natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Nina degree katika field ya mazingira, natafuta kazi

    Habari Wana JF, Mimi ni binti wa miaka 23 napatikana dodoma level Yangu ya elimu ni degree katika field ya mazingira Naomba msaada wa connection ya kazi au kwa yoyote Mwenye kuhitaji kibarua aniajiri Ili niweze kujikimu Nb: kazi yoyote halali nina uwezo wa kuifanya 🙏
  2. Natafuta shamba la kukodi Morogoro

    Habari za muda huu, Natafuta shamba la kukodi morogoro, ekari Moja au mbili. Liwe maeneo ambapo kilimo Cha umwagiliaji kinaweza kufanyika. Ahsanteni. Keygun Gershom
  3. Natafuta gari ya mkataba

    Habari mimi ni dereva natafuta gari ya mkataba ili nijiajiri Ahsante, 0689296294
  4. Natafuta fundi wa printer Hp Laser jet pro MFP color 475dn

    Printer yenyewe ni hii hapa chini ni Hp Laserjet Pro 400 MFP colour 475dn pia na ku-refill uwino.Fundi huyo awe ni kutoka Mbeya
  5. Wadau natafuta season zenye hekaheka mwanzo mwisho

    Wadau natafuta series zenye ladha kama hizi; Six Flying Dragon na Gwaggaeto, zenye siasa na mapigano kwa wingi.
  6. Natafuta Clutch master cylinder ya Massey Ferguson 3085

    Wakuu, msaada tafadhali. Natafuta Clutch Master Cylinder ya Massey Ferguson 3085
  7. Natafuta tiba ya hii mipapai

    Kwa wataalamu na wazoefu mliomo humu, naombeni ushauri wenu. Katika miche zaidi ya ishirini, miwili imeonesha kutokuwa sawa: 1. Kasi ya ukuaji imepungua, kama inataka kudumaa 2. Majani yamejisokota kidogo 3. Ina kama ukungu mweupe hivi kwenye shina Mwanzoni nilifikiri imezidishiwa mbolea...
  8. Natafuta mpenzi (KE)

    Kama header inavyojieleza,mimi ni kijana wa miaka 25 asili yangu ni Mnyakyusa lakini makazi yangu rasmi ni Dar. .Elimu:Degree .Kazi: Nimejiajiri,nina duka la simu. Natafuta mwanamke kwa ajili ya kuwa kwenye mahusiano serious. Umri kuanzia miaka 19-26. NB; Uwe Dar. PM kwa ajili ya kupeana...
  9. W

    Natafuta wateja wa uhakika wa Asali

    Habari, wa Jf mm ni kijana mpambanaji nimeona sasa nijikite kwenye biashara hii ya asali mbichi , nipo Tabora naomba nipate wanunuzi wa asali kwa aliyeko serious nitauza nikiwa huku kwa bei kg 1 sh 15,000 . Natafuta wateja serious Tanzania nzima, pia kama kuna mtu anahitaji asali ya biashara pia...
  10. Natafuta shule ya msingi ya bweni ya Kisabato, Mwanza, Shinyanga, Kahama, Simiyu, Geita, au Tabora.

    Wasalaam. Naombeni msaada wenu ndugu zangu, natafuta shule ya msingi ya bweni ya Kisabato katika mikoa hiyo tajwa, natanguliza shukrani zangu za dhati.
  11. M

    Natafuta kazi halali nipo Mbeya

    Habari za wakati huu wakuu..? Mimi ni binti wa 20's..nimemaliza chuo Mwaka huu Bsc with Education(Biology and Chemistry) Nimekuja kwenu wana jamvi kuomba kazi ama sehemu ya kufanya kwa kazi hususani kufundisha masomo taja hapo juu... kwa mtu yeyote aliye na connection ya shule inayohitaji...
  12. M

    Natafuta kazi, nipo Kigamboni

    Habari za saizi wakuu, Naitwa Mary nina miaka 24 nina elimu ya chuo naombeni kazi yoyote halali. Nifanye nakaa Kigamboni hata kesho Niko tayari kuanza. Simu: 0682787031
  13. Natafuta rafiki wa kike ambaye haamini Mungu

    Niko Dar, umri wangu 28 years old. Natafuta rafiki wa kike asiyeamini Mungu, na Shetani pia (pure atheist). Nicheki DM.
  14. D

    Natafuta kazi ya ualimu au yoyote

    Kwa majina naitwa Abdallah nna miaka 23 nimemaliza chuo mwaka huu natafuta kazi ya ualimu shule binafsi au hata Hotelini, Kiwandani nipo tayari nipo Dodoma mawasiliano 0657897884
  15. Natafuta machimbo ya simu za batani

    Habari wanaJF, Natafuta simu za batani kwa ajili ya mteja mkoani. Naomba connection 1. Endapo wewe ni muuzaji, tuwasiliane. Nipe namba yako na duka liliko, ntakutafuta. Uwe na whatsapp ili niweze kukagua simu zilizopo kwa ajili ya msururu ya wateja nlio nao. 2. Endapo wewe ni winga/winger...
  16. Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya Riverside Dar es Salaam

    Habari wakuu, Natafuta nyumba ya kupanga iwe na sifa zifuatazo; 1. Iwe maeneo ya Riverside Dar es Salaam 2. Isiwe mbali sana na stendi ya Riverside 2. Iwe na chumba kimoja master na sebure 3. Iwe na Tiles na madirisha ya Aluminium Nipo tayari kwa bei yoyote.
  17. Natafuta Mercedes Benz za zamani

    Mimi ni mpenzi wa Mercedes Benz (hasa hasa class C) zile ngumu Mjerumani Original. Kwa wale wanaozijua nataka 2020.... series! Kama unalo njooo pm tufanye biashara
  18. Lenovo Xiaoxin 700-15ISK ya CORE 7 yenye NVIDIA GEFORCE GTX imezima natafuta fundi anitengenezee nipo DAR

    Habari wakuu, Lenovo Xiaoxin 700-15ISK ya CORE 7 yenye NVIDIA GEFORCE GTX imezima natafuta fundi anitengenezee nipo DAR. . Taa inawaka vizuri kabisa. . Tatizo screen ndio haiwaki .. Niliipeleka kwa mafundi wakatest screen ni nzuri kabisa, wakatest RAM zote haizikubali .N.K
  19. Rafiki anahitajika

    Habari, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nahitaji rafiki mtu mzima, kutoka upande wowote wa dunia umri kuanzia miaka 35 , ambaye amepitia changamoto tofauti za kimaisha bila kukata tamaa ,jinsia yoyote, smart, straight forward ili unikosoe vizuri ambapo siko sahihi na mshauri mzuri. Mimi...
  20. Natafuta Housing/Case ya Hp Probook 440 G2

    Habari wana Home of Great Thinkers, Nimedondosha Mashine ninayotumia HP probook 440 G2 imevunja Case yake upande wa Kioo. Mwenye Housing /case ya mashine hio tuwasiliane nataka kununua.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…