natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Natafuta kombinesheni Nina ekari 50 za mashamba Bora kabisa ya mahindi Rukwa

    Wadau mwaka jana nililima ekari 9 tu huku Rukwa nikapata Tani 21 na kulingana na Hali ya mvua ilivyokuwa na bei za mbolea nahisi ningepata zaidi mwaka huu nimeandaa ekari 50 kama Kuna mzamiaji Kwa msimu huu unaoanza Novemba anitafute tuunganishe nguvu.
  2. ladyfurahia

    JamiiForums Tanzania Natafuta wanunuzi wa Mbaazi

    Habarini wadau wa hapa. Rejea kichwa cha habari hapo juu natafuta wanunuzi wa jumla wa zao la mbaazi nimelima Morogoro. Kilo nauza 2000 karibuni kwa anayehitaji au anaye mtu anayehitaji mbaazi kwa wingi. Karibu sana.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke...

    Jina: Tumaini Umri; 31 Makazi: Mwanza Dini: Mkristo Kazi: Wizara ya mambo ya ndani. Natafuta mke miaka 25-30 awe Mwanza...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kike

    Mimi ni mwanaume umri 37 ni mwl natafuta mschana awe anajipenda na kujiheshimu nipo Dar es salaam 0689104184 siyo uchumba kuoa
  5. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza

    Ni kijana umri miaka 35, Elimu yangu diploma, sijawahi kuoa nipo Dar, dini mkristo. Bado natafuta mwenza wa kike umri miaka 28-32, awe anajishughulisha, awe mkristo, awe anakaa Dar. Aliye tayari anitafute inbox
  6. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa

    ...
  7. genius mvivu

    JamiiForums Tanzania Natafuta pikipiki ya mkataba

    Kwema wandugu....! Mbele yenu ni kijana wa miaka 24 na form six leaver miaka minne nyuma natumia jukwaa hili la jf kuomba msada jinsi ya kupata pikipiki ya mkataba kwani Niko katika jiji la Amoc makala na nikiwa nimekata tamaa na mafanikio na kazi nayoifanya...Incase ya dhamana sina chochote...
  8. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Nyumba inahitajika barabara ya Goba hadi Mbezi Magufuli

    Habari zenu Najua hapa jf Pana wengi ikiwemo wenye nyumba na wenye taarifa kuhusu nyumba. Inatafutwa nyumba ya Vyumba viwili vya kulala, sebule, jiko na choo. Mitaa iwe ya barabara ya mbezi magufuli kuelekea Goba hadi Goba penyewe. Pesa iliyopo 250000 kwa mwezi. Malipo hata yakiwa ya miezi...
  9. Codexdave

    JamiiForums Tanzania Natafuta sehemu ya office

    Habari wandugu ! Natafuta sehemu ya office size ya kati tu . Maeneo ya Dar ! Budget yangu 300k kama unajua jengo au sehem plz msaada
  10. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuzaa naye

    Male 42, natafuta mwanamke wakuzaa nae japo na mie niitwe baba. Huduma zote kuanzia mimba inapoingia mpaka kujifungua na malezi ya mtoto na mama yote juu yangu. Mwanamke awe tayari kushika mimba kabla ya mwaka huu kuisha.
  11. Kilimbatz

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya uchungaji

    Mimi ni mtanzania mwenye diploma ya ualimu na mwenye ujuzi kamili katika Neno la Mungu na historia ya Kanisa Naomba kazi ya uchungaji wa kondoo wa Bwana katika Kanisa lolote lenye uhitaji. Wenu katika kazi PS: Nina uelewa mpana pia wa lugha ya kiengereza hivyo nipo tayari kuwaibika nje ya nchi
  12. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ualimu wa Biology na Chemistry

    Mimi Ni kijana wa miaka 26 Nina shahada sayansi na elimu (mwalimu wa chemistry na biology) Nimeoa naombeni mwenye connection ya kazi yoyote anisaidie kwani napitia kipindi kigumu Nina uzoefu wa kufundisha na pia na kazi zingine naweza kufanya mimi Ni mtiifu na nitafanya kazi kwa uwaminifu...
  13. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Nimesoma Bachelor Degree in Business Management, natafuta ajira

    , Wakuu ni matumaini yangu wote wazima. Mimi ni mwenyeji wa Iringa na Dar es Salaam. Narudi kwa mara nyingine kwenye jukwaa hili nikiwa na ombi la ajira. Nimesoma Diploma in Procurement and Logistic Management na Bachelor Degree in Business Management, kwa yoyote atakaeweza kunisaidia kazi...
  14. Charles Gerald

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ualimu na nje ya ualimu, nina shahada ya elimu.

    Mimi ni kijana, nakuja kwenu wanajamii, natafuta kazi ya ualimu na nje ya ualimu mahali popote. Nina uzoefu katika kufundisha( nimefundisha tuition muda mrefu), kilimo hasa cha bustani na kusimamia biashara ndogondogo, so hata kubwa naweza kusupervise. Masomo yangu ni jiographia na uchumi...
  15. Bata Boy Official

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwekezaji (Investor) wa App yangu ya Online Casino

    Habari wakuu! Mimi ni kijana ambaye ninatamani na ninapambana sana kuwa mjasiriamali upande wa mtandaoni (online au e-entrepreneur). Miaka kadhaa iliyopita nilipata idea ya App ya Online casino (ambayo ni tofauti na online casino zilizoeleka kwa kila kitu),ila kwasababu idea kama idea haitoshi...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote kwenye Kampuni au Hoteli

    Habari wana JF, Jamani natafuta kazi yeyote Kiwandani au Hotelini,, Naombeni Connection Nipo tayari, namba zangu ni 0676795851 au 0744795851
  17. M2 makiniy

    JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi au mke mwenye VVU

    Habari zenu waungwana, Mimi naitwa Ashiraph umri miaka 30. Naishi Kahama natafuta mwenza aliye serious. Mimi ni mwathirika wa VVU natamani nipate mke mwenye hali kama yangu ili tuishi kwa pamoja. Ni mwajiriwa pia na biashara zangu Ambae yuko tayari anipigie sim 0753360886
  18. BROTHER OF BROTHERS

    JamiiForums Tanzania Natafuta Camera used, Nikon au Canon

    Ndugu yangu natafuta camera nzuri Used yenye uwezo wa still picture Kali niingie nayo vijiweni tayari nina mashine ya picture nzuri EPSON L850 Naomba Pia ushauri wa Camera hizo nitashukuru Sana Bei yangu Nina Laki 2.
  19. stephenga

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kiarabu au shombe shombe kwa ajili ya serious relationship

    Habari zenu!!! Natafuta mwanamke wa kuwa nae kwenye mahusiano serious. Awe anaishi Dar es Salaam Sifa kuu na ya kwanza awe ana asili ya kiarab au colored wa asili yoyote. Umri kuanzia miaka 23. Dini yoyote Kabila lolote Elimu yoyote. Awe na hofu ya Mungu. Awe msafi Mimi sifa zangu Rangi...
  20. lembu

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi wa simu za Samsung Arusha

    Habari za mchana ndugu zangu, Nina Samsung S9 Plus imeharibika kioo sasa ninataka aidha kurudishia kioo au kupata fundi wa kurecover contact zangu zilizopo kwenye hiyo simu. Niliisajili online na nilikuwa nafanya backup online ila sijui kama kuna jinsi ya kurestore hiyo backup bila kutyumia...
Back
Top Bottom