Natafuta marine board kwa ajili ya ujenzi DSM

Natafuta marine board kwa ajili ya ujenzi DSM

shalet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
3,441
Reaction score
3,613
Habari,

Site ipo Goba, nahitaji marine board kama 70 kwa ajili ya ujenzi. Nahitaji zilizotomika si zaidi ya mara moja.

Kwa Dar es Salaam naweza zifuata popote.
 
Habari,

Site ipo Goba, nahitaji marine board kama 70 kwa ajili ya ujenzi. Nahitaji zilizotomika si zaidi ya mara moja.

Kwa Dar es Salaam naweza zifuata popote.
Unaweza kumcheki huyu 0716921500, ana ofisi Bunju, nilikodi kwake wakati naweka slab huko huko Goba.

Mwingine ni 0659281318, huyu yupo mwisho wa lami kama unakwenda Bonyokwa ukitokea Kituo cha daladala cha Segerea.
 
Back
Top Bottom