natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Nani anamjua fundi wa kufunga Gearbox ya Nissan patrol Dar es Salaam

    Nina gari ambayo inahitaji kufungwa gearbox mpya lakini simjui fundi mwenye ozoefu na muaminifu hapa Dar ; wengi wa mafundi ninaowafahamu sio professional kwani sio waaminifu Ingawa unawalipa hela nzuri tu. Sasa kama kuna mtu anamfahamu fundi muaminifu na mzoefu anaeweza kuja kunifungia...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchongo wa Medical Doctor (MD)

    Nipo full registered medical board na nina Active License. Nipo Dar kwa sasa ila popote nakuja, part time or full time.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta kifaa cha kupimia ukavu wa mahindi na nafaka

    Habari natafuta kifaa cha kupimia ukavu wa nafaka, yaani kupima mahindi au nafaka nyingine zimekauka au zina ubichi kiasi gani Anayejua vinapatikana na bei zake anijuze
  4. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta desktop complete

    Iwe complete Ram 500 4 gb Bajeti 200,000 Naomba kuwasilisha
  5. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta dalali wa mazao Tabora

    Wakuu kwema, natafuta dalali wa mazao Tabora, nataka kununua karanga tani 16 na kuendelea Nichek inbox au reply uzi huu
  6. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta dalali wa mazao Tabora

    Wakuu kwema, natafuta dalali wa mazao Tabora, nataka kununua karanga tani 16 na kuendelea. Nichek inbox au reply uzi huu
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Udereva magari Makubwa/Madogo

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27,nimekuwa nikijaribu kutafuta kazi ya udereva kwa muda mrefu bila mafanikio mpaka nafirikia kwenda kusoma tena operator ili kuongeza wigo wangu katika soko la ajira. Nimejaribu kuandika barua tofauti katika ofisi tofauti kuomba nafasi ya kujitolea lakini...
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta mume wa kweli

    Nina miaka 34 mie mkristo, elimu yangu ni Diploma ya Biashara na Usimamizi. Kazi yangu ni mjasiriamali. Sifa za mwanaume awe Dini yangu umri 38-43 , awe kanizidi mie kipato naasiwe mlokole , awe na elimu ya kawaida ila isiwe Diploma . Awe mkarimu,Muelewa , Anaheshima Kwa wote , asiwe nawivu...
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike ambae naweza muoa hapo baadae

    Assalamu alaykum Wana jamiiforums Bila kupoteza muda, baada ya kupitia mengi katika maisha ya uhusiano sasa naona ni muda muafaka kwangu kurudi katika maisha ya kutafuta mke. Sifa. 1. Asiwe katika mahusiano 2. Dini: Awe muislamu, mchamungu, mwenye kuvaa hijab ya kisheria na mfanya ibada. 3...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta hostel au lodge ya bei poa Mkoani Mbeya

    Wakuu, mwezi wa tano mwanzoni nitakua mkoani mbeya kikazi kwa muda wa karibu miezi 4. Sitarajii kusafiri na familia yangu ila nategemea wife atakua ananivisit mara kwa mara. So nilikua naomba kujulishwa wapi kwa mkoa wa mbeya nitapata hostel ya bei rahisi kama zile wanazokaa watalii kule mikoa...
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva, nina uzoefu wa miaka miwili

    Mimi ni dereva natafuta kazi ya udereva. Nipo Dar Es Salaam, Kijichi Leseni Yangu ni Class C1,E,D. Nina Uzoefu Wa Miaka Miwili Cv (1)Elimu Form 4 cheti (2)Cheti Cha Udereva Umri wangu miaka 26 0756912507
  12. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Utunzaji Kumbukumbu, nina uzoefu wa miaka 3

    Natafuta kazi ya utunzaji kumbukumbu. Nina Diploma ya Utunzaji Kumbukumbu niliyopata katika Chuo cha Utumishi wa Umma (TPSC) na nina uzoefu wa miaka mitatu katika kazi hiyo. Mwenye kuhitaji mtu wa kutunza kumbukumbu katika organization yake nipo tayari.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba au Mke mtarajiwa

    ,
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya kupanga vyumba viwili inayojitegemea (stand alone) maeneo ya Mbezi Beach

    Habari Wakuu, Kama kichwa kinavyosema, nahitaji nyumba ya kupanga inayojitegemea kwenye fensi yaani stand alone maeneo ya Mbezi Beach. ~ Nyumba ya vyumba viwili, sebule na jiko inayojitegemea. ~ Bajeti laki 5 (500,000). ~ Iwe maeneo tulivu Nikipata ambayo haina udalali nitashukuru. Najua...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira Mkoa wowote

    Habari zenu. Naitwa Steven Godlsten Natafuta ajira Mkoa wowote ajira ya halali... Elimu yangu ni Kidato cha Nne. Mofisini, Kampuni, Madukani hata Mashirika pia Mimi niko Mkoa wa Kilimanjaro.
  16. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa

    Habari, Natafuta mwanamke wa kuoa, mwenye umr 32-39, mwenye mapenzi ya kweli, mvumilivu, mcheshi, mwenye hekima na busara. Sifa zangu Umri-37 Dini -Mkristu Kaz-mfanyabiashara wa mazao Kimo-mrefu wastani. Karibu pm tuyajenge
  17. JamiiForums Tanzania Natafuta mshirika wa maswala ya TEHAMA tupige pesa

    Habari zenu great thinkers. Natafuta mshirika/washirika ambao tutafanya kazi kwa pamoja katika kutengeneza softwares zitakazotupa utajiri. Ukweli ni kwamba ajira zimekuwa ngumu lakini tuna wataalamu wengi mtaani wenye utaalamu wa kutosha. Kwa sasa natafuta software developer(full stack) na...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Wadau natafuta fundi magari anaye hitaji msaidizi

    Mimi ni fundi natafuta fundi anaye hitaji msaidizi faniyangu ni mechanical Niko dar
  19. JamiiForums Tanzania House4Rent Natafuta Chumba cha kupanga Bunju au Mapinga

    Habari zenu Natafuta room ya kupanga maeneo ya bunju karibu na stendi au mapinga karibu na shule ya baobab Mwenye kufahamu naomba anisaidie au aniunganishe na dalal wa maeneo hayo asanteni
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mwekezaji atakayewekeza kwenye gharama za uendeshaji wa kampuni

    Habari wakuu, Natafuta mwekezaji ambaye atawekeza kwenye gharama za uendeshaji wa Kampuni. Kampuni inadeals na Engineering works na supply of materials. Kwa sasa, Kampuni ina investor ambaye anawekeza hela kazi ikipatikana. Upatikanaji wa kazi unapungua kwa kupungua kwa fedha za uendeshaji wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…