natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwekezaji tufanye biashara

    Wadau mimi ni mwl nipo jiji la mwanza. Nimwajiriwa lkn najihusisha ktkt biashara za kilimo. Ninaeneo la hekari km mbili na nusu. Nimejenga nyumba ya kawaida kwaajili ya kijana wa kazi pamoja na mabanda ya kuku na nguruwe. Lkn km mnavyojua biashara yeyote inataka mtaji bila mtaji hakuna kitu...
  2. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Vigezo awe amezaliwa MWAKA 1998, 1999 au2003 Vigezo vya jumla Uwe na mwili wa wastani Mzuri wa sura Wasifu wangu Umri 29 Mfanyabiashara Karibu PM
  3. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza kutoka JF awe na pigo kama hizi za kiswahili swahili👇🏻

    💃🏻MDADA AWE: ♥️ Awe 18 - 40 ♥️Sijali kazi, hata kama akiwa mvivu haina shida nachotaka awe na degree ya mahaba ♥️Alifundwa usichanani ♥️Awe flexible katika tendo yani hadi kuruka kichura aweze ♥️Awe mtu wa mitego ya kihisia hata wakati akiniletea chakula awe na kanga moko ♥️Awe mtu wa kazi yani...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta mboga za majani zilizokaushwa. Anaefanya hii biashara tuwasiliane

    Natafuta mtu anaeuza mboga za majani zilizokaushwa. Kama unafanya au unamjua mtu anaefanya hii biashara naomba tuwaskiliane.
  5. Penguinelli Cactussini

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke ambaye ana allergies na nyama ili nikinunua niwe nakula mwenyewe

    Natafuta mwanamke ambaye ana allergies na nyama ili nikinunua niwe nakula mwenyewe
  6. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta Wafugaji/Mashamba ya Kuku wa Nyama kwa Ajili ya Kununua kwa Bei ya Jumla (Dar es Salaam)

    Habari wakuu, Natafuta wafugaji au mashamba ya kuku wa nyama wanaouza kwa bei ya jumla. Mpango wangu ni kuanza kununua kuku takribani 150 kwa wiki hii ya kwanza, na kuendelea kuongeza kiwango hadi 200 au zaidi kwa kila wiki, kulingana na uhitaji wa soko langu. 📌 Vigezo ninavyohitaji: Kuku wa...
  7. ShL

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nina Degree ya sheria

    Mimi ni kijana wakiume mwenye Degree ya sheria, Naamini hapa Jamii forums Kuna watu wengi na wenye michongo, hivyo Naomba nitumie nafasi hii kuomba yeyote mwenye nafasi ya kazi either inayofanana na Sheria au tofauti basi anisaidie Nipo Dar es salaam Simu: 0779724159
  8. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kuongea nae kiingereza tu

    Natafu rafiki ambaye tutakua tunaongea kiingereza tu, ni kwajili ya kupractice english speaking , mimi nafanya kazi za uhandisi electronics hardware na sofware. im a man. karibu PM kwa mawasiliano zaidi
  9. Walter Rodney

    JamiiForums Tanzania Natafuta Nafasi ya kujitolea

    Habari za humu wakuu,,Mimi ni muhitimu wa shahada ya Taaluma ya Maendeleo (BA-DS) kutoka University of Dodoma mwaka 2022. Lengo la kuandika huu uzi ni kuomba connection ya nafasi kujitolea kwenye Taasisi za serikali au Taasisi binafsi,itakuwa vizuri ikiwa mkoa wa Mbeya hasa mbeya mjini...
  10. Mkongwe03

    JamiiForums Tanzania Natafuta wauzaji wa jezi za timu mbalimbali

    Habari.? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu natafuta wauzaji wajumla wa jezi za timu mbalimbali hasa jezi za msimu huu, yeyote mwenye kujua wapi naweza kupata namomba anisaidie..
  11. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke nipo serious

    Natafuta mke aliye tayari aje dm .vigezo awe mcha mungu .mweupe mwenye shape nzuri asiwe mlevi
  12. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta Frame ya biashara Mwanza

    Habari za wakati huu natafuta frame ya biashara mwanza mjini ambayo kodi yake haitazidi 200,000 kwa mwezi. Je naweza kupata maeneo gani?
  13. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Naungana na Zemanda na Natafuta Ajira kupinga Usimp

    Watu wengi wanauelewa ambao sio sahihi kuhusu usimp,na ndio maana wanaona kama hawa ma expert wanashawishi wanaume kuwa na roho mbaya kwa wanawake. Ukweli hauko hivyo,ebu tufahamu kidogo tunamaanisha nini tunapo zungungumzia usimp au simp Here we go....... Simp ni mtu (mara nyingi mwanaume)...
  14. Penguinelli Cactussini

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke/mpenzi/mchumba LAKINI awe amenizidi umri

    Mimi ni mwanaume nina miaka 27 kwa sasa. Natafuta mwanamke wa kumuoa nimweke ndani kabisa niwe mumewe naye awe mke wangu. Sina elimu kubwa ila najua kusoma na kuandika. Nimepanga geto nalipa kodi 40k kwa mwezi. Sina tattoo wala mchoro wowote. Ni mkristo na Rastafari Ni mrefu wa futi 6.2...
  15. jerryempire

    JamiiForums Tanzania Natafuta noah road tour ama field tour

    Habari Natafuta noah road tour ama field tour tu offer ilokuwepo ni 13m isiwe imechezewa rangi niko dar nipe gari unayoijua tufanye biashara 0659756647 CALLS/WHATSAPP
  16. Wernery G Kapinga

    JamiiForums Tanzania Natafuta engine ya pikipiki sinoray 150 au 180 (bush road) isiyo ya timing chain

    Habari wadau wote wa usafiri. Natafuta engine kwa ajili ya kufufua pikipiki yangu. Sinoray 150 au 180 naielewa zaidi. Isiwe timing chain. Tafadhali tuwasiliane 0754004189
  17. emmarki

    JamiiForums Tanzania Natafuta tenga za plastic uses

    Wakuu, Natafuta tenga maarufu za plastic zilizotumika.
  18. Penguinelli Cactussini

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kike (asiwe trans)

    Natafuta mchumba MWANAMKE awe Dar, wa mikoani hapana sina nauli ya kutuma. Vigezo 1. Awe amezaliwa wa kike na aambatanishe kadi na cheti cha kuzaliwa 2. Awe na elimu walau awe na D ya masomo ya science O level 3. Awe mbea 4. Asiwe anaongea sana ila nikimwanzishia tu atiririke. 5. Wazazi/walezi...
  19. Citizen B

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    Umri wangu: 38 Jinsia: Dumesimba Kazi: Body builder Location: Dar es salaam Dini: Mbudha Sifa za binti naemtafuta Umri:16+ Jinsia: Jikeshupa Kazi: Yoyote Location: Popote
  20. Immortal Techniques

    JamiiForums Tanzania Looking for Cotton Cakes Market; Natafuta Wateja au masoko ya Mashudu ya pamba

    Habarini za wakati huu, Natafuta Wateja/ masoko ya Mashudu ya pamba -anayehitaji aje pm au mwenye connection pia anipe Niko Mwanza.
Back
Top Bottom