natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali

    Wakuu habari zenu...Nina mdogo wangu wa kike ana miaka 24 yupo tu nyumbani ( Magomeni hapa Dar es salaam) anatafuta kazi yoyote halali ya kumuingizia kipato ili aweze kujikimu kwa mambo madogo tafadhali naombeni msaada wenu apate kazi hata kuuza duka au ukonda wa magari ya mikoani nitashukuru...
  2. Fufua Tumaini Jipya

    JamiiForums Tanzania Wakuu , Natafuta Shule ya kufundisha Zanzibar kwa secondary au primary

    Wakuu Mimi ni Mwalimu ambaye nimesomea kufundisha Kiswahili na kiingereza. Natafuta Shule ya kufundisha kwa maeneo ya Zanzibar Unguja au Pemba. Kwa upande wa primary naweza kufundisha vilevile kwa upande wa secondary. Masomo ya social studies yote. History Civics Kiswahili English...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ya hesabu (bolt na uber)

    Habari za asubuh wana JF Mimi ni dereva natafuta gari ya kufanyia kazi tax mtandao yani bolt vigezo vyote ninavyo kama leseni, Account za tax mtandao yani uber na bolt, naombeni kazi mimi naishi Kivule Matembele ya pili Dar es Salaam, Wilaya ya Ilala. Mawasiliano yangu ni 0758 -871 707 au...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta ma box makubwa matupu , wapi wanauza mabox matupu?

    Habari wadau Wapi wanauza ma box ?
  5. A

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo la kutosikia vizuri, natafuta kazi

    Mimi ni kijana niliesomea uhasibu kwa ngazi ya Diploma, na pia nimesomea ICT kwa ngazi ya certificate. Nina changamoto ya usikivu hafifu. Hali hii ya kutosikia vizuri imekuwa inaninyima fursa za ajira sana hadi ikafikia kipindi napata msongo wa mawazo. Naomba mwenye uwezo wa kunisaidia...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta mbegu za microgreen vegetables aina zote

    Shalom! Naomba kwa yeyote mwenye mbegu za microgreens kama leek, radish n.k tuwasiliane anipe specifications na bei.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja maeneo ya Goba au Madale

    Wadau, natafuta kiwanja chenye sifa hizi: 1. Vipimo: Kuanzia square meter 750 (25×30) 2. Eneo lililopangika vizuri 3. Kiwanja kiwe flat na ardhi isiwe na maji maji 4. Documents ziwe clean na zimekamilika Offer yangu ni milioni 18 mpaka 20. Nicheki whatsap 0765137266
  8. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Mbeya mjini

    Natafuta kazi yoyote Mbeya mjini, Nina ujuzi wa ufundi mitambo (mechanical engineering) Mawasiliano: 0756704145
  9. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Hello Mwenzenu upweke utaniuaNatafuta mwanaume ambae tutenda nae kwenye mahusiano na tukiridhiana tuje kuwa mke na mume. Sifa zangu; Umri -37yrs Mtoto mmoja Mjasiliamali Mkristo- KKKT Sifa za mume: Umri 37yrs na kuendelea Mkristo Mwenye hofu ya Mungu Mwenye upendo wa dhati Mwenye kipato cha...
  10. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kike

    ....
  11. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke seriously awe Dar

    Natafuta mke awe bi mdogo mke wa pili awe Dar. My no 0762405010
  12. moe junior

    JamiiForums Tanzania Natafuta pikipiki /frame ya pikipiki Honda trail 110

    Salaam wakuu!! Nina shida ya pikipiki au frame ya pikipiki Honda Trail 110 katika hali yoyote mahala popote ili mradi iwe na kadi na kuwe na usafiri wa kufika DSM
  13. Chiferereji Cha jisatu

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Fundi bomba

    Habari Mimi ni Tech wa mambo ya Maji na nina Experience ya maswala ya maji safi na maji taka kwa miaka 4, kama Kuna Kampny Ina hitaji mwenye sifa hyo nipo tiyari kushikiri kutimiza majukumu kwa maendeleo na faida ya Kampny
  14. Mumlii

    JamiiForums Tanzania Natafuta karanga,

    Kwa bei ya wakulima nitazipata maeneo gani? Nko ushirombo
  15. Privatelife

    JamiiForums Tanzania Habari natafuta rafiki wa kike

    Naitwa John Umri wangu 28 Kabila msukuma Natafuta RAFIKI wakike Ambae Tunaweza kushare mambo Mbali Mbali awe na Umri kuanzia 23/35 Ambae yupo Tayari Aje PM
  16. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Mbeya Mjini kama kuuza duka, ufundi mitambo na n.k.

    Natafuta kazi Mbeya Mjini kama kuuza duka, ufundi mitambo na n.k. Nina stashahada ya ufundi mitambo (Mechanical Engineering) 0756704145
  17. RUKUKU BOY

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa Ndoa

    Mie sio mtu wa kuandika sana humu. Natafuta mke wa kuoa,now kwangu Mimi ni muda mwafaka wa kuwa na wife. Sina sababu ya ku hide my id , coz Niko serious na hili jambo Sifa zangu. Miaka 30 Elimu: Bachelor Occupation:Employed. Dini: Mkristu Ninayemtaka Awe serious, na ndoa narudia serious...
  18. godiusngunda

    JamiiForums Tanzania Natafuta wafanyakazi wawili wa kuuza duka

    Habari za leo wana jamii Nawasilisha ombi langu la kutafuta wafanyakazi wawili wa kuuza duka la vitenge, jumla na rejareja, Kariakoo mtaa wa kongo na agrey. Mshahara maelewano. Mawasiliano 0624078385
  19. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mfanyakazi za Mashambani/Mchungaji

    Habari za leo wakuu Kama kichwa cha habari hapo uu kinavyoeleza, inamuhitaji huyu mzee kufanya majukumu yafuatayo: 1. Awe muwakilishi wangu shambani na awe kama ndie mwenye nyumba na mmiliki wa mali zote (mashamba, mifugo na nyumba zingine zilizo karibu na hayo mashamba) 2. Kua msimamizi mkuu...
  20. your favorite

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kiume

    Nina miaka25,naishi dar,ni mrefu size ya kati,mweupe, sio mwembamba wala mnene nipo katikat, ninafanya biashara ya vipodozi,elimu yangu ni bachelor degree,natafuta mchumba Kuanzia miaka 30,na kuendelea..kuhus apprearance ni muhim lakini kikubwa ni tabia.
Back
Top Bottom