nataka

Nataka is a village in Mirzapur, Uttar Pradesh, India.

View More On Wikipedia.org
  1. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nataka kuuza mali zangu polepole nifurahie maisha urithi kwa watoto ni elimu niliyowasomesha mnasemaje?

    Sina mali nyingi ila nashukuru Nina nyumba kadha wa kadha, viwanja , mashamba na mifugo kijijini kwetu. Watoto wangu wanasoma na watamaliza bila shaka. Nimetafakari haya maisha hayana garantii naweza kufa saa yeyote je kwanini nisianze kula mali zangu taratibu kabla sijafa? Naombeni ushauri.
  2. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kwenda Shinyanga kutafuta mke

    Wakuu, nimekuwa na wazo la kwenda Shinyanga kutafuta pisi moja ambayo nitatulia nayo tuanzishe familia. Unaweza kuniuliza why Shinyanga? Kipindi kile Haji Manara alipomuibua Rushayna, baada ya kugombana naye nakumbuka alisema alimuibua huko Shinyanga. Rushayna ni pisi kwa kweli, naikubali sana...
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Nataka niwatupie roho mchafu, pepo wa mafarakano kwenye chama fulani, wavurugane mpaka mgombea wao asuse hatua za mwisho Lissu apite kiurahisi

    Nadhani wengi mtasema Mimi ni mchawi. Hapana Mtu wa Mungu anaweza kutumia malaika kuwapa mission (kazi) na wakaifanya vizuri. Pia mtu wa Mungu anaweza kuwaamuru mapepo waende ndani ya mtu au ndani ya kikundi cha watu na kwenda kufanya vurugu au jambo lolote. Mungu ametupa mamlaka juu ya vitu...
  4. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Nataka niingeze faida angalau Tsh 2000/= kwa siku UTT AMIS, niwekeze Tsh ngapi?

    Wakuu, nataka niwe napata faida ya Tsh 2000 Kila siku.. niwekeze Tsh ngapi UTT AMIS..? 2000/= kwangu inanitosha kabisa.
  5. Desierto

    JamiiForums Tanzania Nataka kujua kingereza ni njia gani nzuri?

    Kwa darasani kwa sasa ni ngumu kurudi labda naweza pata njia nyingine nzuri ya kufahamu hasa kusoma na kuongea. Nataka kufanya hivo kwasababu zifuatazo 1. Napenda Sana kusoma na kuangalia habari za kimataifa. 2. Napenda kusikiliza miziki ya kingereza 3. Napenda kutazama movie za kingereza...
  6. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt . Mpango: Nataka kuishi zaidi. Je, katishwa na nani?!

    Kuna nini ndani ya kuhitaji kuishi ziada kwa Dk Mpango? Seems ameona akiwa ndani ya mfumo maisha yake yapo hatarini-kwanini yawe?! Na kwa nini Rais Samia alijihami na kusema hitaji la Dk Mpango kutaka apumzike halichangizwi na masuala ya kazi?! ????
  7. Imchomvu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahhitaji mchumba mwanamke alie tayari anicheki tuyajenge huu mwaka nataka kuoa

  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nina Timu yangu Mtaani nataka kuichagulia Kauli Mbiu moja kati ya hizi Tatu zifuatazo....

    1. Gusa Achia urudi Bongo 2. Gusa Achia urejee NBC 3. Gusa Achia ule wa Chuya Nitajie moja tu ambayo itapendeza hasa.
  9. kingphisher

    JamiiForums Tanzania Nataka nichukue mkopo ninunue mabasi ya mikoani

    Wakuu habarini za wakati huu. Husika na madam tajwa hapo juu, Nina elimu ya Shahada ya kwanza katika tasnia ya teknolojia ya habari na biashara. (Businesses Information Technology). Usiku wa kuamkia Leo nimekosa usingizi baada ya kuwa na mawazo ya kuwaza na kuwazua juu ya maisha yangu ya usoni...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Nataka kujua biashara ya oil chafu

    Sasa ivi oil chafu imekuwa bidhaa adimu sana hasa huko kwenye garage za Magari, pikipiki, n.k Nataka kufahamu wanaozinunua wanazipeleka wapi?
  11. mr.general

    JamiiForums Tanzania NATAKA KUAGIZA MZIGO CHINA,ILA NASHINDWA KUFANYA MALIPO

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,mimi kijana mwenzenu nimelenga kujilipua kwa kuagiza mzigo kutoka china kwa mara ya kwanza,hivyo basi naomba munielekeze namna ya kufanya malipo. natanguliza shukrani za dhati
  12. profesawaaganojipya

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua presha kuka (pressure cooker) ya umeme, kampuni gani nzuri?

