Natafuta Mawakala wa bidhaa hizi

PHILLIGONA

Member
Jul 12, 2023
17
24
Habari,
NATAFUTA NAMBA ZA AGENTS WAFUATAO:
1.SABUNI ZA MCHE
2.SABUNI ZA UNGA
3.SABUNI ZA KUOGEA
4.DAWA ZA MENO
5.MISWAKI
6.DAWA ZA MBU
7.TISSUE
8.SIAGI ZA AINA ZOTE
9.MAFUTA YA KULA
10.TAMBI ZAINA ZOTE
11.VIBERITI
12.DAWA ZA CHOONI
13.MAJANI YA CHAI
14.KAHAWA
15.MAZIWA YA UNGA
16.ROICO
17.VINEGA
18.SAYA SOSI
19.NAZI
20.CHIMVI
21.SUKARI
22.JUICE
23.MAZIWA YA MAJI
24.PAMPAS ZA WATOTO
 
Back
Top Bottom