natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. music mimi

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta digital camera na printer nzuri kwa ajili ya biashara ya passport size photos

    Wadau wa technology. Naomba msaada wa mawazo yenu, najua mpo wenye experience ya kutosha kwenye hivi vifaa. Nataka kununua digital camera na printer mahsusi kwa ajili ya kazi ya picha za passport. Nahitaji kwa ajili ya kutoa passport za haraka zile za dakika 3. Nachoitaji ni kusaidiwa jina...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, njaa itaniua

    Habari za majukumu wanaJF naomba kwa yeyote atakayewiwa anisaidie nipate kazi yoyote halali njaa na majukumu vimenizingira Elimu yangu ni Diploma in General Agriculture nipo Kahama 0717697787
  3. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote Mbeya

    Natafuta kazi yoyote Mbeya kama kuuza duka, stationary na kazi zingine 0756704145 Nina stashahada ya ufundi mitambo (Mechanical Engineering)
  4. Majighu2015

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa bikra

    Natafuta binti bikra ili Mungu akijalia awe mke wangu. Vigezo Umri: miaka 21 hadi 26 Rangi: Mweupe Dini: Mkristo na mwenye hofu na Mungu Elimu:Chuo kikuu Ambae anajijua ni bikra au anamjua binti ambae ni bikra karibu inbox tuyajenge. Nipo serious
  5. The ice breaker

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyama ya porini

    Kwa hapa Dar, wapi naweza kupata nyama ya porini... Natamani kula nyama ya porini this weekend, kama nitapata nyama ya Swala au Kiboko, itakuwa safi sana. Ma butcher yapo wapi kwa dar ?
  6. kante mp2025

    JamiiForums Tanzania Natafuta kijiwe Dar es Salaam mtaalamu wa maabara

    Mbele yenu ni kijana wa kitanzania ambae kwa sasa napatikana mkoani Iringa ila nina plan ya kuingia jiji la dsm siku chache zijazo. Nina uzoefu wa kutosha katika maabara baada ya kujitolea kwa muda wa mwaka mmoja hospitali mbalimbali. Natafuta kijiwe mkoa wa Dar es Salaam hata ikiwa part time...
  7. JOTO LA MOTO

    JamiiForums Tanzania Muandaaji wa maudhui natafuta connections

    Kwa Wadau ,Wamiliki wa media zinazoandaa maudhui,main au on line. Mimi ni Muandaa miswada( screen plays),ngazi ya cheti. Nabadili story kuwa screenplay,na fanya screenplay breakdown kwa ajili ya kurahisha uzalishaji (production),budget n.kNafanya maongezo(addition) kwa stori zenye maudhui...
  8. sangaima

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA MAHALI PAKUFANYA INTERNSHIP/ FIELD

    Kwa jina naitwa Ahmad ni kijana, mkazi wa mkoa wa Dar es salaam, nina Diploma in Public sector accounting & Finance natafuta mahali pakufanya internship katika kada ya accounting. Iwe sector binafsi ama serikali nitashukuru, kwa yeyote atakae guswa kunisaidia atanipata katika mawasiliano haya...
  9. ngungwangungwa

    JamiiForums Tanzania Natafuta Radio subwoofer

    Wakuu umofia kwenu.. km kuna yeyote anashida na hela na ana radio subwoofer ndogo Tu ya kawaida ani-dm nimuokoe na yeye aniokoe. Sitaki radio kubwa ya bei ya kubwa ndo maana nimekuja hapa. Maduka ya radio nayajua ila Sina hizo hela.. ahsanteni..!!
  10. TIASSA

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa 25-30

    nimehangaika Sana kutafuta mke mtaani ila sipati, nimekuja huku jf kuleta ombi langu natafuta mke awe mkristo miaka 25- 30 asiwe na mtoto awe tayari kupima , awe na upendo wa kweli, mimi na miaka 36 ni mfanya biashara.
  11. Powell Gonzalez

    JamiiForums Tanzania Natafuta mutoto moja swafi, kienyeji msafi tukakule maisha mwishoni mwa wiki hii

    Eh bana eh muhindi amekubali kutoa pesa jana, no risk no story. Japo si pesa mingi lakini inatosha kutumbua maisha na musichana moja ya kienyeji. Burudani tutalianza ijumaa jioni mpaka jumapili alfajiri. Vigezo: uwe dar es salaam, uwe mtoto wa kienyeji sitaki slay queen. Amount to be spent in...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa

    Habari Wana JF ,poleni na majukumu ya kila siku ili mkonouinhie kinywani. Samahani kwa wazo langu hili . Natafuta mke wa kuoa Mwenye umri wa miaka 25-40,Dini yeyote,kabila lolote. Sifa zangu Naitwa Florian Mwenye umri wa miaka 38,Naishi tabora,kabila ni mnyamwezi. Nipo serious natafuta mke...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa

    Habari Wana jf ,poleni na majukumu ya kila siku ili mkonouinhie kinywani. Samahani kwa wazo langu hili . Natafuta mke wa kuoa Mwenye umri wa miaka 25-40,Dini yeyote,kabila lolote. Sifa zangu Naitwa Florian Mwenye umri wa miaka 38,Naishi tabora,kabila ni mnyamwezi. Nipo serious natafuta mke...
  14. American nigga

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kijana Alie Kenya Tufanye Dili.

    Hello wakuu Africa Mashariki na Kati, Natafuta Kijana mwenye Hasira kali na maisha, kuna jambo/deal nataka tuifanye hatutatoka mikono mitupu. Nicheki DM tupange tunaanzia wapi.
  15. MaT2B

    JamiiForums Tanzania Niko na 510K Natafuta Simu Nzuri, Nisaidieni Kabla Sijaingizwa Mjini DSM Na Wingbacks.

    Watalamu wa tech nipeni suggestions. BRands kama Samsung na Xiaomi. Chief-Mkwawa ,
  16. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta shamba la kukodi morogoro kwaajiri ya kufuga

    Kwa aliye tayari kunikodishia anitafute tupange biashara
  17. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta mhandisi mwenye sifa kuandaa michoro ya plumbing kulingana na house plan ya vyumba vitatu. Plan imeshapata kibali cha ujenzi.

    Kama una huo ujuzi tuongee. Hata kama huna degree ya engineering ili mradi una uzoefu wa kutosha
  18. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchora aliye Dodoma

    Wasalaam. Natafuta mchora ramani aliye Dodoma nina eneo la square meters 197 ambapo nataka nijenge frem za kisasa. Kwa mpango wangu nataka chini zikae nne na juu zikae nne. Mchora ramani mzoefu na mbunifu aliye Dodoma anicheki.
  19. Hidden Diamond

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kuanzisha naye familia

    Jamani ni me natafuta mwanamke wa kuanzisha naye maisha na familia pia.umri wangu ni miaka 29 kazi yangu ni mfanya biashara mdogo,location nipo mbeya kama uko tayari nichek pm
  20. village66

    JamiiForums Tanzania Mimi ni dereva wa UBER, bolt, farasi natafuta gari ya hesabu

    Mimi ni dereva wa tax mtandaoni maarufu kama bolt , na uber nina leseni yenye daraja c pia ninauzoefu na kazi hii. Ninatafuta gari ya hesabu. Ni dereva mwaminifu na mtunzaji wa gari. Gari ya mafuta hesabu 150000. Gari ya gesi hesabu 200000. Ninapatikana kwa namba hizi. 0628192114. 0786094712.
Back
Top Bottom