natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Azul

    JamiiForums Tanzania Natafuta mashine ya kukata Crips/viazi

    Habari ya leo Jumapili, Natumaini tuko sawa wote, wenye changamoto zozote poleni sana. Natafuta mashine ya kukatia viazi, kwa ajili ya kutengeneza Crips. Ningependa kujua bei, na inapopatikana au connections yoyote. Nipo kanda ya ziwa, unaweza kuja DM au sms/text kupitia 0743051733
  2. Ndove

    JamiiForums Tanzania Natafuta display back cover ya laptop PROBOOK 6470B.

    Cover yake imeharibika na hanges zake za kushikia kioo zimekatika. Yeyote mwenye navyo anijuze na gharama itakuwa sh ngapi!
  3. Ultimate

    JamiiForums Tanzania Natafuta simu aina ya NOKIA RM-872 Model 206

    Hello bosses Natafuta hii simu ya batani nokia rm 872 model 206 Budget yangu ni ya kawaida
  4. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtaalam wa kutengeneza Apps/ Software

    Je wewe ni mtaalam wa kutengeneza apps/ software? Karibu tuwasiliane. 0687969981 0764255769
  5. Brightly

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi civil engineering technician

    Habariii wakuu? Husika na kichwa hapo juu natafuta kazii katika makampuni yeyote ya ujenzii wa nyumba au barabara nipo tayari kufanya kazi sehemu yeyote. Mimi ni mhitimu wa stashahada ya uhandisi ujenzii Nina uzoefu wa miaka miwilii katika usimamizii wa barabara na ujenzii wa nyumbaa mwenye...
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Natafuta wauzaji wa nazi

    Nahitaji kufanya biashara ya kuuza nazi lakini bado sijafaham wapi naweza pata kununua mzoefu wa biashara hii anisaidie kabla sijala mtaji jamani.
  7. JOTO LA MOTO

    JamiiForums Tanzania Natafuta mshirika wa kuzalisha mkaa mbadala

    Habari nyote. Mimi ni Mjasiriamali na hivi karibuni nimeanzisha shughuli ya kuzalisha Mkaa mbadala kwa kutumia unga wa mbao, chenga za mkaa na makaratasi. Nahitaji Mtu au Watu wa kushirikiana nao, ikiwezekana Mtu Mwenyeji au aliye na wenyeji maana mimi sio Mwenyeji sana hapa Dar. Ninaamini...
  8. Next Elon Musk

    JamiiForums Tanzania Natafuta field ya IT diploma

    Greetings guys of JF nimepost Uzi huu natafuta field ya IT katioa level ya diploma nimetafuta field jimekosa nimeona nije umu kwa ajili ya msaada wenu mkoa was Dar au Dodoma Niko tayari kwenda.
  9. X

    JamiiForums Tanzania Bingo Natafuta kazi yoyote halali, Ndani Ya mkoa wa Mwanza

    Habari wana jamii forum, Mimi Binti, Elimu yangu ni kidato cha 4. Natafuta kazi yoyote halali ndani Ya mkoa wa Mwanza . Nipo tayari kufanya kazi pia katika (kazi za ndani, viwandani na kuuza duka, na stationary ). Naombeni msaada kwenu tafadhari. Mwenye connection yoyote aje DM.
  10. Guru Master

    JamiiForums Tanzania Muda mrefu sana Natafuta hii Ngoma

    Aliiimba Hamza Kalala sikumbuki kama alikuwa na Bantu Group au peke yake. Anasema eeeh eehe eehh kasimbagho, kabhuka. Mka mkamwana mkalole kasimbagho. Mwenye huu wimbo please aubandike hapa. Natanguliza shukrani.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi wa kuifaurahia Dunia pamoja

    Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 28, natafuta mwanamke serious ambaye twaweza kuwa wapenzi. Ninaishi Dar. Napenda huyo mwanamke awe na vigezo vifutavyo; Umri: 22-30 Elimu : yoyote Rangi : yoyote Location: :Dar Asiwe mwanafunzi wa chuo. Aliyeserious ani pm nitampa mawasiliano yangu.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Naomba kama kuna yeyote ataweza kuwa na mradi au kazi yoyote ya halali inayohusiana na taaluma yangu

    habari wakuu ni matumaini yangu ni wazima kwa majina naitwa KELVIN GODFREY jinsia ni mwanaume wa miaka 25, ni nimhitimu kozi ya kilimo na mifugo (diploma). Naomba kama kuna yeyote ataweza kuwa na mradi au kazi yoyote ya halali inayohusiana na taaluma yangu naomba wezekunipa ata kama ndo...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume aliye na hofu ya Mungu

    Im a female looking for a serious relationship age 35 above must be Christian, kabila lolote awe ameajiriwa au amejiajiri. Mimi ni muajiriwa Serikalini niko Dar.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi girl friend atakaye nielewa

    ...
  15. Mamour Ameer

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wakike

    Kama kilivyoeleza kichwa Cha habari hapo .. mm nimkazi wa Arusha kazi Tourguide natafuta rafiki wakike mwenye umri kuanzia miaka 20-26 kwa ajili ya kubadilishana mawazo na kufahamiana
  16. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba maeneo ya Morocco

    Za jioni, Nahitaj chumba kimoja maeneo ya Morroco. Sitaki dalali hatuna hela ya kumpa, sina maelezo mengi.
  17. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina diploma ya Kilimo na Mifugo

    Ndugu ni matumaini yangu ni wazima. Kwa majina, naitwa KELVIN GODFREY, jinsia ni mwanaume wa miaka 25. Ni mhitimu kozi ya kilimo na mifugo(diploma). Naomba kama kuna yeyote ataweza kuwa na mradi au kazi yoyote ya halali inayohusiana na taaluma yangu naomba aweze kunipa hata kama ndo inaanza...
  18. Triple G

    JamiiForums Tanzania Natafuta connection ya wakulima wakubwa na wakati wa mazao mbalimbali

    Hello! Natafuta mtu anayefanya au kuniconnect na wakulima wakubwa na wa saizi ya kati sehemu yoyote Tanzania wanaojihusisha na kilimo cha mazao mbalimbali! Ikiwemo Parachichi, Maembe, Pilipili, Kunde, mbaazi, Njegere, Maharage e.t.c Naomba tuwasiliane: 0743 848598
  19. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kunifundisha Excel (complete), ntamlipa

    Kichwa cha habari cha husika!! Nahitaji mtu ataenipa shule ya vitendo ya excel!! Nitalipia!! Kwann sijaenda vyuo/Taasisi -Ok mm sina muda nafanya kazi kwaiyo siwezi kuendana na ratiba za huko nataka mtu ambae atanifundisha kwa muda wangu nikiwa na muda tusome sina basi hadi nijue Malipo...
  20. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Natafuta kombinesheni Nina ekari 50 za mashamba Bora kabisa ya mahindi Rukwa

    Wadau mwaka jana nililima ekari 9 tu huku Rukwa nikapata Tani 21 na kulingana na Hali ya mvua ilivyokuwa na bei za mbolea nahisi ningepata zaidi mwaka huu nimeandaa ekari 50 kama Kuna mzamiaji Kwa msimu huu unaoanza Novemba anitafute tuunganishe nguvu.
Back
Top Bottom