Natafuta mtu wa kufanya naye biashara

muksinihamisi

Member
May 1, 2020
14
45
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22, nimemaliza Elimu ya Secondary mwaka 2017. Nashukuru nilipata ufaulu mzuri ila sikuweza kuchaguliwa hvyo kutokana na uchumi sikuweza kuendelea na masomo bali nikajiingiza kwenye Ujasiliamali na kuweza kupata ujuzi wa kutengeneza bidhaa mbalimbali za viwandani kama vile sabuni za miche aina zote ikiwema Medicated Soap aina tofauti tofauti, sabuni za maji aina zote, kama vile sabuni za kudekia (tiles cleaner) handwash, jik, shampoo nk.

Pia, utengnezaji wa mafuta ya mgando, lotion nk. nimeshinda kukuza hii idea kutokana na capital. Hivyo naomba mtu ambaye tutaweza kushare idea na kuikuza wenda tukafanya kitukibwa zaidi
 

Wang Shu

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
1,699
2,000
Ngoja nikurahisishie swali kijana,
mfano mimi nina Tsh. Laki 3 inatosha kwa bidhaa gani kati ya izo?
 

Elungata

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
35,376
2,000
Hyo in

hyo inatosha kwa utengenezaji wa sabuni ya maji(handwash,tiles cleaner),jik,shampoo
Mchawi Ni packaging na branding,,product Kama ikikosa packaging nzuri na branding mfano uite,,Matogolo detergent,utopolo soap,,,,badala ya mfano Tesa soap,haiwezi kutoka,
So hiyo bajeti ya laki tatu,pengine itatosha material kiasi,,kwenye packaging haitoshi utaishia kupack bidhaa kwenye madumu ya Lita 5
 

muksinihamisi

Member
May 1, 2020
14
45
Mchawi Ni packaging na branding,,product Kama ikikosa packaging nzuri na branding mfano uite,,Matogolo detergent,utopolo soap,,,,badala ya mfano Tesa soap,haiwezi kutoka,
So hiyo bajeti ya laki tatu,pengine itatosha material kiasi,,kwenye packaging haitoshi utaishia kupack bidhaa kwenye madumu ya Lita 5
Hiyo kwa material lakin tukijibana kwakutumia packege za kariako inaweza kuzalisha lita 150 au 200 kwa kujibana lakin
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom