natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada: Mwenye kufahamu mtandao wa Kimataifa kama JamiiForums

    Salaam! Naomba mwenye ufahamu anijuze mtandao ulio kama JamiiForums katika ngazi ya Kimataifa, usihusishe Facebook, Twitter, na Instagram. Ninapendelea forums zenye mijadala fikirishi, yaani, yenye mada zinazojenga ufahamu mzuri. Asante.
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta mume bora kutoka JamiiForums

    Habari zenu, Mimi ni binti mwenye miaka 24, natafuta rafiki, mpenzi ambae tutajenga urafiki na kama Mungu akijalia tufunge ndoa. SIFA ZANGU 1. Mrefu maji ya kunde. 2. Nina mwili kiasi. ELIMU Kidato cha sita japokua nilibahatika kwenda chuo ila sikufanikiwa kumaliza kutokana na sababu za...
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yeyote inayohusisha matumizi ya computer. Naishi Mwanza

    👨‍💻
  4. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ndani na nje ya Tanzania, nina elimu ya Degree ya Education

    Habari wana jamvi, Natafuta kazi yoyote ya halali, Elimu: Bachelor degree (shahada) ya ualimu masomo kiswahili na Geography Umri: Miaka 28 Eneo nilipo: Dae Es Salaam, Goba Lugha: kiswahili na English fluently (speaking and writing) Uzoefu: Nina uzoefu wa mambo mbalimbali ikiwa ni ufundi wa...
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta waimbaji wa live band katika baa yangu mkoani DSM

    NATAFUTA WAIMBAJI WA LIVE BAND KATIKA BAA YANGU MKOANI DSM Ninahitaji Mtu/watu wenye uwezo wa live band (copy) au cover,kavasha,dancersau hata wachekeshaji au karaoke. Malipo ni kwa makubaliano maalum kila weekend Kwa kuanza sihitaji Band au Msanii mkubwa/Maarufu kwa sababu ndo naanza. Hivyo...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Tani tatu za Mashudu ya Alizeti zinauzwa

    Nina kiwanda kidogo kinajishughulisha na ukamuaji wa mafuta ya Alizeti. Natafuta wateja wa mashudu ya alizeti. Nina tani tatu za alizeti kwasasa. Kiwanda kipo Morogoro na tunasafirisha kwenda popote Tanzania kwa gharama nafuu. Ukihitaji njoo PM tuongee biashara. Asante.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume, nina miaka 24

    Hello, Mimi ni binti wa miaka 24 natafuta mume awe mtu wa makamo umri 40 mpaka 50 awe mnene kiasi sitaki mwembamba napatikana arusha sakina asiwe mfupi. Mimi ni mweupe kiasi nina hips kiasi na pia ni mrefu kiasi ninafanya baishara nauza viatu na nguo za ndani.
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Clinical officer

    Mimi nikijana mwenye mika 28 ninaishi mkoa wa Tanga nimehitimu chuo mwaka 2021. Kwa sasa nimejitolea katika hospitali ya wilaya. Natafuta kazi mkoa wowote na wilaya yoyote. Kwamawasiliano na kupata CV yangu: kclafya@gmail.com
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa maisha

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nina umri wa miaka 27, ni muajiriwa natafuta mke aliye serious. Mimi ni mkristo sharti mke awe mkristo au awe tayari kubadili dini. Nawasilisha.
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta wauza nafaka kwa jumla jijini Mwanza

    Habari za mchana wakuu. Mimi niko ukerewe-Nansio. Natafuta wafanyabishara wa nafaka wa jumla walioko jijini Mwanza. Nafaka ninazotaka ni kama vile maharage, karanga, kunde, dengu, choroko n.k Nataka wawe wananitumia mzigo kwa njia ya meli. Asante. Halafu moderators mbona mnafuta sana nyuzi...
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nipo Dar es Salaam

