natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta kifaa kama hiki cha OBD ii

    Natafuta kifaa kama hiki cha OBD II Kwa mwenye nayo aniuzie,nipo Dodoma
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta mkulima wa nyanya kuanzia heka moja na kuendelea

    Kama unadeal na ukulima nyanya Naomba nicheki kwa 0713 039 875 tufanye biashara
  3. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kijana wa Insurance

    Habarini wakuu, Natafuta kijana au mtu yeyote aliyesomea Insurance (level yoyote), ambaye kwa sasa hana kazi lakini ana motivation, nidhamu, na utayari wa kufanya kazi kwa juhudi. Nina mpango wa kusajili Insurance Agency, hivyo nahitaji mtu sahihi atakayenisaidia kuanzisha na kuendesha...
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta Mwekezaji wa Milioni 10+ Kwenye Crypto Trading. Mtaji Unakaa Kwenye Akaunti Yako (Self-Custody). Lengo: Hadi Tsh 500,000 kwa Siku

    Natafuta mwekezaji kwa ajili ya ushirikiano wa kibiashara kwenye masoko ya kifedha (Crypto) kupitia mfumo wa "Quantitative Trading". Kikwazo kikubwa cha uwekezaji mtandaoni ni usalama wa mtaji. Kuondoa hili, katika ubia huu, hutakabidhi mtaji wako kwangu. Usalama wako ni 100% kwa sababu mtaji...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta used marine board

    Habari wakuu. Nahitaji used marine board, piece 40. Niko Dar Mbezi Juu.
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina BSc Chemistry

    Habari Wana jf. Mimi ni mwajiriwa kutokana na maslahi madogo natafuta kazi field ya chemistry. Nina uzoefu kwenye steel industry mwaka mmoja na nusu.
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta mwekezaji tufanye utafiti wa dhahabu kwenye shamba langu

    Wakuu rejea kichwa cha habari hapo. Nina tafuta mtu aliye tayari tufanye utafiti wa kuchimba dhahabu kwenye shamba langu. Jirani na shamba langu Kuna mgodi unaendelea, hivyo na Mimi naitaji kuanza kuanza utafiti. Aliye tayari aje inbox tuwasiliane. Location ni kanda ya ziwa mkoa wa Mara.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta Gari used Missubish Rosa au Nissan Civilian kwa ajiri ya biashara ya daladala

    Ndugu zangu kuhangaika hakuishi, mwenye connection ya mahali napoweza kupata gari nzuri kidogo ambayo ni ktk hali ya Used hapa Bongo. Nataka nijilipue kwenye biashara hizi pasua kichwa za Daladala Ktk utafiti wangu wa swali naona kama Nissan Civilian au Mitsubishi Rosa itanifaa.. Tuwekane Sawa...
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta Mashamba karibu na mto, ziwa au bwawa lisilokauka mwaka mzima, kuanzia hekari 5-40

    Habari wadau usikeni na kichwa cha thread hapo juu , nahitaji shamba kwa ajili ya ufugaji na kilimo lenye chanzo cha maji cha uhakika mwaka mzima , lenye ukubwa wa heka 5 mpaka 40 , liwe mkoa wowote lakini ikiwa mikoa ifuatayo itapendeza zaidi : RUVUMA , IRINGA , SONGWE , MOROGORO Nawasilisha
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta ajira ya uchoraji

    Wakuu! Nimekuwa si mdau mkubwa wq jamii forum ila nina uhakika humu kuna wadau muhimu na sahihi sana kwa ufikiaji lengo. Ninatafuta nafasi, sapoti kutoka kwa mtu au wqtu au mazingira sahihi kwa ukuaji wa talanta yangu ya uchoraji . Nina uwezo mzuri wa kuchora katuni na ninatamani kujenga njia...
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba

    Ndugu zangu hope mko poa.... mwenzenu natafuta mchumba wa kike😀😀 hapo nimeona niweke sawa maana kuna Vijana wa hovyo humu. Kama hapa yupo aje pm tuyajenge asante kwa kunisikiliza
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta Master Room Dar Es Salaam

    Habari wakuu, Natafuta master room nzuri Dar Es Salaam, budget yangu 100k mpaka 120k. Maeneo ya kigamboni, makumbusho, magomeni, tabata, manzese No 0787698930
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta Idea ya System Itakayozalisha Kipato

    Habari wapambanaji wenzangu, Natumai mko salama. Naomba ushauri na mawazo yenu ya kibiashara. Mimi ni Full Stack Developer mwenye uzoefu wa kufanya/kushiriki project tofauti tofauti ndani na nnje ya nnchi, ikiwemo, Mfumo wa PQCS(Process Quality Control System)– Kenya (AVA & ISUZU), Pia custom...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta Msichana mzuri wa kuoa

    Kwakweli ukiwa hujaoa bado hujakamilika unakuwa upo nusu, duniani kuna jinsia mbili kwa maksudi kabisa, na ili maisha yaende yalivyopaswa ni lazima mwanaume aungane na mwanamke wawe kitu kimoja. sote tumeumbwa ili kutengemeana, ni kama ilivyokua ngumu kuvaa kiatu mguu moja huku mwingine upo...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta kifaa cha kutengeza hatch kama hii

    natafuta kifaa cha kujanga hatch kama hii ya mwezi mchanga
  16. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi anayejua vizuri Auto electrical au aliyesomea hii kozi ngazi ya cheti au diploma

    Habari wakuu! Nina shida na fundi mzuri wa auto electrical mwenye cheti kwa ngazi ya diploma sio lazima awe vizuri kwa upande wa practical, uzoefu ataupata kazini!! Kama unamjua mtu wa namna hiyo au ni wewe mwenyewe unaweza Kuja dm au comment namba ya simu, nitakupigia
  17. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta machimbo ya Nafaka kanda ya Ziwa

    Salam Wana jukwaa. Mimi ni mfanyabiashara. Natafuta machimbo ya nafaka Kanda ya ziwa na viunga vyake. Nataka nipate nafaka kutoka kwa wakulima moja kwa moja au wafanyabiashara ambao Bei zao ziko chini sana Nafaka ninazohitaji ni; 1 Karanga 2 Maharage njano 3 Dengu 4 Kunde, na 5 Njugu...
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta fundi ujenzi wakuu, anayeweza kazi vizuri

    Nina plot yangu nataka nitoe kitu kikali Sasa ninaomba humu kama Kuna fundi mzuri.
  19. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba wa Ndoa, Mimi siyo Mtu wa kujichanganya sana na watu huko Mitaani ndiyo maana nimeleta hoja zangu hapa

    Habari wanajamii, Mimi ni mwanaume mwenye umri wa early 30’s, Mkristo, ambaye kwa sasa sina mtoto na sijawahi kuwa kwenye ndoa. Nafanya kazi kama muajiriwa katika sekta binafsi. Kwa ufupi kuhusu mimi: Urefu: sentimita 185 Muonekano: Mwembamba, mweusi Mtindo wa maisha: Baada ya majukumu ya siku...
  20. W

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA PARTNER WA BIASHARA – FURSA YA USAFIRISHAJI NA BIASHARA TANZANIA

    Habari wanajamii, Natafuta partner au mwekezaji kwa ajili ya kuanzisha biashara ya kuingiza na kusambaza three-wheelers (bajaj) pamoja na magari madogo ya biashara hapa Tanzania. Kwa sasa tayari kuna mawasiliano na wazalishaji wa nje ya nchi na wameonyesha utayari wa kufanya mazungumzo ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…