natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. village66

    JamiiForums Tanzania Mimi ni dereva wa UBER, bolt, farasi natafuta gari ya hesabu

    Mimi ni dereva wa tax mtandaoni maarufu kama bolt , na uber nina leseni yenye daraja c pia ninauzoefu na kazi hii. Ninatafuta gari ya hesabu. Ni dereva mwaminifu na mtunzaji wa gari. Gari ya mafuta hesabu 150000. Gari ya gesi hesabu 200000. Ninapatikana kwa namba hizi. 0628192114. 0786094712.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta wanunuzi wa nondo aina ya bs500(hardwares na construction companies)

    Habari wanajamii, Natafuta kampuni au hardware wanaoweza kununua nondo kutoka kwenye kiwanda chetu kipya kilichopo kibaha kwa sasa tunazalisha Bs 500 kuanzia size 8mm-32m,karibuni sana tufanye biashara kwa bei nzuri sana za nondo tuwasiliane na maelezo mengine kupitia namba 0794669628 watu wa...
  3. lwa kalolo

    JamiiForums Tanzania Natafuta conection ya kazi ufundi wa magari

    Habari ndugu zangu ,mimi ni fundi wa kunyohosha magari yaliyopata ajari (car body repair )sikusomea darasani ila nilijifunza mtaani na ni mzoefu sana kwa kazi zifuatazo kufanya setting ,kunyohosha,kuchanganya rangi ,kupulizia rangi mimi niko mwanza natanguliza shukurani
  4. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya kufanya nipo wilaya ya kahama mjini

    Mimi ni kijana wa miaka 22 ,natokea wilayani kahama , natafuta kazi yoyote ile ya kufanya kwa anaye hitaji mfanyakazi au connection ya kazi mimi nipo tayari kufanya , namba zangu ni 0715308721
  5. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za mtandaoni

    Habari wakuu! Kama kichwa ķinavyojieleza mimi ni mtaalam wa kutumia computer na simu za mkononi lakini pia nina uzoefu wa kufanya matangazo mbalimbali mtandaoni, nina uzoefu wa kufanya content creator kwenye mitandao ya kijamii kama YouTube, Facebook, twitter, Tiktok n sambamba na hayo ni...
  6. flamini

    JamiiForums Tanzania Natafuta kuanzia tonne 5 ya Hass or fuerte Avocado kwa maeneo ya Arusha or kaskazini

    Wakuu nimepata mchongo wa kukusanya avocado za Hass kwa maeneo ya kaskazini sababu zinaenda Nairobi. Nataka supplier wa uhakika na bei nzuri tufanye biashara na malipo ni hapo kwa hapo. Nicheki pm tufanye biashara.
  7. kuntakinte9320

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Habari wakuu,natafuta mwanamke umri kuanzia 28 mpk 35 asiwe na mtoto maana silei mbegu ya mtu kazi yangu ni daktari(MD)kwenye moja ya hospitali za rufaa hapa Dar alie interested aje inbox.ahsanteni
  8. BOFREE

    JamiiForums Tanzania natafuta fundi bati na fundi welding kwa aajili ya madilisha uwe unatokea bunju au tegeta

    habari mtaalam wa kupau na mtaalam wa kuchomelea unaitajika uwe na ofisi bunju au tegeta uwe na kazi ambazo uliishawai kufanya naitaji fundi maiko sio kampuni na pia usiwe dalali uwe fundi mwenyewe wa bei iwe rafiki
  9. Mangi wa Rombo

    JamiiForums Tanzania Natafuta Nguzo za miti (Wooden Poles) kwa ajili ya kuzungushia uzio

    Tafadhali husika na kicha cha habari hapo juu! Natafuta nguzo za miti (Wooden Poles) Pisi 225 Kwa ajili ya kuzungushia uzio shambani (Nimeambatanisha picha hapo chini). Natafuta zile ambazo zina dawa kabisa manake shamba lina mchwa kweliii! Ningependelea kama kuna msambazaji ambaye yupo...
  10. Mangi wa Rombo