    Natumaini nyote ni wazima wa afya njema. Natafuta kazi ya aina yoyote, ambayo itaweza nipatia kipato ambacho kitanisaidia kupata walau chakula na malazi. Ndani na nje ya Dar es Salaam. Taarifa zangu binafsi kwa ufupi: Kijana mchapakazi, mwenye nidhamu na mwepesi kuzoea mazingira ya kazi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta CPU ya computer

    Habari, Natafuta CPU ya computer desktop nina sh 50000 nipo Dar hata kama ni zile model za zamani ilimradi iwe inafanya kazi. Ni PM specification
  13. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mtaalamu wakuweza kuandika e-newsletter kwa kutumia MailChim

    Wandugu habarini za majukumu. Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza, nataka mtaalamu tajwa. Connent nitaziandika mwenyewe, yeye kazi yake ni kui-design kwenye MailChimp na kushare na mimi. NB: Tayari nsha-create account ya MailChimp. Kama unaweza kuifanya/ unamjua mtu anayeweza hii...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta Volunteer 20 wenye taaluma ya Clinical medicine (8), nursing (7) na physiotherapy (5)

    Habari. Nahitaji Volunteers 20 wenye taaluma ya Clinical medicine (8), nursing (7) na physiotherapy (5) wa hapa Dar es salaam ngazi ya diploma kusaidia shughuli ya upimaji kwa watu wenye uhitaji maalum., Wanafunzi wa NTA level 5/6 pia wanaruhusiwa Usaidizi huo utaambatana na posho ndogo ya...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mawakala wa bidhaa hizi

    Habari, NATAFUTA NAMBA ZA AGENTS WAFUATAO: 1.SABUNI ZA MCHE 2.SABUNI ZA UNGA 3.SABUNI ZA KUOGEA 4.DAWA ZA MENO 5.MISWAKI 6.DAWA ZA MBU 7.TISSUE 8.SIAGI ZA AINA ZOTE 9.MAFUTA YA KULA 10.TAMBI ZAINA ZOTE 11.VIBERITI 12.DAWA ZA CHOONI 13.MAJANI YA CHAI 14.KAHAWA 15.MAZIWA YA UNGA 16.ROICO...
  16. JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba (mwanamke)

    Habari za wakati huu wakuu, Mimi najitokeza kutafuta mchumba (binti) mwenye asili ya Mishamo, Katumba au Ulyankulu. SIFA ZAKE ★ Umri 20-26. ★Awe mweupe kiasi (asiwe mweusi wala mweupe sana). ★Awe mrefu kiasi (asiwe mrefu sana wala mfupi sana). ★Awe na mwili wa kawaida, asiwe mnene sana ★Awe...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza wa Maisha

    Mimi ni kijana wa kiume 29 yrs natafuta mwenza wa Maisha (mpenzi) mwenye vigezo vifuatavyo 1. Umri 22+ 2. Dini (Christian) mcha Mungu 3. Location - Tanzania Elimu sio kigezo kwangu kwa maana mimi nataka mke ambaye ni wife material na sio Professor. Kwa ambaye yuko interested ani PM na...
  18. JamiiForums Tanzania Biashara ya Online Media: Natafuta Patner

    Habari za kazi wakuu !! Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa uhai na kuendeleza harakati za maisha, niko hapa kutafuta mtu aliye serious tufanye biashara ya Online Media. Mimi nina uzoefu wa miaka 5 kufanya kazi hizi ninaweza kuendesha (manage) page zote kuanzia Facebook, YouTube, Instagram...
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kuwa Katibu Muhtasi

    Naitwa Yohana Kanyamala, natafuta Kazi katika fani ya Secretary (Katibu Muhtasi) Nina ujuzi mbalimbali pia, kama kutumia kompyuta na nyinginezo
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta part time job za jioni kwa mkoa wa Dar es Salaam

    Age 25, mkazi wa kigamboni. On serious note natafuta kazi za jioni / night shift. Mwenye connection au idea ya sehemu kind naombeni connection ya Kazi. Huku uraiani sio poa mambo ni tight kinoma ni bora kupata mia ukajua umepata kwa jasho lako kuliko kuwa mifuko iliyotoboka. Asanteni.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…