Habari wana jamvi nimatumaini yangu nyote mu wazima.
Mimi nikijana umri miaka 25 natafuta kazi au kibarua cha muda katika kada ya umeme au nje ya umeme naweza kufanya kazi sehemu yoyote lakini kwa sasa niko Dar es salaam.
Nina ordinary diploma katika umeme (OD in electrical engineering )...
Naitwa Irshadi Kusaka mimi ni mkazi wa Dar es Salaam. Natafuta kazi ya udereva kufanya kwenye kampuni yoyote au mtu binafsi. Nimefanya kazi hii na kampuni ya group six, emirates na nyengine nyingi.
Kwa kirefu zaidi nime elezea kupitia CV yangu ipo hapo chini kwenye link
Irshad Kusaka - Luis...
Wakuu kama kichwa kinavyojieleza,
Nimejaribu kutafuta kazi katika fani yangu ya uwalimu, kwani nimehitimu shahada ya ualimu mwaka jana katika taasisi kubwa tu hapa nchini lakini mpaka sasa hivi bado sijapata kazi.
Nimekuja kwenu wana JF kwani hapa kuna watu tofauti tofauti, hivyo naomba mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.