Watanzania tulihuzunika na Nape alipotolewa bastola hadharani lakini hivi sasa anatulipa jeuri na kiburi?

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,410
Kwa kuwa malipo ya dhulma ni hapa hapa duniani, basi namuomba Mungu wangu wa mbinguni afanye kila linalowezekana huyu Nape apate malipo yake.

Nape tulimpa huruma na upendo wetu wakati akitwezwa na kudhalilishwa enzi za giza lkn leo Nape anatulipa jeuri na kiburi? Nape ndiye wakuziba midomo waandishi na vyombo vya habari?

Nape ndiye wa kuanza kuwafanyia figisu wapinzani ili wasipinge uuzwaji wa bandari mwenye vyombo habari?

Siku hazigandi. Nina hakika Nape atalia na kusaga meno hapa hapa duniani.
 
Nisiwe mnafiki sikuhuzunika.
 
Huyu mnafiq na nfumilakwili asingeweza kukaa meza moja na mtu alienyooka kama JPM. The same goes to February Marope thats why aliwatosaga.

These two idiots have made it to the system through their parents popularity to the CCM party but their practicality is close to none.
 
Kwa kuwa malipo ya dhulma ni hapa hapa duniani, basi namuomba Mungu wangu wa mbinguni afanye kila linalowezekana huyu Nape apate malipo yake.

Nape tulimpa huruma na upendo wetu wakati akitwezwa na kudhalilishwa enzi za giza lkn leo Nape anatulipa jeuri na kiburi? Nape ndiye wakuziba midomo waandishi na vyombo vya habari?

Nape ndiye wa kuanza kuwafanyia figisu wapinzani ili wasipinge uuzwaji wa bandari mwenye vyombo habari?

Siku hazigandi. Nina hakika Nape atalia na kusaga meno hapa hapa duniani.
Naomba hili dua lisiwe la kuku🐔😂😂😂
 
Na ndiye alikuwa chanzo cha kusimamisha Bunge live ili waendelee Na madudu yao mule ndani Na sasa baadhi yao wanasema hawakujua walichokuwa wanapitisha. Walisign tu bila kujua...
 
Hakuhitaji huruma wala upendo wenu mlishobokea ugomvi usiyowahusu, yeye Nape na wenzie wao washasema kuwa Mungu alishaingilia kati ugomvi wao na akaumaliza huo ugomvi na akina Nape wamepata ushindi na hadi sasa wanaufurahia huo ushindi.
 
Kwa kuwa malipo ya dhulma ni hapa hapa duniani, basi namuomba Mungu wangu wa mbinguni afanye kila linalowezekana huyu Nape apate malipo yake.

Nape tulimpa huruma na upendo wetu wakati akitwezwa na kudhalilishwa enzi za giza lkn leo Nape anatulipa jeuri na kiburi? Nape ndiye wakuziba midomo waandishi na vyombo vya habari?

Nape ndiye wa kuanza kuwafanyia figisu wapinzani ili wasipinge uuzwaji wa bandari mwenye vyombo habari?

Siku hazigandi. Nina hakika Nape atalia na kusaga meno hapa hapa duniani.
Waliohuzunika ni wale wasiomjua tu
 
Hakuhitaji huruma wala upendo wenu mlishobokea ugomvi usiyowahusu, yeye Nape na wenzie wao washasema kuwa Mungu alishaingilia kati ugomvi wao na akaumaliza huo ugomvi na akina Nape wamepata ushindi na hadi sasa wanaufurahia huo ushindi.
Sijajua unamaanisha ushindi upi lakini Kwassi tunaoamini kifo pia Ni ishara ya ushindi
 
Back
Top Bottom