natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta Samsung Tab 8 Mpya

    Hello Wadau, Niko Dar. Natafuta tab 8 mpya. Isizidi laki 4. Au Tab T. Nishtue inbox. niko Dar mpaka kesho jioni
  2. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Yesu alitembea na mke wake kutoka Nazareth kwenda mpaka Jerusalem

    Yesu alitembea na mke wake kutoka Nazareth kwenda mpaka Jerusalem kuhesabiwa na wakakosa mahali pa kulala, kutoka Jerusalem mpaka Bethlehem alipozaliwa Yesu, distance zote nazijua na umbali wake na jinsi ilivyokuwa" - JOB NDUGAI Duuuh 😥😥😥😥 Huyu ni yeye kama yeye wala sio side effects za chanjo
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi english medium school

    Habari wakuu! Mimi ni MWALIMU wa shule za msingi na awali, Natafuta kazi kwenye shule hizo:- 1.nina DIPLOMA IN EARLY CHILDHOOD EDUCATION 2.nina CERTIFICATE IN INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGY. 3.NI MWALIMU WA MZURI :- *GEOGRAPHY *KISWAHILI *ENGLISH *SCIENCE...
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta huu Wimbo

    Ile beat inayotumika kwenye kipindi cha Njiapanda Clouds FM wimbo wake unaitwaje?
  5. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta Tshirt printing na Banners printing machines

    Habari wadau..........Msaada wa sehemu naweza kupata machine ya kuprint tshirts na banners. Tuwasiliane kwa 0716199297
  6. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ile ya kujitolea ilimradi nipate sehem ya kulala na kula tu

    Waungwana nimekuja kwenu, anayeweza anisaidie nipate kazi ya kujitolea nipo tayari kufanya kazi sehem yoyote ile, ilimradi ni kuwa na sehem yakunihifadhi na kula tu 🙏🙏🙏
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja maeneo ya Tegeta A mpaka Goba mpakani

    Nina Offer ya 3m niambie nitapata kiwanja cha ukubwa gani maeneo hayo. Kwa waiopajua maeneo hayo yako mbezi maeneo ya Goba. Nawasilisha
  8. JamiiForums Tanzania Nina Diploma in Pharmacy, natafuta kazi

    Habari za muda huu ndugu zang wa JamiiForums mimi ni kijana wa kiume nina umri 23 nina Diploma in Pharmacy (Pharmaceutical Technician) but bado sijapata leseni nategemea kufanya mtihan mwez wa kumi naishi shinyanga naomba mwenye kuweza kunipa connection au kuniajiri katika Pharmacy ya jumla au...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi (uhasibi, cashier, teller, auditor,data clerk,bookeepr)

    Mimi mhitimu wa shahada ya kwanza ya uhasibu ( Bachelor degree of accounting-IFM) ,Mwenye uzoefu wa mwaka mmoja katika fani ya uhasibu.pia nina uzoefu katika application za MS Exel,MS word , MS PowerPoint, typing . Kwa sasa nafanya CPA (T) nipo intermediate level Nipo dar es salaam pia naweza...
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta mwanafunzi aliyesoma bachelor in computer science or information technology, awe anakaa Dar es Salaam

    Kama kichwa Cha habari kinavyosema ambaye Yuko dar anicheki, kama amemaliza chuo mwaka huu ndo itakuwa vizuri.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi/ sehemu ya kujitolea

    Habari za asubuhi ndugu! Mimi ni kijana wa kitanzania ninaishi Dar jinsia (me), elimu (shahada ya teknolojia na mawasiliano) nimekuja humu ndani kutafuta connection yoyote ya Kazi/au sehemu ya kujitolea kwenye taasisi yoyote iliyo na uhitaji wa mtu mwenye fani yangu. Nipo tayari kujitolea...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta Miwani ya Kuogelea Wandugu

    Hello guys, kuna yeyote mwenye taarifa yeyote juu ya sehemu naweza pata miwani ya kuogelea mtu mzima kwa hapa Dar.
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta Mwanaume Mwenye VVU

    Wapendwa habari, mimi ni mama mwenye miaka 35 natafuta Rafiki wa kiume mwenye anaishi na vvu, nahitaji mwenye hali kama yangu ili kuepusha unyanyapaa. Vigezo awe 35 na kuendelea awe mchapakazi, msafi pia yaani anayejipenda na awe na hofu ya Mungu.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta spika ndogo za matangazo

    Habari Wakuu. Kuna hizi loud speaker ndogo ya kushika mkononi ambazo kwa mfano ukienda sokoni wafanyabiashara huzitumia kutangazia bidhaa zao au wengine hupita nazo mitaani kutangaza kwa mfano dawa za kuua wadudu. Nipo Arusha nimejaribu kuulizia kwenye maduka kadhaa sikupata. Anayejua wapi...
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa ku-share eneo la kufanyia biashara

    Wakuu habar zenu natafuta mtu wa ku-share anaye eneo la kufanyia biashara mm binafsi sina uwezo wa kukod fremu ya biashara na nikalipia pekeyangu sasa naomba kama kuna mtu ana fremu ya biashara na yuko tayali ku-share basi itakuwa vizur biashara nayotaka kufanya ni ya TIGO PESA, MPESA kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Nina Shahada katika masuala ya TEHAMA, natafuta kazi

    Habarini za asubuhi watu wote wa humu ndani. Mimi ni mdogo wenu nimejitokeza mbele yenu kuomba ajira yoyote itakayoniwezesha kupatapa kipato halali. Elimu yangu ni degree katika maswala ya TEHAMA. Nipo tayari kufanya kazi mahali popote ndani na nje ya Tanzania.
  17. JamiiForums Tanzania Natafuta dereva wa kunifundisha gari manual Dar es Salaam

    Habari wakuu. Nimejifunza udereva mikoani, kwa sasa nahitaji mtaalam wa kuendesha town center anipe mafunzo, gari itakuwa yake, kwa sasa bado sijaagiza gari yangu. Malipo maelewano Piga 0713 039 875
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi

    Natafuta kazi katika nyanja ya kilimo na mifugo nina Diploma ya General Agriculture wadau naomba msaada wenu.
  19. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ngumu

    Habarini wapendwa poleni na majukumu. MIMI NI KIJANA JINSIA YA KIUME MIAKA 27. Natafuka kazi ngumu kama kupakia vifusi kwenye magari kama mchanga mawe n.k Ujuzi nilionao : *kutengeneza masai sandals (viatu vya kimasai) *Pia ni operator wa excavator, wheel loader na buldozer TUSAIDIANE HATA...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta sehemu ya kujitolea

    Habari za wakati huu wana jf Kwa Mara nyingine nimekuja mbele yenu nikiwa natafuta sehemu yoyote ili ya kujitolea anglau niweze kupata uzoefu Nina shahada ya sosholojia nani mkazi wa mkoa wa mwanza Ahsante
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…