natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Quetzal

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwalimu wa EXCEL na Word

    Habari zenu, Natafuta mtu mwenye uelewa wa excel vizuri anielekeze. Yaaani from basic to advanced excel. Anitafute kupitia-Hawakage@yahoo.com 0764758284 Nipo DAR kigamboni
  2. southernboy

    JamiiForums Tanzania Natafuta Grand mark ii

    Habari wakuu,natafuta Grand mark ii iliyo nyooka iwepo Dodoma,bajet yangu ni ml 4
  3. 1Africa54

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke mwenye nyashi ya kutosha

    Mwenye nyashi njoo dm
  4. IzukeneJr

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA MASHINE YA KU GRADE MCHELE

    Kama unafahamu ninapoweza kupata mashine hiyo tafadhali nijulishe, Niko Mwanza, Mawasiliano ni 0656333975
  5. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Samahani wakuu Mimi ni registed medical doctor nipo mtwara natafuta hospital, polyclinic au dispensary au kijiwe chochote Cha afya...pia naweza kufundisha Clinical officer. 0620696357
  6. Tech Max

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike nipo Dar es salaam

    Natafuta rafiki wa kike nipo Dar es salaam,Mimi ni mwanaume wa miaka 28,dini Mkristo, njoo PM kwa maelezo zaidi
  7. Mumlii

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Hey
  8. Tech Max

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike Mimi ni mwanaume

    Natafuta rafiki wa kike Mimi ni mwanaume wa miaka 28, Nina stashahada ya ufundi mitambo, nipo dar es salaam, Mbezi. Tutakuwa tunabadilishana mawazo ya maisha. Namba ya simu pm
  9. Damaso

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa awe HIV+

    Habari Mimi ni kijana mwenye miaka 30 Sifa zangu: Rangi: Mweusi sio sana Kimo: Mrefu wastani Elimu: Bachelor Degree ya Information Tech Kazi: IT Support (Sekta Binafsi) Mkoa kuzaliwa : Geita Kuishi: Arusha Dini: Mkristo Mwanamke sifa zake 1. Asiwe mfupi sana awe na kimo cha kawaida. 2.Awe...
  10. Mangi wa Rombo

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mteja - Madini ya Quartz MOQ 1 Tonne

    Habari! Kama kichwa cha habari kinavojieleza, natafuta wateja wa madini ya quartz kwa mzigo wa kuanzia tani moja (1 Tonne) Quartz hizi zinapatikana kwa mfumo wa Mapande (hii ni quartz ambayo haina umbo maaalumu yani ni mwamba ambao tunaukuta wote ukiwa kioo kwa kuwa mwamba huu ni mkubwa...
  11. Tech Max

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki mwanamke nipo Dar es salaam

    Natafuta rafiki mwanamke nipo Dar es salaam, Mbezi ,wakupiga nae stori, mambo ya maisha..n.k. jinsia wa kiume, Nina umri wa miaka 28,dini Mkristo ,Mimi ni fundi mitambo. Karibu PM / Inbox nikupe namba
  12. Tech Max

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki mwanamke nipo Dar es salaam

    Natafuta rafiki mwanamke nipo Dar es salaam, Mbezi ,wakupiga nae stori, mambo ya maisha..n.k. jinsia wa kiume, Nina umri wa miaka 28,dini Mkristo ,Mimi ni fundi mitambo. Kwa maelezo zaidi njoo pm
  13. Kusena

    JamiiForums Tanzania Nina stashahada ya Maendeleo ya Jamii. Natafuta ajira halali

    Habari zenu wapendwa, Poleni kwa mihangaiko ya kila siku. Kwa majina naitwa Kusena, mwanaume mwenye umri wa miaka 26, elimu yangu ni stashahada ya Maendeleo ya jamii. Mimi ni mzaliwa wa mkoa wa Pwani, halmashauri ya wilaya ya Chalinze, na kwa sasa ninaishi katika mkoa wa Mbeya. Ndugu zanguni...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Urgent - Natafuta kiwanja Dar

    Hello all, Natafuta kiwanja Dar es Salaam. Malengo yangu ni kujenga nyumba ya vyumba sita vya kukaribisha wageni wa mda mfupi (ex : Airbnb…) Wapi Dar es Salaam naweza pata kiwanja kizuri kwa bei nafuu for my project? Natanguliza shukran wakuu.
  15. Tech Max

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki mwanamke

    Natafuta rafiki mwanamke nina umri wa miaka 28, nipo mkoa wa Dar es salaam - Mbezi, Nina stashahada ya ufundi mitambo, dini Mkristo..... Njoo inbox / PM
  16. Tech Max

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki mwanamke

    Mimi ni mwanaume, Natafuta rafiki mwanamke nina umri wa miaka 28 nipo dar es salaam nina stashahada ya ufundi mitambo, dini Mkristo, nicheki PM kwa namba ya simu nikupe
  17. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi umeme na ujenzi tufanye kazi mkoa wa Dar es salaam

    Natafuta fundi umeme na ujenzi tufanye kazi mkoa wa dar es salaam, naomba kazi saidia fundi elimu yangu ni stashahada ya ufundi mitambo (Mechanical Engineering) Napatikana: Mkoa wa Dar es salaam, Mbezi Mawasiliano: 0756704145
  18. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi umeme na ujenzi tufanye kazi Dar es salaam

    Natafuta fundi umeme na ujenzi tufanye kazi mkoa wa dar es salaam, naomba kazi saidia fundi elimu yangu ni stashahada ya ufundi mitambo (Mechanical Engineering) Napatikana: Mkoa wa Dar es salaam, Mbezi Mawasiliano: 0756704145
  19. Premierleague

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke mwema

    Wakuu (kinadada) najua imeandikwa sio vema kwa mwanamke au mwanaume kuishi peke yake maisha ya ukiwa ikiwa dunia Inawenza ambao mnaweza kushare kile kidogo mnachopata na kutengeneza paradiso ndogo hapa duniani hivyo basi nakuja mbele zenu kwenye jukwaa hili ambalo limejaa waungwana na watu...
  20. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Habari, mimi ni binti nina miaka 25 natafuta mume wa kumpenda na kumuheshimu sifa kuu awe na hofu ya mungu (dini Muslim) na mpambanaji anayetambua wajibu wake kama mwanaume. Muonekano wangu ni mzur wa kawaida, urefu 155cm na mwili wangu wa wastani 50kg, ninajishughulisha na ufundi cherehani na...
Back
Top Bottom