natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Peter_John

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina cheti cheti cha Kidato cha Nne

    Habari za wakati huu Wana JamiiForums wote. Naitwa Peter John, Nina umri wa miaka 20, nimehitimu kidato cha nne mwaka 2020 na kupata ufaulu wa daraja la 2. Natafuta kazi yoyote ya halali Kama vile kazi za viwandani, usafi maofisini/nyumbani ama yoyote ile ya halali Nipo Dar es Salaam, maeneo...
  2. IgKim

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya halali, nimesoma Stashahada ya Ualimu Chemistry na Biology. Naweza fundisha Sekondari na Msingi

    Kama kuna mtu anahitaji mtu wa kufanya kazi yoyote ya halali, nipo hapa napatikana mkoa wa Arusha. Kwa yeyote mwenye connection ata Dar es Salaam naweza kuja kama kuna mwenye kazi tafadhali.
  3. shalet

    JamiiForums Tanzania Natafuta marine board kwa ajili ya ujenzi DSM

    Habari, Site ipo Goba, nahitaji marine board kama 70 kwa ajili ya ujenzi. Nahitaji zilizotomika si zaidi ya mara moja. Kwa Dar es Salaam naweza zifuata popote.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta any volunteering position at any related NGO

    Hello members, I am university graduate from UDSM, studied (BAED) Linguistics and literature graduated with GPA of 3.8 natafuta any NGO nipate volunteering position ili niweze ku-advance my career. I am expert on Ms word, powerpoint and Excel studied at (UCC-UDSM), I have ability to meet...
  5. Peter Acoustic

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya halali

    Wakuu mimi ni kijana wa miaka 23, natafuta kazi yoyote ya halali kwa muda sasa. Nina ujuzi wa; Diploma ya record management Diploma ya music production Pia naweza kufundisha watoto wa nursery, nipo vizuri japo nikipata sehem ya kujishikiza. NB: Naweza pia kufanya kazi makanisani kwa...
  6. GIRITA

    JamiiForums Tanzania Msaada Natafuta kazi NHIF Data clark. Karani wa kuingiza taarifa za NHIF

    Habari wakuu Natafuta kibarua cha kuingiza taarifa za mfuko wa Bima ya afya wa Taifa NHIF. Naweza kufanya member authorization. Naweza kufanya Eclaim- kudai malipo ya kituo kwa mwezi husika. Naweza kujaza kitabu cha Dawa cha wagonjwa wa Bima ya NHIF. Nina ujuzi wa kutumia computer. Sikusoma...
  7. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Natafuta hiki kiatu mjini Dar es Salaam

    Kichwa cha habari kinajieleza. Natafuta Nike Air Jordan ndefu. Najua Original siwezi bei au ata kuipata ikawa changamoto lakini angalau inayoendana endana na "uorijino". Ndio nishacheki za wakina Robby Fashion na David Sports wear zile za 35 naona plastic kabisa.
  8. baby seky

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Mimi ni binti miaka 26 Nina elimu ya stashahada ya utunzaji fedha naishi Kibaha Pwani. Nipo hapa kuomba ajira ndugu zangu nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote 🧎🏻‍♀️🙏
  9. Maji Chai

    JamiiForums Tanzania Natafuta real risk taker tujilipue kufanya western union carding( dirty money is also money)

    Wakuu habari, Kama kichwa kinavyojieleza sitaki kuteta sana naenda straight forward mtaani kumekuwa kugumu kwelikweli mishe hazionekani all legit work zimeadimika tozo zimekuwa nyingi nimefikiri ya kufanya na sasa nimefikia into a conclusion kufanya carding tu nijiokoe na haya maisha. Kama...
  10. Concoo

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja kuanzia pugu kuelekea town

    Natafuta kiwanja kuanzia pugu kuelekea town kama ukonga ivi kwa ajili ga ujenz wa nyumba ....niinbox au tunawez aelekezana hapa
  11. GEM mama

