Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30
1. Ni msomi ngazi ya Bachelor Degree
2. Kazi yangu ni usafirishaji wa mizigo.
2.Dini ni mkristu.
SIFA ZA MWANAMKE NINAYE TAFUTA
1. Awe tayari kuolewa.
2. Hata akiwa na mtoto ni sawa.
3. Awe dini yeyote.
4. Awe hajawahi kwenda jela au asiwe na jinai.
Aliye...
Habari JF,
Natafuta chumba chakupangisha maeneo ya Mbezi Beach (Mbuyuni, Africana, Makonde, Shule, Kogoo, Tank Bovu, Massana) au isipite Goba Kayuni ukienda na njia ya Goba
Chumba kiwe ni kikubwa na Master.
Mwenye nyumba aisiwe kwenye nyumba moja.
Wapangaji wasiwe wengi (8+).
Kuwe na uzio/fensi...
Habari ndugu zangu, mimi ni dereva wa tax mtandao natafuta gari ya mkataba au hesabu kwaajili ya kazi za abiria kupitia application za uber, bolt, indrive na nyinginezo.
Kwa mawasiliano 0786168340
Kama mada inavyojieleza hapo juu na kama waswahili wasemavyo wa kushiba huonekana mezani, awamu hii tofauti sana na hali ilivyokuwa kuelekea uchaguzi wa mwaka 2015, sijaona viashiria vingi muhimu vinavyotoa matumaini ya ccm kuanguka katika uchaguzi unaokuja.
Mwaka 2015 kulikuwa na vuguvugu...
Habari!
Jamani natafuta mtu anaehitaji kuanzisha kampuni ya ulinzi. Ninayo leseni lakini sina mtaji natafuta mtu mwenye mtaji tufanye partnership Kama umekuwa interested
Mawasiliano.
0672650624
Wakuu natafuta soko la mashati meupe ya shule, ya mikono mirefu na mifupi. Nauza kwa bei ya kiwandani , kuanzia dozen 50. Nipo Dar. Kuna Size Small Medium Large, 38, 40,42 na 2, 3, 4 . Toa oda tufanye biashara
Wakuu habarini za muda,
Nimerudi mbele yenu wakuu kama kichwa cha habari kisemavyo naombeni mnipatie kazi yoyote na mahali popote.
Niko tayari kufanya Niko Mwanza NNA UJUZI WA COMPUTER ila hata kazi za nguvu naweza natanguliza shukrani wakuu PM yangu iko wazi 24/7 kwa kwenye uwezo wa kunisaidia
Habari WanaJamiiForums,
Ninahitaji kuwa competent kwenye kuongea kingereza hivo natafuta mtu au watu ambao wako na mitazamo sawa na mimi ili tutafute namna ya kuongea japo kila siku usiku kwa lugha ya kingereza.
Ningefurahi zaidi kupata waliofika hatua ya chuo kikuu kama mimi ili sote...
Vigezo:
1. Awe muislamu
2. Umri miaka 20-26 au around that age.
3. Hakutakua na mapenzi kati yetu just need a child.
4. Mtoto akifika miaka 3 namchukua.
5. Malipo milioni mbili ukishika mimba. Milioni tatu mtoto akizaliwa salama. Milioni tano ukinikabidhi mtoto.
N.B. Mimi nimeoa na Nina watoto...
Habarini wana JF
Mimi ni kijana ni Mwanachuo kwa sasa nipo likizo. Nahitaji msaada wa kupata kibarua chochote kipind hiki cha miezi miwili
Posho hata ikiwa elfu tatu kwa siku ni sawa.
contact: 0621554787
Natafuta Mpishi Wa Vitafunio.
Awe anaweza kupika Chapati Kuanzia Kilo 10.
Kazi katika Mgahawa ambao upo Dar es Salaam, Maeneo ya Bomba Mbili, Njia ya kutoka Mombasa, Ukonga.
Pia mahitaji Mpishi anayejua kupika Supu na Nyama Choma.
Nikiridhika na Mapishi yako, naweza kukupa mpaka Alfu 20 kwa...
Miaka yangu ni 28
Naishi mkoa wa Iringa
Kazi yangu kwa sasa ni machinga
Natafuta mke wa kuoa
Miaka 22-25
Asiwe na mtoto
Awe muwazi na mkweli
Mwenye kuheshimu kila mtu
Elimu yoyote
Awe na nia ya kweli kuanza maisha na mimi
Habari.
Natafuta muongoza watalii mwenye uzoefu wa kuongoza hasa watalii wa ndani kwenye pori tengefu la Mpanga Kipengere niweze kupanga nae safari za utalii wa ndani kutoka mikoani. Whatsapp 0656388678
Nimefanikiwa kupata Bachelor of Education, hivyo basi kwa yeyote mwenye uhitaji au connection itakayoniwezesha kupata kazi ya kufundisha au inayoendana na taaluma yangu.
Naomba kutanguliza shukrani.
Je, wewe ni dereva na umekaa tu kijiweni?
Haya njoo sasa tuhojiane, nafasi hii ni kwa ajili yako.
Nipigie simu haraka.
0745540410
JamiiForums ni jumba la connection na kuboresha maisha.
Habari za majukumu Ndugu zangu,
Mimi bado naamini kupitia hapa JF na platform nyingne naweza kupata mpenzi, mchumba mpaka mke mwema kabisa, miaka inaenda Muda wa kutembea na kukutana na watu wapya kwangu changamoto saana. Naomba hata kama una ndugu jamaa au rafiki mwenye sifa za nimtakaye...