    JamiiForums Tanzania Natafuta Nguzo za miti (Wooden Poles) kwa ajili ya kuzungushia uzio

    Tafadhali husika na kicha cha habari hapo juu! Natafuta nguzo za miti (Wooden Poles) Kwa ajili ya kuzungushia uzio shambani (Nimeambatanisha picha hapo chini). Natafuta zile ambazo zina dawa kabisa manake shamba lina mchwa kweliii! Ningependelea kama kuna msambazaji ambaye yupo Morogoro au...
  11. Mike Moe

    JamiiForums Tanzania Natafuta sex partner Gongolamboto

    Hello natafuta sex partner mm ni male niko gongolamboto ke alietayari njoo pm for my number umri usizidi 28 Money involved, no lodge no guest just home room ipo
  12. mimi mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Natafuta chuo Poland cha bei chee

    Wakuu nisaidieni ni chuo gani Poland chenye gharama nafuu na cost of living ambazo ni affordable. Najua kuna watu umu wenye practical experience ya nchini Poland au wenye kuifahamu Poland na system yake ya elimu. Nakaribisha ushauri wenu ili uniwezeshe kiufanyia kazi. Masomo ni ya social...
  13. shanature

    JamiiForums Tanzania Natafuta sungura wakubwa kiumbo

    REJEA SOMO TAJWA hapo juu natafuta sungura watatu moja dume mawili majike kwa ajili ya kufuga... wawe ni ile mbegu yenye umbo kubwa...waliopo maeneo ya jirani na kahama njoo dm...tupange biashara
  14. Abti

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ama connection ya ajira nina kauzoefu na uwezo pia

    Habari za wakati huu Wana-JA. Natafuta ajira kwa vyeti nina bachelor of arts in development studies (Taaluma ya maendeleo) ila kwa uzoefu nilipopitia ni kama yafuatayo: 1.Assistant Community Development officer (CDO) 2.Administration Officer 3.Assistant HR 4.Store keeper (Whare house)...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta marafiki

    Natafuta marafiki aliye tayari tuwasiliane pm.
  16. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Nina stashahada ya ufundi mitambo ( mechanical technician)

    Natafuta kazi Nina stashahada ya ufundi mitambo ( mechanical technician) Naishi dar es salaam Mawasiliano: 0756704145
  17. itakiamo

    JamiiForums Tanzania Natafuta Sales person

    Habari za asubuhi boss wangu, Kampuni ya PM TRADING AND LOGISTICS inatafuta sales person mmoja (female) . Industry ni Air Cargo na malipo Huwa ni kwa Commission. Pia kampuni itakupatia nauli, chakula Cha mchana nk. WhatsApp/ Calls +255 755 18 48 73. Pia msisahau kumpatia supplier wako...
  18. King Loto

    JamiiForums Tanzania natafuta bajaji iliyo na good condition nipo dar.

    Wakuu mwenye anauza bajaji ani PM inbox, isiwe na kipengele, natoa box mbili tu kwa dalali..... Mimi napatikana mbezi makabe. Bei ni mazungumzo Hit my PM Kwa muuzaji aliye serious tu.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta frem mabibo sokoni

    Kama inavyotajwa hapo juu, ninahitaji frem ya biashara mabibo sokoni kwa ajili ya biashara ya nafaka, hata nje ya sokoni pembeni mwa barabara fresh. Kama unayo njoo na ofa yako inbox. Salaam
  20. Mtunza siri zako

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume asiyependa makalio makubwa

    Leo nimekutana na video ya mmasai naye anasema anapenda nyash. Kwani hakuna wanaume wanaopenda wanawake vipotable wasio na makalio makubwa? Na kama wewe ni kama huyo mmasai, kwanini unapenda wanawake wenye makalio makubwa?
Back
Top Bottom