natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza wa kike wa maisha

    Mimi ni kijana umri miaka 35, Elimu yangu diploma, ni mjasiriamali mdogo, sina mtoto na sijawahi kuoa, nipo Dar dini ni mkristo. Muonekano wangu ni mrefu kiasi, mwembamba kiasi na mweupe kiasi. Natafuta mwenza wa kike umri 28-31, asiwe na mtoto na awe Dar, awe mkristo na awe na elimu angalau...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Lightbox kupigia picha bidhaa

    Natafuta lightbox kwaajili ya kupigia picha za bidhaa. Lightbox ndogo kwa picha za viatu na mikoba. Au kubwa za kupiga magauni ya kike. Kama unafahamu mahali zinapatikana kwa Dar au Mwanza nitashukuru sana.
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva nina leseni class D,

    Natafta kazi ya udereva nina leseni class D, A1, A2 0759256570
  4. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta future wife

    Hbr za leo Wana jforum!! Natafuta mke,awe Elimu;diploma and above Umri:miaka 34 au chini Dini.mkristo Kabila: lolote Nb akiwa na watoto au mgumba ni sifa nyongeza!! Sifa zangu Mi Nina watoto wawili mwajiriwa serikalini Miaka 35 Dini;mkristo
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta dada wa kukaa stationary mkoa wa Mwanza

    kama wewe ni mdada,upo mkoa wa Mwanza, unaweza kufanya kazi ya stationary na unajua kutumia computer tuwasiliane pm.kuna kazi.
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike wa awe mstaarabu n.k

  7. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Mtekinolojia Maabara, nipo Kahama

    Wasifu: Mimi kijana mwenye umri wa miaka 23 kwa sasa nipo kahama. Ni mtaalam wa maabara ngazi ya Diploma na nimehitimu masomo mwaka 2020, Ni mtaalam nilie sajiliwa na Baraza la maabara Tanzanian. Nyaraka nilizonazo; Form IV certificate Nacte certificate Nacte Transcript Cheti Cha leseni...
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta Mtu anayeuza vitu vya ndani used

    Natafuta Mtu anayeuza vitu vya ndani used kwa Bei nzuri Aje pesa hipo Mfuko wa Shati Ahasanteni. Gesi Godoro Nk aje nipo DSM Temeke
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta kununua Miguu ya kitimoto kwa Dar es Salaam kwa Kongoro

    Wakuu, kama una sehemu unafahamu wanauza miguu ya kitimoto nahitaji ya kununua. Nimefungua kijiwe cha Kuchemsha Kongoro zake. Nahitaji order kuanzia 80 na kuendelea. Nicheki kwa simu 0762 75 31 40, whatsapp pia 0762 75 31 40. Asanteni.
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta mtaalamu wa ky unlock modem hii e3372h-607 ya ttcl

    Wakuu natafuta mjuzi wa hii modem nimejaribu mimi binafsi nimekwama nimeona nije hapa wajuzi mnaweza nipa muongozo au kama yupo mtu anazi unlock uniunge nae nitshukuru... Found Applications port COM7 Found modem : E3372 Model : Huawei AuthVer 4 modem (New) IMEI...
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta Mwanamke

    Habari, nahitaji Mwanamke mwenye umri kuanzia miaka 19 hadi 27 wa kuwa nae kwenye mahusiano serious yenye manufaa baadae. Kwa mengine mengi zaidi tutaelezana inbox. Karibu
  12. JamiiForums Tanzania Msaada natafuta display original ya Nokia G10

    Habarini wanduguuu!! Natafuta maduka ambayo naweza kupata display original ya Nokia G10 nimeuliza hapa kariakoo aggrey Street zipo lkn najua ni makanjanja Tu.. Sijajua Kwa mitaa ya posta ni maduka gani naweza kupata display original kwasababu nipo tayari kugharamia Kwa kiasi chochote cha fedha...
  13. JamiiForums Tanzania Nafatuta chumba cha kupanga (Self contained) - Mwanza

    Habari, Natafuta chumba single self cha kupanga Mwanza maeneo ya Airport road au njia ya Nyasaka. Kisiwe mbali na kituo cha daladala. Kisizidi Tsh. 80,000/=
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta mabirika ya kuchemshia kahawa

    Natafuta mabirika ya kuchemshia chai au kahawa kuanzia lita 1.5 hadi lita 2
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta watu tu-analyze protein data ambazo zipo kwenye uniprot database kama njia ya kujipatia kipato

    Nina startup natafuta watu wanaojua ku-calculate molecular mechanics kwa kutumia LAMMPS, thermodynamics na Quantum mechanics lengo ni ku-analyze protein ili kujua quantitative functions at molecular level in terms of;- Strain energy Heat of formation Dipole moment Vibrational frequencies...
  16. JamiiForums Tanzania Natafuta watu tu-analyze protein data ambazo zipo kwenye uniprot kwa lengo la kujipatia kipato

    Nina startup natafuta watu wanaojua ku-calculate molecular mechanics kwa kutumia LAMMPS, thermodynamics na Quantum mechanics lengo ni ku-analyze protein ili kujua quantitative functions at molecular level in terms of;- Strain energy Heat of formation Dipole moment Vibrational frequencies...
  17. JamiiForums Tanzania Natafuta tafsiri ya Ndoto hii

    Naombeni tafsiri ya Ndoto hii. somo rahis kwangu skuli ilikua ni Mathematics. "Nimeota nafanya mtihani wa Math, Mwanzo napokea mtihani niliona mrahis na una maswali 10. Cha ajabu nilipoanza kufanya huo mtihani, kila swala nililo anza nalo kufanya lilikua gumu balaaa.. hadi ndoto kuisha.
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kujitolea Tanga

    Habari zenu natumaini wote ni wazima na ambao sio wazima mungu awabariki na kuwatia nguvu mrudi kwenye hali zenu za kawaida. Kama kichwa cha habari kinavyosema mimi ni kijana nina degree ya human resource management nilikuwa naitafuta sehemu ya kujitolea katika mkoa wa Tanga yeyote mwenye...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mdau wa kushirikiana kilimo cha vitunguu

    Hbr kwenu wadau. Kama heading inavyosomeka hapo juu m ni mkulima nipo Dar ila mwaka huu Kuna changamoto nimepitia kiasi cha kupoteza mtaji wa kilimo. Sasa natafuta mtu mwenye mtaji tushirikiane kwenye kilimo cha vitunguu. Nitakuwa tayari kwa mashart yeyote utakayotaka. Asanteni
  20. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mfamasia kwa ajili ya Usimamizi wa Pharmacy

    Kama nilivyoeleza hapo juu. Nahitaji Pharmacist mwenye (degree holder). Eneo La Kazi ni Zanzibar.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…