Natafuta mwanamke wa kiarabu au shombe shombe kwa ajili ya serious relationship

stephenga

Member
Sep 15, 2022
38
146
Habari zenu!!!

Natafuta mwanamke wa kuwa nae kwenye mahusiano serious.

Awe anaishi Dar es Salaam

Sifa kuu na ya kwanza awe ana asili ya kiarab au colored wa asili yoyote.

Umri kuanzia miaka 23.
Dini yoyote
Kabila lolote
Elimu yoyote.
Awe na hofu ya Mungu.
Awe msafi

Mimi sifa zangu
Rangi: mweusi
Umri: 30s
Dini: mkisto
Elimu: masters degree
Napoishi: Dar es Salaam

Aliye serious anicheki PM

Au anitumie meseji kwenye email yangu stephenbinmat@gmail.com
 
Panda basi la tabora halafu ulizia tutuo au vizia hapo hapo tabora mjini utakuja kunishukuru.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom