natafuta kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi katika Sekta ya Kilimo na Uvuvi

    Habari zenu ndugu, Mimi ni Kijana wa kiume umri miaka 24 na mhitimu wa Chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) katika shahada ya Sayansi Aqua na Uvuvi (Bachelor of science in Aquatic sciences and fisheries). Naishi Ubungo Dar es salaam kwa sasa. Ninatafuta kazi katika Rekta resmi na isiyo rasmi...
  2. wa log

    JamiiForums Tanzania Nimehitimu kidato cha sita natafuta kazi

    Mimi mkazi wa Dar es Salaam, elimu yangu ni mhitimu wa form six. Ninatafuta kazi yoyote. Experience yangu ni katika kubeba mizigo mizito, na kibarua wa kujenga. Pia nina ujuzi wa kutumia computer. Naomba nisaidie Kama una connection kwenye makampuni ya ujenzi, na ya usafirishaji. Niko tayari...
  3. wa log

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote, nina uzoefu wa kubeba mizigo na kutumia computer

    Mimi mkazi wa Dar es Salaam, elimu yangu ni mhitimu wa form six. Ninatafuta kazi yoyote. Experience yangu ni katika kubeba mizigo mizito, na kibarua wa kujenga. Pia nina ujuzi wa kutumia computer. Naomba nisaidie Kama una connection kwenye makampuni ya ujenzi, na ya usafirishaji. Niko tayari...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ualimu

    Hello, Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu UDSM mwaka jana. Sijasomea ualimu lakini nina passion ya kufundisha hasa masomo ya Physics, Chemistry na Biology kwa O level na Chemistry na Biology pekee kwa A level. Taaluma niliyosomea ni Aquatic science and fisheries technology na kwa sasa siwezi...
  5. Mechanic 97

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ufundi na nyinginezo

    Habarini wanajamiiforum mbele yenu ni kijana wa miaka 24 ninatafuta kazi kwa Sasa nipo dar. Elimu yangu ni NTA level 4 in mechanical engineering na Advanced certificate of secondary school in PCM. Vya ziada Nina uwezo wa kufundisha, kuchora kiasi na computer kidogo. Jamani mwenye connection...
  6. Msonga Misamo

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Tourist Assistant

    Hi
  7. ManziCute

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Dodoma

    Niko Morogoro ila natafuta kazi yoyote katika mji wa Dodoma nina Elimu ya Diploma ya Business Admnistration nipo tayari kufanya kazi yoyote katika mji huwo. Mwenye connection yoyote plz anitafute 0782394214
  8. Granite

    JamiiForums Tanzania Engineer wa Ujenzi natafuta kazi

    Wakuu naleta kwenu maombi yangu ya kazi za ujenzi, nimesota mtaani miaka mitatu. Nimefanya vibarua vya kujitolea kwenye miradi ya kampuni ndogo sijafanikiwa kupata ajira. Naweza kusimamia Site iwr ya mradi wa Majengo, Barabara au Maji, naweza kufanya Design, naweza kutumia Software za...
  9. steve_shemej

    JamiiForums Tanzania Fundi welding natafuta kazi

    Habarini wanandugu. Nimekuja kwenu naomba ajira mim ni fundi welding nina cheti. Nina uzoefu kwenye arc pia nina uzoefu wa wastani kwenye MIG welding Namba yangu hii 0763329715
  10. Granite

    JamiiForums Tanzania Naomba ‘Connection’, natafuta kazi CCECC au CRJE

    Wakuu wenye connection katika kampuni za kichina zenye miradi mbalimbali Mhandisi nakuja kwenu. Ninao uzoefu wa kutosha katika Site Supervision na Design, nimejitolea katika miradi kadhaa ya ujenzi wa Barabara na Majengo. Naweza kufanya kazi popote Tanzania na katika usimamizi mdogo na...
  11. steve_shemej

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya welding

    Naitwa Steve nipo Songea natafuta kazi ya welding Nina uzoefu wa kuunga vyuma vyepes na vizito Namba yangu 0713861567
  12. Sirai

    JamiiForums Tanzania Nina shahada ya nursing nimefaulu mtihani wa leseni. Natafuta kazi ya kujiingizia kipato

    Naitwa Paul Sirai Peter ni kijana mbunifu na kwenye jitihada yangu nimalize nilikuwa napima watu pressure masokoni kwa Mia mbili kabla ya kutakiwa kupata kibali hivyo naomba msaada wa kibarua chochote kitachonipa angalau mkate wa Kila siku. 0689052541
  13. Rosh Hashannah

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi au connection ya Kazi

    Habarini wadau, poleni na majukumu ya kila siku ya kutafuta ridhiki. Mimi ni mwalimu niliyehitimu katika chuo kikuu cha St. John (Dodoma) katika shahada ya ualimu wa masomo ya Chemistry na Biology. Ninaishi Mtwara. Nina uwezo wa kufanya kazi katika mazingira tofauti, pia napenda kufanya...
  14. Mzee Saliboko

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Ni muhitimu katika fani ya Health SYSTEMS MANAGEMENT kwenye utumishi inahusishwa na ukatibu wa afya. Nahitaji kazi/ajira si internship popote Tanzania. Kwa sasa nipo kibaha.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya civil technician

    Wakuu habari za weekend....nmerudi tena kijana wenu mwenye connection nafasi ya civil engineering naomba aniunganishe.Nina uzoefu wa kazi za bara bara nmefanya miradi ya DMDP Dar es salaam na pia miradi ya tarura na tanroad mkoa wa kilimanjaro.Kwa maelezo zaidi cv yangu ipo inajieleza,msaada...
  16. Granite

    JamiiForums Tanzania Civil Engineer natafuta kazi, HR & Project Managers Naomba Msaada

    Nakuja kwenu kwa Mara nyengine nikiwa na maombi ya kupata fursa ya kushiriki katika tasnia ya Ujenzi nikiwa ni kama Mhandisi wa Ujenzi, matamanio yangu ni kutumia ujuzi na Elimu yangu katika kuongeza thamani ya Kazi za Kampuni au taasisi, kushiriki katika kuhakikisha malengo yaliyowekwa na...
  17. mandingo 94

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za viwandani

    Habar za majukumu wadau kama nilivyo eleza apo juu mim ni mkazi wa dar kitunda natafuta za viwandani hata kibarua mim na fanya msaada wenu 0716527686
  18. C

    JamiiForums Tanzania Wakuu nina degree ya procurement na uzoefu wa mwaka 1 kwenye banking and finance natafuta kazi

    Salamu nyingi kwenu wakuu, Mimi ni kijana mwenye elimu ngazi ya degree na pia Nina uzoefu wa Mwaka 1 kwenye banking and finance. Naomba msaada wenu ili nipate kazi iwe kwenye taasisi, shirika au kampuni au mahali pengine popote iwe kwenye stores, marketing, customer services department au...
  19. Sirai

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote nimesoma nursing midwife degree post intern Ila sijapa leseni

    Naitwa Paul s peter nimesoma bsc.nursing midwife intern nimefanya muhimbili sijapata lesen bado. Nina ujuzi wa computer kiasi Nmefundisha tuition Nimechoma chips Nahitaji kazi yoyote naomba Wana jamii mnisaidie Tel 0689052541
  20. Rashid Ally Masaho

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kuweza kupata ajira au internship

    Habari zenu wakuu, Mimi ni graduate mechanical engineer. Naomba msaada wa kuweza kupata ajira au internship. Natanguliza shukrani za dhati kwenu.
Back
Top Bottom