mwanahabari93
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 263
- 169
Habari zenu natumaini wote ni wazima na ambao sio wazima mungu awabariki na kuwatia nguvu mrudi kwenye hali zenu za kawaida.
Kama kichwa cha habari kinavyosema mimi ni kijana nina degree ya human resource management nilikuwa naitafuta sehemu ya kujitolea katika mkoa wa Tanga yeyote mwenye kujua taasisi ambazo naweza kupata fursa hiyo ya kuongengeza ujuzi katika career yangu anisaidie kwa kuni PM.
Pia mtu ambae anaweza kunishauri chochote juu ya kukuza career yangu nitashukuru. Na pia kama kuna mtu ambae ana uelewa mkubwa naweza kumuomba muda wake tukakutana nakuzungumza na kunisaidia kwa ushauri.
Mungu awabariki sana. Tuishi kwa kupendana na kusaidiana