nataka

Nataka is a village in Mirzapur, Uttar Pradesh, India.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nimeuza kiwanja changu milioni 10, nataka ninunue bodaboda 3. Hii biashara mnaionaje?

    Nimeuza kiwanja changu jana kilichokuwepo Kibaha nimepata milioni 10 nikaona nifanye biashara ya bodaboda. Nizinunue 3 halafu niwape vijana waniletee hesabu. Je itanilipa wakuu Kwa mliowahi kufanya hii biashara au nitaingia loss?
  2. JamiiForums Tanzania Nataka kuweka uzi wa kitabu changu cha hadithi hapa. Zipi faida zake kwa upande wangu?

    Za leo wakuu Nauliza hili, maana pia naona simulizi nyingi humu na za kuvutia zikiwa ndefu vya kutosha. Nitafaidika vipi na utaratibu ni upi wa kuanza kuweka? Natanguliza shukrani zangu
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mliosema Polepole hayuko Tanzania ... mtuambie hapa ni wapi?

    Humphrey Polepole amerecord clip fupi akiwauliza ndugu mnaopinga na kusema hayupo Tanzania Kwa kuhofia usalama wake
  4. JamiiForums Tanzania Nataka mke aliye serious wakuoa mimi ni mtumishi wa private sector nipo wilaya za Dodoma njoo inbox mchumba

    Nataka mke wa kuoa mm ni mwanaume wa miaka 40 nahitaji mwanamke yoyote ambaye yupo tayari na yupo serious kuoana au kuwa MARAFIKI aje inbox awe tayar kupima HIV nipo online karibu sana, nnapoishi kutoka mjini Dodoma mpaka nilipo ni elfu 5 karibu sana
  5. JamiiForums Tanzania Nataka kufyatua tofali inchi 4, inawezekana?

    Wataalamu habari??? Nimekaa nikawaza kutokana na ugumu wa pesa na uhitaji nilionao... nataka kujenga ukuta/ uzio wa eneo langu sasa nafikiria badala ya kufyetua tofali ya inchi 5' au 6, basi nifyetua tofali za inchi 4' je? Inawezekana?? Na kitaalamu imekaaje??, kumbuka ni kwa ajili ya uzio tuu...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Nataka CCM itafute mgombea mwingine wa u - Rais na sio Bi Samia Suluhu Hassan!!

    https://youtu.be/HHq7hqvxQSY?si=dLD-aa4aBpswt59T
  7. JamiiForums Tanzania Nataka nikope benki niwekeze UTT

    Nimeona UTT inajadiliwa sana kuna mmoja amesema ukiwekeza mil 50 kila mwezi utapata faida ya 400k, Nataka nikope mil 50 NIWEKEZE UTT ili zile faida za 400k Kila mwezi nirejeshe benki mwisho wa siku niwe na mil 50 zangu UTT na deni nimemaliza
  8. P

    JamiiForums Tanzania Nataka kujua mwezi wa kuripoti chuo

    Kwani tulio maliza form iv mwaka huu tukapangiwa chuo tunaweza kuanz kuripoti lini
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nina Millioni 1 nataka kununua vitu vya awali kwa ajili ya kufungua grosari (mini pub)

    Nina milioni 1, ninataka kununua vitu vya awali kwa ajili ya kufungua ki grosari au mini pub. Nianze na nini na nini? Niweke ndani kabla ya kukusanya nguvu kwa ajili ya hela ya kodi na matengenezo ya ofisi.
  10. JamiiForums Tanzania Wadau nataka kujiweka humu mwenye ushauri naomba nisije nikaingia mkenge

    Nauliza hiki kifaa aliewahi kukitumia anipe uzoefu wake je unlimited yake ni ya kweli tofauti na airtel ambao wanabana speed ukizidisha matumizi
  11. JamiiForums Tanzania HASZU KAMA HAPPY BIRTHDAY YAKO YA MWAKA HUU BADO NATAKA NIGHARAMIE KILA KITU