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufundisha vyombo vya muziki

    Habari wakuu natafuta kazi ya ya kufundisha muziki na kupiga vyombo vya music. Sina cheti ila nina uzoefu wa zaidi ya miaka mitano katika shughuli hii nina uwezo wa kupiga kinanda na gitaa pia ninaimba. Nafundisha rika zote. Kwa nafasi yoyote ya kazi naomba nijulishe inbox nafuatilia comments.
  12. Merr

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nipo Mpanda

    Mimi ni binti nipo mkoa wa Katavi, wilaya ya Mpanda. Natafuta nafasi ya kazi yoyote hata duka ila nimesomea uuguzi, ila ninamatatizo ya masikio sisikii vizuri. Nimewahi kujitolea zahanati sehemu mbili. Mawasiliano yangu 0621364039 ila ujumbe pekee na sio kupiga kutokana na matatizo ya masikio
  13. LEO_TENA

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi, Mshahara Uwe Laki Moja

    Habari Wana JamiiForums! Kama kichwa kinavyojieleza, Kijana wenu nipo apa kuomba kazi. Nipo tayari kufanya kazi yoyote ya halali. Kazi hilo iwe ndani ya taaluma yangu, au nje ya taaluma yangu nipo tayari kuifanya. Jinsia: Kiume Miaka: 23 Mahali Dar es salaam. Elimu: Chuo Kikuu. Nilichosomea...
  14. Investaa

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtaalam wa kilimo na mifugo anayepatikana Dar

    Habari wataalamu wa kilimo na mifugo. Niende kwenye mada chap kwa haraka bila kupoteza muda, kama title linavyojieleza hapo juu; ni kweli natafuta hao wataalamu nifanye nao kazi ya kusaidia watanzania kwenye kilimo na ufugaji kama biashara kwa kutoa huduma ya ushauri na tiba kutokana na...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la nyanya maji

    Habar Wana Jf, Kama heading hapo juu inavyojieleza, naombeni msaada wa kujua wapi naweza uza nyanya kwa Bei nzuri. Nataraji kuvuna katikati ya mwezi wa tisa, ukubwa wa shamba ni hekari moja, mbegu niliyoipanda ni ASILA F1. Eneo nilipolimia ni Bagamoyo. Karibuni sana
  16. MKUSHI90

    JamiiForums Tanzania Natafuta watu wa live band

    Habari zenu wadau ninahitaji watu wenye uwezo wa live band (copy) au cover pub inaitwa MKUSHI PUB ipo wilaya ya kibondo mkoa wa Kigoma. Mawasiliano 0627491978/0656426643
  17. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta bus bora

    Habari wapendwa, Naomba kujua bus zuri kwa safari ya bBukoba. Nasafiri Jumanne, please nataka usafiri comfortable kwa ajili yangu na mwanangu. Asanteni sana.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba: Kiwe karibu na Law school(mawasiliano), iwezekane kwenda na kurudi bila ulazima wa daladala

    Kuna mwanafunzi wa law school (July intake) ya pale mawasiliano. Anatafuta chumba ambacho atakuwa na uwezo wa kwenda na kurudi bila kulazimika kutumia dala dala au boda boda. Kiwe kwenye mazingira tulivu yatakayomwezesha kujisomea bila bugdha!! Kiwe mazingira salama. Kikipatikana mapema...
  19. music mimi

    JamiiForums Tanzania Natafuta ramani nzuri ya kizungu

    Wakuu wapi nitapata ramani ya nyumba za kizungu. Nataka kujenga nyumba very simple lakini unique yenye muonekano wa kizungu. Kama una picha yoyote nisaidie au kama kuna sehemu naweza kuziona nisaidie nikazione either website au page ya insta
  20. ELISANTE DAVID

    JamiiForums Tanzania Natafuta Chumba cha 100,000/= Maeneo ya Mbezi Beach

    Habari za muda huu wanajamii Forums, naomba msaada kwa anaefahamu Chumba kinachopangishwa maeneo ya Mbezi Beach (Africana, Makonde, Shule, jogoo, tangi bovu, kwa zena, au makongo). Chumba kiwe ni Self(Master). Cha bei ya 100,000/= kwa mwezi
Back
Top Bottom