natafuta kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Looking for a job marketing positions or insurance principal officer

    I'm Denis sSamwel Mwalumuli 24 age I'm living in Tabata Barakuda, Dar es salaam I'm looking for a job from two kinds writing above heading, marketing position or either insurance principal officer because I have graduate and very experiences in this two derpatment. I'm ready to work any place...
  2. Ms Beatrice

    Natafuta kazi yoyote, nimesoma Maendeleo ya Jamii

    Habari, Mimi ni Binti Nina miaka 24 Niko arusha. Ninatafuta Kazi. Niko tayari kufanya Kazi yoyote halali eneo la Arusha. Nina elimu ya chuo kikuu, kupitia kozi ya maendeleo ya jamii. Nina uwezo wa kuwasiliana vizuri, kufanya Kazi kwa usimamizi Mdogo au bila usimamizi na kuleta matokeo mazuri...
  3. N

    Natafuta kazi yoyote ndani ya Dar es Salaam

    Habari naitwa John Niko Dar natafuta kazi yoyote. Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu Kenya, ila kwasasa Niko likizo. Natafuta kazi yoyote. Kazi ya halali. Mawasilano yangu: +254781847643( WhatsApp) +255755938804 +255714540040
  4. mwakavuta

    Natafuta Kazi yoyote ya halali ya usiku

    Wakuu salam, Mimi ni mhitimu wa chuo mwalimu wa sekondari kutokana na uhaba wa ajira nafanya Kazi za ujenzi kama kibarua. Nashukuru angalau sikosi chochote nimeridhika na Kazi ninayofanya ingawa kipato hakitoshi sana. Naomba mwenye connection anayeweza kunisaidia kupata kazi yoyote ya usiku ya...
  5. Mbaga Jr

    Nina Diploma in Film Production, natafuta kazi

    Inasikitisha sana wakuu
  6. E

    Natafuta kazi mikoa ya Nyanda za Juu Kusini. Nimesomea Diploma ya Ualimu

    Wakuu habari za saizi! Mimi ni kijana wa kiume, mhitimu wa diploma ya ualimu lakini bado sijafanikiwa kupata kazi. Hivyo naomba kazi yoyote ya halali ya kuniwezesha kuendesha maisha yangu. Iwe niliyosomea au yoyote nitakayoweza kuifanya. Mimi naishi Dodoma. Kama kazi ikipatikana mikoa ya...
  7. J0h13

    Natafuta kazi yoyote iliyo halalishwa na Serikali yetu

    Natafuta kazi yoyote iliyo halalishwa na serikali yetu Kwa majina naitwa JOHN E BENDERA Ni kijana mwenye umri wa miaka 23 kwa sasa. Ni mchezaji wa mpira pia, ligi daraja la pili Tanzania. Ndoto zangu kubwa niliziwekeza katika mpira, lakini naamini mnajua mpira wetu apa nchini, si lazima...
  8. The Inspire55

    Natafuta kazi ya kujitolea ili nipate uzoefu ndani ya Mwanza

    Habari wakuu, Naitwa Juma naishi Mwanza umri ni miaka 21, nina taaluma ya ukemia upande wa madini {mineral processing engineer} na elimu yangu ni basic certificate in mineral processing na uwezo wa kukabiliana na udongo wenye changamoto nyingi, pia uwezo wa kusimamia usalama kazini (OSHA...
  9. Bata batani

    Natafuta kazi ya kujitolea kama messenger nitume popote ntaenda

    Habari zenu wana jf Natafuta kazi yeyote ya kujitolea kama messenger unitume popote nitaenda mahala popote nitaenda kwa gharama nafuu tuu Ukinilipa hata elfu moja au mbili kwa siku ntashukuru ili mradi nipate hela ya kula Kimakazi nipo dar njoo inbox
  10. P

    PHP & Javascript developer natafuta kazi

    Habari wakuu, Kijana wenu PHP & JavaScript developer anatafuta kazi. Nimesoma Computer science chuo kwa kipindi cha mwaka mmoja,sikuweza kuendelea kwa sababu ya kukosa mkopo. Nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote hapa dar kwa malipo ya kiasi chochote niweze mudu gharama za maisha. Unaweza...
  11. A