    Nawasilisha Kama shughuli au jambo lako la happy birthday kwa mwaka huu bado halijapita naomba nigharamie shughuli nzima, kuanzia ukumbi au kama utaka kwenda beach, vinywaji hata kama unataka kufunga rusha roho au kigoma mm nipo tayari kugharamia. Nisiengee sana wasije sema Sina Hela watu wa...
  12. JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kuhamia Tanga

    Habari wakuu na wadau wa jf,hope mko fine. Mimi ni kijana mwenye miaka 38+ naishi mkoa wa Shinyanga kunakosifiwa kwa wingi wa madini japo mimi pesa ya madini siifaidi kabisa pamoja na kujihusisha kwa muda wa miaka mwingi. Nina familia ya mke na watoto 3,sasa nimekaa nikafikiri nakuona nihamie...
  13. JamiiForums Tanzania Wakuu naomba mwongozo nataka kununua vipande vya hisia NICO

    Kuna mil 20 inazaga zagaa hapa nataka niwekeze kwenye hisa za NICO... Wajuvi mwongozo wenu tafadhali
  14. JamiiForums Tanzania Nataka kujua kulikoni asee🤔

    Wakuu Salama!!! Naomba niende Moja Kwa Moja kwenye mada naomba majibu wakubwa Mimi kijana wa 2000 (elfu mbili) ivi ni kweli inawezekana kabisa mke kunikimbia kisa eti anasema Nina mchosha sana kitandani kwenye tendo la ndoa, kabla ajaondoka alianza kuwambia majirani wa mama wa mtaa eti waniambie...
  15. JamiiForums Tanzania Nataka kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Milima ya Udzungwa: Mwenye taarifa jinsi ya kufika na gharama zake!

    Kwema? Likizo yangu inakuja mwezi wa nane. Nilipenda nitembelee Morogoro, Milima ya Udzungwa. Nilishawahi kupaona nilivyokua naenda Ifakara, lakini sina taarifa za taratibu na gharama za kuingia izo Hifadhi. Mwenye msaada zaidi itapendeza. Itakua ni day trip, sitalala.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Aisee nimekutana pisi kitaa nataka mbinu za kutongoza

    Katika pitapita na harakati za mtu mweusi nilibahatika kuona katoto kazuri kakishua,sikuchelewa nikachukua namba na hata nae vzr tu hadi saiv ila tatizo kukafungukia ndio kuna ugumu Nisaidieni mistari wakuu kabla hakajalala nikachane makavu
  17. JamiiForums Tanzania GENTAMYCINE nikiulizwa nataka Simba SC iachane na Wachezaji wangapi ili ya Msimu ujao iwe Tishio nitasema wakubakia wawe 3 tu ila wengine wafukuzwe

    Camara, Mukwala na Mpanzu kwa Wageni wabaki na kwa Wenyeji abakie tu Kagoma, Tshabalala ila wengine Watemwe.
  18. JamiiForums Tanzania Hivi kuwa boda boda mwisho umri gani nataka nikajribu upande huo maana hali tete

    Wadau msaada maana hali tete sikujipanga kimaisha naona naelemewa na maisha sasa naona kazi ya haraka ni boda boda Ila mimi umri umeenda sasa sijui naweza pambana uko
  19. JamiiForums Tanzania Sheria na taratibu za kufuata ili kuandaa pambano la masumbwi ni zipi? Kuna member watatu humu nataka niwadunde

    Bila kupepesa macho watu hao ni huyu jamaa anajiita Mume halali wa Ephen, mwingine ni huyu anajiita Mme Mwenza na watatu ni huyu secretarybird. Tajiri Sina BAYA nataka niwakunyuge kisawasawa hawa, tena ulingoni tukaingia wanne kwa pamoja, mimi nitakuwa mwenyewe tu wao watakuwa wananichangia...
  20. JamiiForums Tanzania Nataka kwenda kupigana vita Iran niwasaidie kijeshi.

    Mimi sio mwanajeshi ila nataka kuwasaidia Iran dhidi ya Israel...! Nataka kufa nikiwasaidia watoto wazee na wanawake wajawazito.. nitumie njia gani kisheria kutambulika kutoa msaada huu wa kijeshi..??
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…