natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nimesoma Bachelor Degree in Business Management, natafuta ajira

    , Wakuu ni matumaini yangu wote wazima. Mimi ni mwenyeji wa Iringa na Dar es Salaam. Narudi kwa mara nyingine kwenye jukwaa hili nikiwa na ombi la ajira. Nimesoma Diploma in Procurement and Logistic Management na Bachelor Degree in Business Management, kwa yoyote atakaeweza kunisaidia kazi...
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ualimu na nje ya ualimu, nina shahada ya elimu.

    Mimi ni kijana, nakuja kwenu wanajamii, natafuta kazi ya ualimu na nje ya ualimu mahali popote. Nina uzoefu katika kufundisha( nimefundisha tuition muda mrefu), kilimo hasa cha bustani na kusimamia biashara ndogondogo, so hata kubwa naweza kusupervise. Masomo yangu ni jiographia na uchumi...
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta mwekezaji (Investor) wa App yangu ya Online Casino

    Habari wakuu! Mimi ni kijana ambaye ninatamani na ninapambana sana kuwa mjasiriamali upande wa mtandaoni (online au e-entrepreneur). Miaka kadhaa iliyopita nilipata idea ya App ya Online casino (ambayo ni tofauti na online casino zilizoeleka kwa kila kitu),ila kwasababu idea kama idea haitoshi...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote kwenye Kampuni au Hoteli

    Habari wana JF, Jamani natafuta kazi yeyote Kiwandani au Hotelini,, Naombeni Connection Nipo tayari, namba zangu ni 0676795851 au 0744795851
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi au mke mwenye VVU

    Habari zenu waungwana, Mimi naitwa Ashiraph umri miaka 30. Naishi Kahama natafuta mwenza aliye serious. Mimi ni mwathirika wa VVU natamani nipate mke mwenye hali kama yangu ili tuishi kwa pamoja. Ni mwajiriwa pia na biashara zangu Ambae yuko tayari anipigie sim 0753360886
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta Camera used, Nikon au Canon

    Ndugu yangu natafuta camera nzuri Used yenye uwezo wa still picture Kali niingie nayo vijiweni tayari nina mashine ya picture nzuri EPSON L850 Naomba Pia ushauri wa Camera hizo nitashukuru Sana Bei yangu Nina Laki 2.
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kiarabu au shombe shombe kwa ajili ya serious relationship

    Habari zenu!!! Natafuta mwanamke wa kuwa nae kwenye mahusiano serious. Awe anaishi Dar es Salaam Sifa kuu na ya kwanza awe ana asili ya kiarab au colored wa asili yoyote. Umri kuanzia miaka 23. Dini yoyote Kabila lolote Elimu yoyote. Awe na hofu ya Mungu. Awe msafi Mimi sifa zangu Rangi...
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta fundi wa simu za Samsung Arusha

    Habari za mchana ndugu zangu, Nina Samsung S9 Plus imeharibika kioo sasa ninataka aidha kurudishia kioo au kupata fundi wa kurecover contact zangu zilizopo kwenye hiyo simu. Niliisajili online na nilikuwa nafanya backup online ila sijui kama kuna jinsi ya kurestore hiyo backup bila kutyumia...
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina cheti cheti cha Kidato cha Nne

    Habari za wakati huu Wana JamiiForums wote. Naitwa Peter John, Nina umri wa miaka 20, nimehitimu kidato cha nne mwaka 2020 na kupata ufaulu wa daraja la 2. Natafuta kazi yoyote ya halali Kama vile kazi za viwandani, usafi maofisini/nyumbani ama yoyote ile ya halali Nipo Dar es Salaam, maeneo...
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya halali, nimesoma Stashahada ya Ualimu Chemistry na Biology. Naweza fundisha Sekondari na Msingi

    Kama kuna mtu anahitaji mtu wa kufanya kazi yoyote ya halali, nipo hapa napatikana mkoa wa Arusha. Kwa yeyote mwenye connection ata Dar es Salaam naweza kuja kama kuna mwenye kazi tafadhali.
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta marine board kwa ajili ya ujenzi DSM

    Habari, Site ipo Goba, nahitaji marine board kama 70 kwa ajili ya ujenzi. Nahitaji zilizotomika si zaidi ya mara moja. Kwa Dar es Salaam naweza zifuata popote.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta any volunteering position at any related NGO

    Hello members, I am university graduate from UDSM, studied (BAED) Linguistics and literature graduated with GPA of 3.8 natafuta any NGO nipate volunteering position ili niweze ku-advance my career. I am expert on Ms word, powerpoint and Excel studied at (UCC-UDSM), I have ability to meet...
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya halali

    Wakuu mimi ni kijana wa miaka 23, natafuta kazi yoyote ya halali kwa muda sasa. Nina ujuzi wa; Diploma ya record management Diploma ya music production Pia naweza kufundisha watoto wa nursery, nipo vizuri japo nikipata sehem ya kujishikiza. NB: Naweza pia kufanya kazi makanisani kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada Natafuta kazi NHIF Data clark. Karani wa kuingiza taarifa za NHIF

    Habari wakuu Natafuta kibarua cha kuingiza taarifa za mfuko wa Bima ya afya wa Taifa NHIF. Naweza kufanya member authorization. Naweza kufanya Eclaim- kudai malipo ya kituo kwa mwezi husika. Naweza kujaza kitabu cha Dawa cha wagonjwa wa Bima ya NHIF. Nina ujuzi wa kutumia computer. Sikusoma...
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta hiki kiatu mjini Dar es Salaam

    Kichwa cha habari kinajieleza. Natafuta Nike Air Jordan ndefu. Najua Original siwezi bei au ata kuipata ikawa changamoto lakini angalau inayoendana endana na "uorijino". Ndio nishacheki za wakina Robby Fashion na David Sports wear zile za 35 naona plastic kabisa.
  16. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Mimi ni binti miaka 26 Nina elimu ya stashahada ya utunzaji fedha naishi Kibaha Pwani. Nipo hapa kuomba ajira ndugu zangu nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote 🧎🏻‍♀️🙏
  17. JamiiForums Tanzania Natafuta real risk taker tujilipue kufanya western union carding( dirty money is also money)

    Wakuu habari, Kama kichwa kinavyojieleza sitaki kuteta sana naenda straight forward mtaani kumekuwa kugumu kwelikweli mishe hazionekani all legit work zimeadimika tozo zimekuwa nyingi nimefikiri ya kufanya na sasa nimefikia into a conclusion kufanya carding tu nijiokoe na haya maisha. Kama...
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja kuanzia pugu kuelekea town

    Natafuta kiwanja kuanzia pugu kuelekea town kama ukonga ivi kwa ajili ga ujenz wa nyumba ....niinbox au tunawez aelekezana hapa
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufundisha vyombo vya muziki

    Habari wakuu natafuta kazi ya ya kufundisha muziki na kupiga vyombo vya music. Sina cheti ila nina uzoefu wa zaidi ya miaka mitano katika shughuli hii nina uwezo wa kupiga kinanda na gitaa pia ninaimba. Nafundisha rika zote. Kwa nafasi yoyote ya kazi naomba nijulishe inbox nafuatilia comments.
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nipo Mpanda

    Mimi ni binti nipo mkoa wa Katavi, wilaya ya Mpanda. Natafuta nafasi ya kazi yoyote hata duka ila nimesomea uuguzi, ila ninamatatizo ya masikio sisikii vizuri. Nimewahi kujitolea zahanati sehemu mbili. Mawasiliano yangu 0621364039 ila ujumbe pekee na sio kupiga kutokana na matatizo ya masikio
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…