Wewe una uhakika una hofu ya Mungu? Tuanzie hapo.Habari zenu.
Mimi ni Mschana, umri 30 years, Sina Mtoto. Mimi ni Halfcaste wa kiarabu, sio mweusi wala sio mweupe sn, natafuta mume ambae ni mixed race na mwenye Hofu ya Mungu. Umri wa mwanaume miaka 30-45.
Nipo serious.🙏🏼
🤣🤣🤣Warefu weusi wamekuwa overrated au
Ndo nashangaa unaoneje
Sio wa Bukoli au ni mwarabu wa TindeDada mimi ni mwarabu wa kayenze nicheki DM