoto watatu. Sina shughuli rasmi, nabangaiza tu. Naanza kuona kama ndoto yangu ya kuwa na mafanikio kiuchumi inafifia. Swali langu ni kwenu ninyi Wana JF. Hivi kuna possibility ya...
  6. JamiiForums Tanzania Wapi Dar naweza kupata kiwanja cha milioni mbili?

    Habari wakuu, Nataka nijenge Dar lakini kabla ya hapo nilikuwa nahitaji kufanya survey. Napenda wilaya tatu Kinondoni, Dar na Kigamboni lakini nilivyopitia maeneo mengi ambayo ni mazuri Kawe, Mbezi, Mbezi Beach, Kinyerezi Kimara ni ghali sana, hii survey nimeifanya mtandaoni! Yaani huku kupata...
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya halali, nimesoma Stashahada ya Ualimu Chemistry na Biology. Naweza fundisha Sekondari na Msingi

    Kama kuna mtu anahitaji mtu wa kufanya kazi yoyote ya halali, nipo hapa napatikana mkoa wa Arusha. Kwa yeyote mwenye connection ata Dar es Salaam naweza kuja kama kuna mwenye kazi tafadhali.
  8. JamiiForums Tanzania Msaada: Naweza kupata huduma ya kiubalozi kwenye nchi isiyo ya kwangu?

    Wakuu habarini, Naomba kuuliza jambo hili moja, kuwa naweza pata huduma ya kiubalozi kwenye nchi isiyo yangu ikiwa pia balozi hiyo ipo nchini kwangu. Mfano nafukuzia visa ya aina fulani ambayo nchi yangu haina au sio eligible, je, ninaweza kwenda nchi nyingine na kuomba aina hiyo hiyo ya visa...
  9. JamiiForums Tanzania Naweza kufungua Bank Account nikiwa nje ya Tanzania

    Naishi nje ya Nchi.....! Inawezekana kufungua Online Account kwa Bank zetu za Tanzania....! NB. Najua humu kuna Wafanyakazi wa Bank, ama member wenye Uzoefu na mambo Banking. Asante.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nawezaje kujua kama mimba haijatoka yote au Hospitali gani naweza kusafishwa?

    Habari, Naomba kuuliza mimba iliyotoka na nimebleed siku 6 mfululizo, je naweza nikawa nina mimba tena? Mimba iliharibika week iliyopita.
  11. JamiiForums Tanzania Je, naweza kusajili jina la biashara na nisianze kupeleka kodi TRA?

    Mawazo yenu wakuu, yaani nataka tu kuweka security kwenye Jina la biashara yangu hapo baadae ntakapo ianza rasmi. Lakin nmeona moja ya vitu vinavyohitajika ili kusajili jina la biashara ni TIN namba. Sasa nahofia naweza kuingia kwenye sakata la kodi ya mapato mapema wakat biashara bado...
  12. JamiiForums Tanzania Nikifanya jambo la msingi nasikia usingizi, nikishika simu unapotea, kwanini?

    Kwa mfano nafungua kitabu kwenye laptop nisome, dakika chache nasikia usingizi, mikishika simu nipoteze usingizi, namaliza masaa bila kusinzia, ipi trick ya ku win hii hali ili niwe productive?
  13. JamiiForums Tanzania Kariakoo sehemu gani naweza kupata simu used kwa bajeti kama laki 2?

    Wazee kichwa cha habari kinajitosheleza
  14. JamiiForums Tanzania Fiverr & Upwork: Je, naweza kutengeneza account rapa za kununua na kujilipa huduma zangu na kujipigia promo kwenye reviews ili nipate michongo zaidi?

    Nataka nitengenez account kama 20 hivi za wanunuaji wa bidhaa wa fiverr, ntakuwa nalipia kupitia visa hizi za mpesa/ Airtel. Nataka niwe nanunua bidhaa zangu mwenyewe halafu najipongeza kwamba natoa huduma nzuri ili nijenge jina. Ntakuwa nacheza na Ip address tofauti kwa kila browser tofauti...
  15. JamiiForums Tanzania Ni kwa namna gani naweza ku fix tatizo la bluescreen (BSOD) katika Lenovo

    Whatsupp Nina PC yaina ya Lenovo Thinkcentre ilianza kuleta error ya blue screen siku kama 4 zilizopita. Ilikuwa kwa siku inaweza restart na kunonesha blescreen halafu ikarudi normal na isirudie tena. Mwanzo niliona kawaida kwasababu hizi Windows 10 ishu ya bluescreen ni very common, so...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi naweza badilisha picha zilizoandikwa ambazo zinahitaji kuchapishwa tena na kubadilishwa kuwa faili za pdf kwakutumia simu

    Hivi naweza badilisha picha zilizoandikwa ambazo zinahitaji kuchapishwa tena na kubadilishwa kuwa faili za pdf kwakutumia simu?
  17. JamiiForums Tanzania Hospitali ipi naweza kupimwa masikio?

    Wakuu, Shida ni hiyo maana nasumbuliwa na kizunguzungu mno, kila nikigoogle naambiwa Vertigo ambayo ni shida kwenye sikio maana sina balansi kabisa
  18. JamiiForums Tanzania Mtandao gani naweza kutumia kwenye Smart Tv hapa TZ

    Wadau nisipoteze muda wenu, nauliza nje ya mkoa wa Dar Es Salaam ni mtandao wa kampuni ipi ya intaneti/simu ambao naweza kutumia kuangalia netflix au huduma za streaming kwenye smart tv hasa tulio wilayani, kwa jiji la Dar Es Salaam najua Zuku ndio wana unafuu kiasi bahati mbaya wilayani hatuna...
  19. JamiiForums Tanzania Mtandao gani naweza kutumia kwenye Smart Tv hapa Tanzania

    Wadau nisipoteze muda wenu, nauliza nje ya mkoa wa Dar Es Salaam ni mtandao wa kampuni ipi ya intaneti/simu ambao naweza kutumia kuangalia netflix au huduma za streaming kwenye smart tv hasa tulio wilayani. Kwa jiji la Dar Es Salaam najua Zuku ndio wana unafuu kiasi bahati mbaya wilayani hatuna...
  20. JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata hii bidhaa ya kuvunja mawe

    Hello wapendwa nina kaprojet kangu ili nifanikishe nahitaji hii bidhaa inayoitwa DEXPAN ambayo inatumika kuvunja mawe au miamba migumu. Wapi naweza pata.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…