    Wakuu,nimepitia malalamiko mengi kuwa pressure cooker za umeme,zinasimbua sana. Kampuni gani ni nzuri,nasikia zinatumia umeme vizuri sana.. msaada wazoefu.
  13. Money Penny

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama unataka kuolewa na Bilionea, kama alivyoolewa mke wa Mwamposa, ruka hapa fastaa

    Mwaka 2025 usikae kihasara Nikikuita kwenye darasa la Feminine unaona nakuibia Mmemwona Mke wa Bilionea Mwamposa? Alivyo mrembo? Alivyo FEMININE? Hivyo ndivyo wanaume wakiwa na hela wanachagua wanawake wanaowataka wao, ambao walishindwa kuwamiliki wakiwa hawana hela We zubaa hapo, shauriako...
  14. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamu vigezo vya kupata mkopo wa kiasi cha 150 million, hii itasaidia endapo nataka kukopesha mtu au kukopa

    Nahitaji kufahamu vigezo vya kupata mkopo wa kiasi cha 150 million Maisha ya siku hizi njia za kupata mikopo zipo nyingi na tofauti Wapo watu wanaokopeshana wenyewe pasipo kuhusisha taasisi za mikopo huku wengine wakitumia taasisi za mikopo Nahitaji kufahamu vigezo hii itasaidia endapo nataka...
  15. The patriot man

    JamiiForums Tanzania Nina million 23 nataka Gari

    Wakuu nina shilingi million 23 nahitaji gari kati ya hizi crown athletes, BMW 3 series hapa unanishaurije hela haiwezi kuzidi hapa hii hela nimeitafuta sana aisee na mimi nataka niendeshe gari mwaka huu
  16. Dr leader

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji single mother

    NAMTAKA SINGO MAZA 1 Nimehangaika sana, kuyatafuta mapenzi Niliowapa amana, hata hawakuienzi Nikapigwa dana dana, na kufanyiwa ushenzi Namtaka singo maza, ndie nitayemuoa 2 Aloumizwa ja mimi, huenda tukalandana Hatusikizi akwami, wawili tukipendana Tukuze wetu uchumi, mawazo kuliwazana...
  17. happyxxx

    JamiiForums Tanzania Nataka hii iwe nyumba ya ndoto yangu. Nani anaweza nisaidia makadirio?

    Nyumba ya 5 bedrooms Master kubwa 1 Self 3 Single 1 Sitting room, dining & kitchen Study room Laundry Public toilet Store Je kila kitu mpaka inayooneka hapa maybe na finishing ya vitu kama masinki nk. Inaweza gharimu kiasi gani?
  18. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Nataka kuagiza jezi ya Madrid ila naona website haifunguki

    Wakuu nataka kuagiza jezi original ya Madrid ila Kila nikifungua website Yao haifunguki Hawa jamaa shida itakua nini naombeni anaejua maana Nataka kuagiza jezi tatu zote wakuu
  19. Bodhichitta

    JamiiForums Tanzania Nina miaka 32, nataka niutumie mwaka wa 33 kurekebisha makosa yangu yote ya nyuma

    Aslaam, Kuna wakati kama binadamu unatakiwa ujitafakari. Mim binafsi nimejitafakari na kugundua nimechelewa saana katika maisha. Na Moja yakitu kilichonichelewesha ni hofu. Asikuambie mtu hii kitu(hofu) ni ya kijinga saana, nakama hujaiugundua mapema inaweza kukumaliza mpka uzeeni...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni mnipe muongozo jinsi ya kuingia Zanzibar, Nahitajika kuwa na vitambulisho gani?. Naenda kutafuta kazi.

    Wakuu baada kupambana hapa Tabora na kutokuona mwelekeo wowote maisha nimeamua niende Zanzibar. Sasa nimekuja hapa mnipe muongozo jinsi ya kuingia Zanzibar nataka niende huko nikatafute KAZI ZA UJENZI. Pesa niliyonayo Kwasasa niliyosevu ya kunifikisha huko kutoka Tabora na matumizi mengineyo...
Back
Top Bottom