    Natafuta kazi nina elimu ya kidato cha sita

    Habarini wakuu, Elimu yangu ni form six Jinsia ni ke Nimejitokezak kwenu kutafuta kazi yoyote halali Kufundisha(naweza kufundisha masomo yote except physics) kwa O-level Kufundisha primary /nursery Upishi pia naweza Kaunta Hata uhasibu naweza mahesabu Kazi yoyote halali naweza kufanya...
  12. Darucha

    Nipo Arusha natafuta kazi yoyote

    Kama wahenga walivyosema kwenye miti huwa hapakosi wajenzi Mimi ni kijana umri wangu miaka 25 natafuta kazi jamani ya Aina yoyote elimu yangu ni kidato Cha sita ni kijana muaminifu na mtiifu pia jamani nataka kufungua ukurasa mpya kwenye maisha yangu ukweli ni kwamba. Nilikuwa kwenye moja ya...
  13. S

    Nina Shahada ya Sosholojia, natafuta kazi

    Habari za wakati WanaJF, Kwa majina naitwa Annette nina shahada shahada ya sosholojia kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma. Nimekuja mbele yenu nikiomba kazi yoyote Ile hata nje ya Taaluma yangu au sehemu yoyote ile ya kujitolea nipo tayari. Natanguliza shukrani zangu.
  14. Bahati mathiad

    Natafuta kazi Laboratory Assistant

    Mimi ni mtaalam wa maabara (lab assistant), mwenye uzoefu wa miaka 3 na kazi, natafuta kazi katika kanda ya kaskazini, naishi Arusha. Vigezo vyote ninavyo pia nina lessen ya kudum (ERP) nahitaji mtu aliye serious na kazi yake mwenye kufuata ushauri wa mtaalamu. Namba ya simu 0625318808
  15. kaic hamisi

    Natafuta kazi

    Napenda kutoa salamu kwa wote jamani ni wote ni wazima poleni kwa majukumu mimi ni kijana wakiume mwenye umri wa miaka 21 elimu kidato cha nne natafuta kazi yeyote ile iwe ya kiwandani, ofisini nk cha muhimu iwe kazi halali naishi mbagala kata wa Kijichi matumain yangu naweza kupata msaada...
  16. Salasatna

    Natafuta kazi, mimi ni mwalimu wa hesabu na uchumi

    Jina: Alfred Yohanis Msunza Umri: Miaka 23 Natafuta kazi ya ualimu wa hesabu na uchumi(mathematics and economics), yeyote mwenye uhitaji naomba msaada. Elimu yangu ni shahada nimemaliza chuo kikuu cha Dar es Salaam 2020 katika ndaki ya sayansi asilia na tumizi yaani pale makao makuu ya chuo...
  17. M

    Natafuta kazi nina Shahada ya Sayansi Aqua na Uvuvi (Bachelor of science in Aquatic sciences and fisheries)

    Habari zenu ndugu, Mimi ni Kijana wa kiume umri miaka 24 na mhitimu wa Chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) katika shahada ya Sayansi Aqua na Uvuvi (Bachelor of science in Aquatic sciences and fisheries). Naishi Ubungo Dar es salaam kwa sasa.Ninatafuta kazi katika sekta resmi na isiyo rasmi...
  18. A

    Natafuta kazi kama Secretary, Switchboard, Safari Consultant, Receptionist au customer service nina uzoefu wa zaidi ya miaka 10

    Hi, Mimi ni mwanamke wa miaka 35 naishi dar ni mlemavu wa miguu ni (disability) nina uzoefu wa zaidi ya miaka kumi kwenye kazi za Receptionist, Customers service, Switch board operator, Safari Consultant na Personal Assistant naombeni msaada wa kunisaidia kupata wanaotoa ajira asanteni sana...
  19. Deus lubona

    Natafuta kazi, Elimu Diploma (Animal Health and Production)

    Habarini za humu ndugu zangu, Naitwa Deus graduate wa diploma ya udactari wa mifugo (Ordinary diploma in animal health and production), nimehitimu mwaka 2019 katika chuo cha mifugo LITA TENGERU ARUSHA (Livestock training agency- TENGERU). Baada ya hapo nimekuwa nikijitolea kutibu mifugo...
  20. A

    Natafuta kazi yeyote, Elimu yangu kidato cha nne

    Wana jamii naombeni kazi yeyote ile mdogo wenu napigika sana mtaani. Elimu yangu ni form4 nipo Dar es Salaam. Mawasiliano: 0692865543
Back
Top Bottom