natafuta kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. nick4real

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kuwa Graphics Designer

    Rejea Post yangu ya Natafuta kazi ya Graphics Designer.. Naitwa NICKSON AIVAN, Nilipokuja kwa mara ya kwanza kutangaza nataka kazi ya kuwa graphics designer wanaJamii Forums mlinitia moyo na wengne kunitafuta kunipa tenda nashukuru sana Kama unatafuta mtu wa graphics ofisin kwako au unakazi...
  2. UKARIMU

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva (light vehicle) au ya afya na usalama kazini (occupational, safety and health)

    D
  3. Sabryna

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kwenye supermarket, duka la nguo, vipodozi, usafi wa maofisini

    Naitwa Sabrina Nina miaka 22, Naishi Dar, Ukonga. Elimu yangu kidato cha 4 Naongea English na Kiswahili, Natafuta kazi ya duka la nguo, vipodozi, supermarket au usafi wa maofisini.
  4. V

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nimesoma Bachelor of Finance na uzoefu mwingi

    Hello wanaforum naitwa richard nimegraduate degree ya finance university of dsm natafuta nafasi ya kazi ya kujitolea kwenye kampuni yoyote nipate uzoefu Napatikana Dar Es Salaam Tanzania namba zangu 0657710078
  5. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Nina Shahada ya Sociology natafuta kazi

    Habari za leo wakuu, Life limekua gumu kitaa natafuta kazi nina shahada ya sociology. Sina uzoefu. Nina miaka 24 Mshahara uanzie laki 8 net baada ya makato. Natanguliza shukrani wakuu.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya civil technician

    Wakuu habari za jioni.Kama kichwa cha habari kinavyoeleza nmesoma civil engineering level ya diploma na nina uzoefu wa miaka2. Nimefanya kazi kwenye project za barabara na majengo. Mwenye connection au nafasi ya kazi anisaidie sitomwangusha.
  7. DLuga

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Habarini WAna Jf. Mimi ni kijana wa miaka 25, elimu kidato cha 4 plus certificate/ Nna uzoefu wa miaka 5 kufanya kazi sehem mbalimbali (mostly kwenye kampuni za betting) Natafuta ajira mwezenu nina nilikuwa kwenye kampuni hizi za betting ila korona ikasababisha watu wapunguzwe Kwa mwenye...
  8. Derickdeo21

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina elimu ya kidato cha Sita

    Habari za muda huu wana jamvi, Nimekuja mbele yenu kuomba nafasi ya kazi au fursa kwa majina naitwa Aderick Deogratias. Nina umri wa miaka 23, naishi mkoa wa Dar es Salaam, Mbagala nina elimu ya kidato cha sita nimesoma masomo ya uchumi. Nina uzoefu katika kazi zifuatazo, Supervisor, Sales &...
  9. nick4real

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Graphics Designer..

    Naitwa NICKSON AIVAN, Natafuta kazi ya Graphics Designer (Adobe Photoshop, Adobe Illustrator na kiasi kwenye After Effect na Premier Pro) nina uzoefu wa miaka mitano kwenye fani hii pia ni mshindi wa Best graphics designer kwa wanafunzi wa Dar es salaam (UniAward 2019/2020) sifa nyingne ni kama...
  10. Retailer

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote. Sifa zangu ni hizi

    Jinsia ME
  11. James_patrick_

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenye kuhitaji dereva mwenye sifa nzuri, napatikana

    Habari! Jina langu naitwa James Patrick nina miaka 24. Naishi Kunduchi, Dar es salaam. Elimu yangu mimi ni kidato cha nne na tokea nikiwa mdogo nilikuwa napenda sana magari. Kwa sasa fani yangu ni udereva ambao nimeanza tokea 2014, na nimefanya kazi kwenye kampuni nyingi tu, kitu ambacho...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi sales and marketing, customer service au data entry.

    Habari za mchana viongozi. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 Nina ujuzi katika sales and marketing na customer care service na data entry na stock controller namba yangu ya simu 0654918030.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Graphic Designer Natafuta Kazi

    Kwa mwenye uhitaji wa Graphic Designer, natafuta kazi: Ninao uzoefu wa kutosha kwenye Designing na Printing katikaViwanda. Ninauzoefu wa miaka kumi (10) katika Designing na Printing, nikitumia Programs za:- Adobe Photoshop, Illustrator, InDesign, Coral Draw, Quick Express na Microsoft Office...
  14. muksinihamisi

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kufanya naye biashara

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22, nimemaliza Elimu ya Secondary mwaka 2017. Nashukuru nilipata ufaulu mzuri ila sikuweza kuchaguliwa hvyo kutokana na uchumi sikuweza kuendelea na masomo bali nikajiingiza kwenye Ujasiliamali na kuweza kupata ujuzi wa kutengeneza bidhaa mbalimbali za...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Msaada natafuta kazi yeyote jijini Mwanza, Nimehitimu Chuo cha Usafirishaji NIT

    ,
  16. cantona55

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa graphcs design, tunadesign logo, posters stickers na vipeperushi kwa bei sawa na bure

    habari zenu wakuu, kwa wale wote wanaotaka LOGO kwa ajili ya makampuni, NGO's na mashirika mbal mbali, ukitaka LOGO ya 3D au 2D zote tunadesign kwa 50,000 tu unapata brand logo yako nzuri na yakuvutia... pia ukiitaji POSTERS zenye kuvutia wasomaji tunadesign kwa 20,000 tu...na pia ukiitaji...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Wakuu nina bachelor degree ya mechanical engineering natafuta kazi

    Wakuu mimi ni kijana wa kitanzania na mwenzenu humu kwa miaka mingi kidogo nina bachelor ya mechanichal engineering pia nipo registered na erb natafuta kazi wakuu associated na fani yangu husika,..kama kuna mkuu yeyote yupo sehemu wanauhitaji huu au anaweza nisaidia natanguliza shukrani nyingi...
  18. Chereko tena

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufundisha, masomo yangu ni Kiingereza na Kiswahili

    Mimi Ni mwalimu by professional Nina degree ya kwanza gpa 4.masomo kiswahili na kiingereza,ninahtaji mshahara wa 3.5m kufundisha. ninafanya kazi mshahara wa sasa 1.2 m
  19. Askari wa motoni

    JamiiForums Tanzania Nina elimu ya form 4, natafuta kazi yoyote

    Wasalaam ndugu. Natafuta kazi.. Nina elimu ya form 4 niliyoipata Azania secondary school. Elimu ya kidato cha sita nimeipata Kibasila High school. Ninauwezo wa kutumia computer kwa ufasaha na kuchapa kazi kwa kutumia Ms word na Ms Excell. Nina uwezo wa kuandika muswada wa filamu(script...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote iliyo halali.

    Nina elimu katika shahada ya kwanza katika uhandisi kilimo ( bsc Agricultural engineering/Agro-mechanical). Natafuta kazi yoyote iliyo halali inayohusiana na hii fani yangu ama kazi yoyote inayofundishika. Mfano katika haya maeneo ninauwezo nayo. -Water supply. -Environmental impact...
Back
Top Bottom